Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Vijana kataeni kutumiwa na wanasiasa’

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Tabora mjini, Moshi Nkonkota ameshauri vijana kujitambua na kutokukubali kutumika kama daraja na wanasiasa wabinafsi katika kutafutia uongozi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

VIJANA MSIKUBALI KUTUMIWA VIBAYA NA BAADHI YA WANASIASA KWA FAIDA YA WACHACHE-MAMA SALMA KIKWETE

Na Anna Nkinda – Maelezo, LindiVIJANA wametakiwa kutokubali kutumiwa vibaya na baadhi ya wanasiasa  kwa maslahi ya watu wachache huku hao wanaowatumia wanasonga mbele kimaendeleo na wao wanazidi kurudi nyuma.
Rai hiyo imetolewa jana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea kwa nyakati tofauti na wananchi wa  kijiji cha Kikomolela kilichopo  jimbo la Mchinga na mtaa wa Likotwa uliopo Jimbo la Lindi mjini waliohudhuria kampeni ya kuwanadi wagombea wa nafasi za udiwani, ubunge na urais...

 

10 years ago

StarTV

Watanzania waonywa dhidi ya kutumiwa na wanasiasa

WAUMINI wa dini mbalimbali nchini na Watanzania kwa ujumla wameonywa juu ya kuacha kukubali kutumiwa na wanasiasa kufanya vitendo vya kuvunja sheria siku ya uchaguzi  mkuu, hali inayoweza  kuleta  vurugu na kuvuruga amani na utulivu

Mmoja wa viongozi wa dini ya Kiislamu mkoani Singida Shekhe Issa Nasoro amesema leo kuwa kauli  kinzani za Tume ya uchaguzi, Serikali na baadhi ya wanasiasa kubaki au kuondoka vituoni baada ya kupiga kura zinapaswa kupimwa na kila mtu kutumia akili  zake ili...

 

11 years ago

Dewji Blog

Redio jamii zisikubali kutumiwa na wanasiasa kwa manufaa binafsi

DSC_0043

Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) Bw. Al Amin Yusuph akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mtungi kuzungumza na washiriki 31 wa mtandao wa redio jamii Tanzania (COMNETA) unaotekeleza mradi wa demokrasia na amani (DEP) kuelekea uchaguzi mkuu 2015 wanaohudhuria warsha ya siku nne inayoendelea mjini Dodoma.

Na Mwandishi Wetu, Dodoma

MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini...

 

11 years ago

Habarileo

Jaji Mutungi: Redio jamii msikubali kutumiwa ‘kijinga’ na wanasiasa

MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amezitaka redio za jamii kutokubali kutumiwa na vyama vya siasa vinavyotumia unyonge wa Watanzania kiuchumi kujinufaisha kisiasa.

 

11 years ago

GPL

REDIO JAMII ZISIKUBALI KUTUMIWA NA WANASIASA KWA MANUFAA BINAFSI‏

Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) Bw. Al Amin Yusuph akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mtungi kuzungumza na washiriki 31 wa mtandao wa redio jamii Tanzania (COMNETA) unaotekeleza mradi wa demokrasia na amani (DEP) kuelekea uchaguzi mkuu 2015 wanaohudhuria warsha ya siku nne inayoendelea mjini...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Kataeni ukatili kwa wanawake’

WANANCHI wametakiwa kuondoa dhana kuwa maadhimisho ya Siku ya Wanawake hufanywa kisiasa, badala yake wawe na mwamko wa kuhudhuria kwa wingi ili watoe maoni yenye kulenga kupinga ukatili na unyanyasaji...

 

9 years ago

Raia Mwema

Wazanzibari kataeni kuabudu mizimu

OKTOBA, 1987, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alihutubia Baraza la Mapinduzi la

Joseph Mihangwa

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kova: Madereva kataeni kutoa rushwa

KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna (CP), Suleiman Kova, amewataka madereva wanaoendesha vyombo vya moto, kutoa taarifa za askari wanaodai rushwa pindi wanapobainika na makosa ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Maaskofu Jukwaa la Wakristo: kataeni Katiba

Jukwaa la Wakristo Tanzania limewataka waumini wake kujiandikisha kwa wingi katika Daftari la Kudumu la Wapigakura, kuisoma Katiba Inayopendekezwa na kujitokeza kuikataa kwa kupiga kura ya “hapana”.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani