Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wazanzibari kataeni kuabudu mizimu

OKTOBA, 1987, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alihutubia Baraza la Mapinduzi la

Joseph Mihangwa

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

'Ukawa wanaandamwa na mizimu'

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Zarina Madabida amesema kitendo cha wajumbe wenzao wa Bunge hilo wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kutoka bungeni juzi kinaashiria mizimu ya waasisi waliowafanyia dhihaka, inawafuatilia.

 

10 years ago

Habarileo

‘Vijana kataeni kutumiwa na wanasiasa’

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Tabora mjini, Moshi Nkonkota ameshauri vijana kujitambua na kutokukubali kutumika kama daraja na wanasiasa wabinafsi katika kutafutia uongozi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Kataeni ukatili kwa wanawake’

WANANCHI wametakiwa kuondoa dhana kuwa maadhimisho ya Siku ya Wanawake hufanywa kisiasa, badala yake wawe na mwamko wa kuhudhuria kwa wingi ili watoe maoni yenye kulenga kupinga ukatili na unyanyasaji...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kova: Madereva kataeni kutoa rushwa

KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna (CP), Suleiman Kova, amewataka madereva wanaoendesha vyombo vya moto, kutoa taarifa za askari wanaodai rushwa pindi wanapobainika na makosa ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Maaskofu Jukwaa la Wakristo: kataeni Katiba

Jukwaa la Wakristo Tanzania limewataka waumini wake kujiandikisha kwa wingi katika Daftari la Kudumu la Wapigakura, kuisoma Katiba Inayopendekezwa na kujitokeza kuikataa kwa kupiga kura ya “hapana”.

 

10 years ago

Tanzania Daima

BAVICHA: Watanzania kataeni Katiba pendekezwa mwakani

BARAZA la Vijana la Taifa la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), limewataka Watanzania kuunganisha nguvu pamoja kuikataa Katiba Mpya iliyopendekezwa, kwani haina maslahi ya wananchi badala yake imewapendelea watuhumiwa...

 

11 years ago

Habarileo

Pinda: Kataeni wanaotaka uongozi kwa kutoa rushwa

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, ameonya Watanzania kuwa makini na watu wanaotumia rushwa, ili kupata nafasi za uongozi na hasa kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, 2015.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Kwanini bado watu wanakusanyika kuabudu?

Baadhi ya makundi ya kidini wanaendelea kukutana kwa ajili ya kuabudu mbali na maonyo ya wanasayansi na wataalamu wa afya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani