Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania washauriwa kutumia mfumo wa KAIZEN kuleta tija

 Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk. Florens Turuka (wa pili kulia) akifurahia jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa REPOA, Prof. Samuel Wangwe (kulia) wakati wa mkutano wa Taasisi ya Maafisa Wakuu Watendaji (CEOs Round Table) katika semina kuhusu umuhimu wa kutumia utaratibu huo wa KAIZEN kuchochea maendeleo Jumanne jijini Dar es Salaam.  Wa pili kushoto ni Katibu Mkuu, Wizara ya Biashara na Viwanda, Bw. Uledi Musa na Muwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Japan (JICA) Tanzania, Bw. Yasunori...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

‘Watanzania tumieni mfumo wa KAIZEN kuleta tija’

WATANZANIA wameshauriwa kujifunza na kuutumia mfumo wa KAIZEN ambao unalenga kuongeza tija katika utendaji kazi, kuleta ufanisi wa uzalishaji na ubora, ili kuchochea maendeleo nchini. Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri...

 

5 years ago

Michuzi

WATANZANIA WASHAURIWA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KWA FAIDA


Muongozaji wa majadiliano Bw. Michael Gwimile akifafanua jambo wakati wa mkutano wa majadiliano uliowashirikisha wadau mbalimbali wa Habari ulioandaliwa na MISA-Tan na kufanyika hivi karibuni Jijini Dodoma.Muongozaji wa majadiliano Mrakibu Msaidizi wa Polisi Bw. Athumani Mtasha akifafanuakuhusu nafasi ya polisi katika kudhibiti makosa ya kimtandao na ushirikiano na vyombo vya Habari wakati wa mkutano wa majadiliano ulioandaliwa na MISA-Tan na kufanyika jijini Dodoma.Washiriki wa mkutano wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Usajili wa wachezaji uwe wenye kuleta tija

Dirisha la usajili wa wachezaji kwa klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara na ile ya Daraja la Kwanza limefunguliwa rasmi jana na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jitihada zahitajika korosho kuleta tija kwa mkulima

“UZALISHAJI mkubwa wa korosho tunautegemea kutoka katika mkoa wetu wa Mtwara, hasa pale pembejeo zinapokuja kwa wakati kama hivi.” Hivyo ndivyo anavyoanza kuzungumza mkulima wa korosho katika Kijiji cha Maundo,...

 

5 years ago

Michuzi

KIWANDA cha Sherlys pharmaceutical LTD chaibuka kidedea kwenye shindano la KAIZEN, kuwakilisha katika shindano la KAIZEN Afrika

KIWANDA cha Sherlys pharmaceutical LTD cha Mwenge jijini Dar es Salaam chaibuka kidedea katika shindano la nne la KAIZEN lililofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Akizungumza wakati wa kuwapa tuzo za ushindi wa kiwanda bora za KAIZEN jijini Dar es Salaam leo, Katibu Mkuu wa wizara ya Viwanda na Biashara, Riziki Shemdoe amesema kuwa kiwanda kilichoshinda kitatuwakilisha katika mashindano ya KAIZEN kwa nchi za Afrika zitakazofanyika Mwakani 2020 nchini Afrika Kusini.
"Sisis kama Sherlys...

 

10 years ago

Michuzi

Wafanyabiashara Washauriwa Kutumia Mashine za EFD

Na Beatrice Lyimo- Maelezo.
Kampuni ya COMPULYNX Tanzania inayoshughulika na usambazaji wa mashine za Electronic Fiscal Device (EFD) imewashauri wafanya biashara nchini kutumia mashine hizo ipasavyo kwani husaidia kukuza pato la Taifa.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Bw Sailesh Savani wakati akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
“Wafanyabiashara wasiwe waoga kutumia mashine za EFD kwani huleta uhalali wa pande zote mbili ikiwemo Serikali...

 

9 years ago

Habarileo

Wahitimu Mzumbe washauriwa kutumia elimu kuboresha chuo

WAHITIMU Chuo Kikuu Mzumbe wameshauriwa kutumia elimu waliyoipata katika kuchochea maendeleo ya chuo hicho na ya taifa kwa ujumla. Rais wa Masajili ya chuo hicho, (Mzumbe University Convocation), Ludovick Utouh ambaye pia ni Mkaguzi Mkuu mstaafu wa Hesabu za Serikali, alitoa mwito huo katika mkutano wa masajili ya 15 ya chuo mjini Morogoro mwishoni mwa wiki.

 

10 years ago

Michuzi

Vijana wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela washauriwa kutumia ujuzi kujiajiri

 Mwezeshaji kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi Ester Riwa wa pili kulia akizungumza na Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya ya Kyela Dr. Festo Dugange jana wakati wa ziara ya kuhamasisha vijana wa Kyela. Wa kwanza kulia ni Afisa Maendeleo ya Vijana Bi. Amina Sanga, wa kwanza kushoto ni Mkuu wa Kituo cha Vijana Sasanda Mbeya Bw. Laurean Masele na wa pili kushoto ni Afisa Vijana Mkoa wa Mbeya Bw. George Mbijima. Afisa Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani