Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Usajili wa wachezaji uwe wenye kuleta tija

Dirisha la usajili wa wachezaji kwa klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara na ile ya Daraja la Kwanza limefunguliwa rasmi jana na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Ugunduzi wa gesi uwe tija kwa wananchi

WAKATI nishati ya gesi ikiendelea kupanda bei, hali hiyo imeendelea kuwa chanzo cha uharibifu wa mazingira kutokana na wananchi wengi kushindwa kumudu gharama za gesi ya kupikia. Baada ya gharama...

 

9 years ago

MillardAyo

Kuelekea dirisha dogo la usajili barani Ulaya, huu ni usajili mbovu wa wachezaji uliowahi kufanyika …

Mtu wangu wa nguvu najua headlines za usajili wa dirisha dogo kwa Bongo zimepita na sasa tunaelekea katika usajili wa dirisha dogo la mwezi January barani Ulaya, tumeona vilabu vya Man United na Tottenham Hotspurs vikiwania saini ya mchezaji wa Algeria anayekipiga katika klabu ya Leicester City Riyad Mahrez. Mtu wangu wa nguvu kabla ya dirisha […]

The post Kuelekea dirisha dogo la usajili barani Ulaya, huu ni usajili mbovu wa wachezaji uliowahi kufanyika … appeared first on...

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Watanzania tumieni mfumo wa KAIZEN kuleta tija’

WATANZANIA wameshauriwa kujifunza na kuutumia mfumo wa KAIZEN ambao unalenga kuongeza tija katika utendaji kazi, kuleta ufanisi wa uzalishaji na ubora, ili kuchochea maendeleo nchini. Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jitihada zahitajika korosho kuleta tija kwa mkulima

“UZALISHAJI mkubwa wa korosho tunautegemea kutoka katika mkoa wetu wa Mtwara, hasa pale pembejeo zinapokuja kwa wakati kama hivi.” Hivyo ndivyo anavyoanza kuzungumza mkulima wa korosho katika Kijiji cha Maundo,...

 

10 years ago

Michuzi

Watanzania washauriwa kutumia mfumo wa KAIZEN kuleta tija

 Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk. Florens Turuka (wa pili kulia) akifurahia jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa REPOA, Prof. Samuel Wangwe (kulia) wakati wa mkutano wa Taasisi ya Maafisa Wakuu Watendaji (CEOs Round Table) katika semina kuhusu umuhimu wa kutumia utaratibu huo wa KAIZEN kuchochea maendeleo Jumanne jijini Dar es Salaam.  Wa pili kushoto ni Katibu Mkuu, Wizara ya Biashara na Viwanda, Bw. Uledi Musa na Muwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Japan (JICA) Tanzania, Bw. Yasunori...

 

5 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU ASISITIZA UFUGAJI WENYE TIJA NCHINI

KATIBU Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Prof.Elisante Ole Gabriel amewataka wafugaji nchini kuzingatia ubora wa mifugo yao na sio kuangalia zaidi wingi wa mifugo waliyonayo kwa kuwa ubora wa mifugo ndio utakaosaidia kupata mazao yaliyo bora yenye kuwanufaisha kiuchumi.
Alisema kuwa  mfugaji akiweza kubadilika na kufuga kisayansi kwa maana ya kufuga kwa tija na akaanza kupata mazao ya mifugo yaliyo bora, ndipo hapo atakapofaidika na kazi yake ya ufugaji.
Katibu Mkuu ametoa wito huo leo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mradi wa Tehama uwe faraja kwa watoto wenye uhitaji

KUMEKUWA na malalamiko katika jamii kuwa shule za watoto wenye ulemavu zimesahaulika katika kupatiwa huduma mbalimbali ikiwemo nyenzo za kujifunzia. Ili kukabiliana na tatizo hilo hivi karibuni serikali ilizindua mpango...

 

10 years ago

Mwananchi

Matapeli wavamia usajili wa wachezaji

Dar es Salaam. Wakati usajili wa wachezaji nchini ukiendelea kushika kazi, kumezuka wimbi la watu wanaojifanya mawakala, wawakilishi wa wachezaji, kumbe ni matapeli, gazeti hili limebaini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani