Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KATIBU MKUU ASISITIZA UFUGAJI WENYE TIJA NCHINI

KATIBU Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Prof.Elisante Ole Gabriel amewataka wafugaji nchini kuzingatia ubora wa mifugo yao na sio kuangalia zaidi wingi wa mifugo waliyonayo kwa kuwa ubora wa mifugo ndio utakaosaidia kupata mazao yaliyo bora yenye kuwanufaisha kiuchumi.
Alisema kuwa  mfugaji akiweza kubadilika na kufuga kisayansi kwa maana ya kufuga kwa tija na akaanza kupata mazao ya mifugo yaliyo bora, ndipo hapo atakapofaidika na kazi yake ya ufugaji.
Katibu Mkuu ametoa wito huo leo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI ASISITIZA UTENDAJI KAZI WENYE TIJA

Na Lucas Mboje, Dar es Salaam
WATUMISHI wa Jeshi la Magereza wametakiwa kuzingatia utendaji kazi wenye tija mahala pa kazi na kuacha kufanya kazi kwa mazoea(Business as usual).
Rai hiyo imetolewa na Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, John Casmir Minja wakati akizungumza kwenye Baraza la kufunga Mwaka 2015 na kuukaribisha Mwaka mpya 2016 katika Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini, Dar es Salaam.
Jenerali Minja amewaagiza Watumishi wote wa Jeshi hilo kuhakikisha kuwa wanawajibika...

 

10 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu TAMISEMI, SAGINI asisitiza uimarishaji wa Elimu

DSC_0069

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues akisalimiana na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na. Serikali ya Mtaa (TAMISEMI), Jumanne Sagini alipomtembelea ofisini kwake mjini Dodoma wakati wa ziara ya kikazi ya siku moja ya kukutana na wadau wa elimu walioshiriki mkutano wa kutathmini sekta ya Eimu nchini kwa mwaka 2014 uliofanyika katika kumbi za mikutano Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).(Picha zote na...

 

10 years ago

GPL

KATIBU MKUU TAMISEMI, SAGINI ASISITIZA UIMARISHAJI WA ELIMU‏

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues akisalimiana na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Jumanne Sagini alipomtembelea ofisini kwake mjini Dodoma wakati wa ziara ya kikazi ya siku moja ya kukutana na wadau wa elimu walioshiriki mkutano wa kutathmini sekta ya Elimu nchini kwa mwaka 2014 uliofanyika...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWATAKA WANANCHI KUWA MAKINI NA VIONGOZI WENYE UCHU WA MADARAKA.

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia  sehemu ya wakazi wa Nungwi na Wafuasi wa CCM katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Skuli,jimbo la Nungwi,wilaya ya Kaskazini A,mkoa wa Kaskazini Unguja.Kinana amewataka Wananchi hao kuwa makini na baadhi ya viongozi wenye tamaa ya madaraka kwa kuahidiwa mambo ambayo hayatekelezeki,pia amewataka Wananchi kujitokeza kwa wingi siku ikifika ya kupiga kura ya ndiyo kwa katiba inayopendekezwa,kwani imejaa mambo mengi na...

 

9 years ago

Mwananchi

Usajili wa wachezaji uwe wenye kuleta tija

Dirisha la usajili wa wachezaji kwa klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara na ile ya Daraja la Kwanza limefunguliwa rasmi jana na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

 

9 years ago

Vijimambo

JK AWAAPISHA KATIBU MKUU, NAIBU KATIBU MKUU NA KATIBU TAWALA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue(wapili kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na waliapishwa keo.Kushoto ni Katbu Tawala Mkoa wa Katavi Ndugu Madeni kipande, wanne kushoto ni Naibu katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu Emmanuel Kalobelo na kulia ni Naibu Katibu Mkuu Mpya Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma Ndugu Tixon NzundaNaibu Katibu Mkuu Mpya wa Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu Emannuel...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWAAPISHA KATIBU MKUU, NAIBU KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE NA BALOZI WA TANZANIA SAUDIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha  Balozi Liberata Mulamula kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Balozi Mulamula anakuwa Katibu Mkuu wa kwanza mwanamke kuongoza Wizara hiyo na kabla ya uteuzi huo alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani. Hafla hiyo fupi ya uapisho imefanyika Ikulu tarehe 27 Mei, 2015.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Balozi Hassan Simba Yahya  kuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU DK. WILLIBROD SLAA ZIARANI NCHINI MAREKANI

Dr. Slaa akiwa na Gavana wa Alabama 2013Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa ameondoka nchini siku ya (Jumamosi Aprili 11, 2015) kuelekea nchini Marekani ambako atakuwa na ziara ya kikazi ya siku tisa. Dk. Slaa katika safari hiyo ameambatana na mkewe Josephine Mushumbusi.
Ziara hii ya siku tisa ni mwaliko wa Gavana wa Jimbo la Indiana Mike Pence pamoja na taasisi mbalimbali za nchini humo ikiwemo vyuo vikuu kutokana na kutambua mchango wa kisiasa na...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM AKUTANA NA BALOZI WA RWANDA NCHINI

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia), akimkaribisha Balozi wa Rwanda hapa nchini, Eugene Kayihura, kabla ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
 Balozi wa Rwanda hapa nchini, Eugene Kayihura, akijitambulisha kwa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, kabla ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu wa Balozi huyo, Ernest Bugingo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani