Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SYMBION POWER YAWA YA KWANZA KUTUMIA GESI KUTOKA MTWARA KUZALISHA UMEME KWA KUTUMIA BOMBA JIPYA LA KM 487 MJINI DAR ES SALAAM

  DAR ES SALAAM, Tanzania. Tarehe 21 Septemba 2015 -- Symbion Power yenye tawi lake maeneo ya Ubungo leo imetangaza kuwa imefanikiwa katika majaribio ya kutumia gesi asilia katika mitambo yake . Gesi inapatikana  Ghuba ya  Mnazi iliyo karibu na Mtwara Kusini mwa Tanzania. 
Kwa zaidi ya Mwaka mmoja sasa ; Mitambo hii yenye uwezo wa kuzalisha kiasi cha Megawati 120 haikuweza kufanya uzalishaji wowote kutokana na ukosefu wa gesi asilia kama chanzo cha nishati Tanzania


“Kwa mara nyingine Symbion...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Chuo kikuu cha Dodoma kuzalisha umeme wa megawati 55 kwa kutumia jua

Chuo kikuu cha Dodoma kinatarajia kuzalisha umeme wa jua utakaoweza kuzalisha megawati 50. Mradi huo mkubwa unatarajiwa kujengwa na kuwa mkubwa kuliko chuo chochote kuwahi kujenga ndani ya eneo la chuo duniani. Megawati hizo zitatumika kwa kuanzia kusambaza umeme kwenye mabweni, madarasa ya kufundishia, sehemu za kufanyia tafiti na eneo la madawa au huduma za […]

 

9 years ago

Michuzi

Ziara ya Dkt.Kalemani katika kituo cha uzalishaji umeme kwa kutumia Gesi Kinyerezi.

Na Anitha Jonas –MAELEZO Wizara ya Nishati na Madini imewaagiza watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha uzalishaji wa umeme katika Mradi wa Kinyerezi I na Kinyerezi II unakamilika ifikapo mwezi Februari 2016 na kuanza kufanya uzalishaji ilikuongeza kiasi cha nishati ya umeme kufikia zaidi ya Megawati 100.  Agizo hilo lilitolewa leo na Naibu Waziri, Wizara ya Nishati na Madini Dkt. Medadi Kalemani alipofanya ziara yake katika kituo cha kuzalisha umeme kwa kutumia...

 

9 years ago

Michuzi

TPDC YAANZA KUZALISHA GESI YA KWANZA HUKO MNAZI BAY, MTWARA

Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa kushirikiana na kampuni za Maurel and Prom na Wentworth Resources, leo hii wameendelea na zoezi nyeti la kutoa gesi asilia katika kisima namba 3 kilichopo Mnazi Bay (MB3) kwenda katika kiwanda cha kuchakata gesi asilia kilichopo Madimba, Mtwara. 
Zoezi hili ni muendelezo wa ukamilishaji wa mradi mkubwa wa Serikali wa kuzalisha gesi asilia kwa madhumuni ya kuzalisha umeme hapa nchini.
Akiongea wakati wa zoezi hilo, Mkurugenzi Mtendaji wa...

 

9 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: Hatimaye Gesi Asilia kutoka Mtwara yafika Dar es salaam

 Mtaalam kutoka Kampuni ya “CPP” (Mkandarasi wa Mradi wa Gesi Asilia) (Kulia) akitoa maelezo ya usalama kabla ya wakuu wa taasisi za TPDC na TANESCO kuingia katika kituo cha kupokea gesi asilia Kinyerezi, jijini Dar es Salaam, kituo hicho tayari kimeanza kupokea gesi asilia kutoka kiwanda cha kuchakata gesi  Madimba Mkoani Mtwara.

 Mtaalam kutoka Kampuni ya Mhandisi Mshauri Muelekezi (WorleyParsons), Allen Slowe (kulia) akitoa maelezo ya jinsi ya zoezi zima la kupokea gesi asilia...

 

11 years ago

Michuzi

Mgomo baridi wa usafiri BAADA YA DALADALA DAR ES SALAAM KUZUIWA KUTUMIA KITUO CHA MWENGE NA KUTUMIA CHA MAKUMBUSHO

  Abiria wakiwa wanashangaa Daladala zinapita kituo cha Mwenge jijini Dar es salaam bila kusimama, ikiwa ni siku ya kwanza wasafirishaji hao kuamriwa kutumia kituo cha Makumbusho ambacho inaelekea hawaafiki.  Daladala zikiwa zinapita bila kusimama sehemu yoyote  Kituo cha kwenda Tegeta , Kawe na Mbezi kikiwa Kitupu Muda huu  Kituo cha Mabasi Mwenye Cheupe hakuna hata Daladala hata moja  Bajaji ndizo zimegeuka kuwa daladala na ni Tsh 1000 tu kwa mtu mmoja mpaka Mwenge  Eneo ambalo...

 

11 years ago

Michuzi

kampuni ya kuzalisha umeme ya SYMBION KUSAIDIA PROGRAMU ZA VIJANA TFF

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Symbion Power Tanzania Limited zimesaini makubaliano ambapo kampuni hiyo itasaidia kwenye maeneo matatu ya mpira wa miguu wa vijana. Makubaliano hayo yametiwa saini leo (Februari 26 mwaka huu) kwenye ofisi za TFF jijini Dar es Salaam. Rais wa TFF, Jamal Malinzi amesaini kwa niaba ya shirikisho wakati upande wa Symbion aliyesaini ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Peter Gathercoles. Maeneo ambayo Symbion itasaidia ni ujenzi wa vituo...

 

9 years ago

TheCitizen

Symbion power looking for investors in 600 mw Mtwara project

Several potential investors have shown strong interest in Symbion Power’s 600 MW gas-to-power project in Mtwara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani