Mbunge wa Ludewa,Mh. Deo Filikunjombe akizindua mradi wa maji Jimboni kwake kwa kunywa maji ya Mtoni
Mbunge wa jimbo la Ludewa,Mh. Deo Filikunjombe akizindua mradi wa maji kwa kunywa maji ya mto kwa majani ya mgomba maji ambayo wapiga kura wake wa kijiji cha Madindo Mlangali wamekuwa wakiyatumia. Mbunge huyo mbali ya kuzindua pia alitoa msaada wa matenki makubwa ya maji mawili na vifaa mbali mbali juzi.(picha na Francis GodwinBlog)
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMAMIA WAMUAGA MBUNGE WA LUDEWA DEO FILIKUNJOMBE NA NDUGU ZAKE NYUMBANI KWAKE KIJICHI JIJINI DAR ES SALAAM
Aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe enzi za Uhai wake. Msaidizi wa Mbunge huyo, Casablanga Haule enzi za Uhai wake. Padri Plasdus Ngabuma enzi za Uhai wake. Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deogratias Filikunjombe wakati wa ibada ya kuuaga iliyofanyika nyumbani kwake Kijichi Dar es Salaam leo mchana. Majeneza yenye miili ya aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deogratias Filikunjombe na ndugu zake, Plasdus Ngabuma na Casablanga Haule yakiwa...
11 years ago
Michuzi14 Jun
Mbunge Filikunjombe avunja rekodi ya kutembelewa na wageni wengi bungeni kutoka jimboni kwake Ludewa
Mbunge wa Namtumbo Mhe Vita Kawawa akisalimiana na wajumbe 92 kutoka jimbo la Ludewa ambao ni wenyeviti kata na makatibu kata kutoka kata zote 25 za jimbo la Ludewa
Sehemu ya wajumbe 92 kutoka jimbo la Ludewa ambao ni wenyeviti kata na makatibu kata kutoka kata zote 25 za jimbo la Ludewa
Waziri mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na wajumbe 92 kutoka jimbo la Ludewa ambao ni wenyeviti kata na makatibu kata kutoka kata zote 25 za jimbo la Ludewa
Waziri...
9 years ago
Bongo516 Oct
Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe afariki dunia kwa ajali ya helikopta, abiria wote wamepoteza maisha
Mbunge wa jimbo la Ludewa, Deo Filikunjombe amefariki dunia baada ya helikopta aliyokuwa akiitumia kwaajili ya kampeni kupata ajali. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na meya wa manispaa ya Ilala, Jerry Silaa ambaye pia amempoteza baba yake kwenye ajali hiyo. “Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa rasmi kutoka kwa timu ya uokoaji imefanikiwa kufika eneo la […]
9 years ago
EatvMbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe amefariki dunia
TANZIA: Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe pamoja Kapteni William Silaa ambaye ni baba yake Jerry Silaa, wamefariki dunia katika ajali ya helkopta iliyotokea jana jioni kwenye msitu wa Selous.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi
9 years ago
MichuziDkt. Magufuli apokea kwa masikitiko kifo cha Mbunge wa Jimbo la Ludewa, mkoani Njombe Ndugu Deo Filikunjombe Haule,
Pichani Kulia ni Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimnadi aliyekuwa Mgombea Ubunge wa jimbo la Ludewa, Deo Filikunjombe (enzi za uhai wake),wakati Dkt Mgufuli alipopita kwenye jimbo hilo wakati wa kampeni Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amepokea kwa mshtuko na huzuni nyingi taarifa za vifo vya Mbunge wa Jimbo la Ludewa, mkoani Njombe Ndugu Deo Filikunjombe Haule, Kepteni William Silaa pamoja na abiria wengine wawili ambao wameaga...
10 years ago
VijimamboMBUNGE JOSHUA NASSAR AANDALIWA SHEREHE JIMBONI KWAKE ,NI BAADA YA KUTATUA MGOGORO WA MAJI.
Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassar akiwahutubia wananchi wa kata ya Leguruki na King'ori baada ya kufanikiwa kuvunjwa kwa bodi ya maji uliokuwa ikihudumia vijiji 15 katika jimbo hilo. Mamia ya wananchi wakimsikiliza mbunge Joshua Nassar wakati akizungumza katika mkutano huo. Mbunge Joshua Nassar alitumia pia mkutano huo ,kukabidhi magari mawili ya kubebea wagonjwa katika jimbo la Arumeru Mashariki. Mbunge Joshua Nassar akiwa na mkewe Anande Nnko wakati wa sherehe ya kimila...
11 years ago
Michuzi16 Jun
MBUNGE DEO FILIKUNJOMBE NA WAGENI WAKE KUTOKA LUDEWA WAPAGAWISHWA NA MJOMBA BENDI
Msanii Mrisho Mpoto mkurugenzi wa Mjomba Bend akipiga picha na viongozi wa CCM kutoka Ludewa katika show iliyoandaliwa na mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe usiku huu jijini Dar es Salaam
Viongozi wa CCM kutoka kata za wilayaya Ludewa wakijipongeza kwa show kali kutoka kwa Mjomba Bendi baada ya kumaliza mafunzo ya uongozi jijini Dar
Mkurugenzi wa bendi ya Mjomba Mrisho Mpoto akicheza na wana Ludewa katika show kali iliyoandaliwa na mbunge wao Deo...
9 years ago
VijimamboMBUNGE WA LUDEWA DEO FILIKUNJOMBE APINGWA KUPITA BILA KUPINGWA MCHAKATO WA UCHAGUZI MKUU
Mgombea Ubunge Jimbo la Ludewa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Msambichaka Mkinga (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, wakati akipinga kupitishwa bila kupingwa mgombea mwenzake wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Deo Filikunjombe na kudai kulikuwa na hujuma. Kulia ni Wakili wake, Paulo Kalomo. Mgombea Ubunge Jimbo la Ludewa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Msambichaka Mkinga, akionesha...
9 years ago
MichuziSTOP PRESS: MBUNGE WA LUDEWA MHE DEO FILIKUNJOMBE AFARIKI KATIKA AJALI YA CHOPA
Mbunge wa Ludewa Mhe Deogratias Haule Filikunjombe (chini) amefariki dunia katia ajali ya Chopa katika hifadhi ya wanyama ya Selous, pamoja na rubani Kepteni William Silaa (juu kulia), mfanyakazi wa halmashauri ya wilaya ya Ludewa na ndugu yake Marehemu Filikunjombe ambao majina hayajapatikana mara moja.
Mhe. Deo Filikunjombe, rubani na na abiria wengine walipata matatizo ya engine ya chopa namba 5Y-DKK jana jioni wakitokea Dar kuelekea Ludewa.
Kwa mujibu wa Meya wa Ilala aliyemaliza muda...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania