Wanafunzi 39 walazwa kunywa maji yenye petroli
Wanafunzi 39 wa Shule ya msingi ya Fahari jijini Dar es Salaam wanapatiwa matibabu katika Hospitali ya Zakhem, baada ya kunywa maji yanayohisiwa kuchanganywa na mafuta ya petroli.
Hata hivyo, wanafunzi watatu wanashikiliwa na Jeshi la polisi wakituhumiwa kuhusika na tukio hilo.Tukio hilo limetokea jana asubuhi wakati wakipata chai na kunywa maji hayo yaliyohifadhiwa kwenye plastiki maalum linalomilikiwa na shule hiyo.
Mwalimu wa zamu, Ali Elias, alisema tukio hilo limesababisha wanafunzi wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi30 Sep
Watu 270 walazwa kwa kunywa togwa
10 years ago
CloudsFM30 Sep
WATU 270 WALAZWA KWA KUNYWA TOGWA ILIYOSADIKIWA KUWA NA SUMU
Watu zaidi ya 270 wa Kijiji cha Litapwasi, Wilaya ya Songea, mkoani Ruvuma wamelazwa wengi wao wakiwa na hali mbaya katika Zahanati ya Lyangweni na Hospitali ya Misheni ya St Joseph, Peramiho baada ya kunywa togwa inayosadikiwa kuwa na sumu.
Tukio hilo lilitokea juzi mchana kwenye sherehe ya Kipaimara kwa mtoto Dickson Nungu (14) na kuzua hofu kubwa kwa wakazi wa kijiji hicho ambao wanaonekana kutoamini kilichotokea.
Wingi wa wagonjwa hao umesababisha zahanati hiyo kuelemewa na kiasi cha...
9 years ago
StarTV23 Nov
Watu watano walazwa hospitali ya Mbuyula Mbinga kwa Unywaji wa Togwa Yenye Sumu
Watu watano wamelazwa katika hospitali ya Mbuyula wilayani Mbinga mkoani Ruvuma baada ya kunywa togwa inayodhaniwa kuwa na sumu.
Mganga mfawidhi wa Hospitali ya Mbuyula Elisha Robert amesema wagonjwa hao ambao waliletwa hospitalini hapo wakidhaniwa kuwa wameambukizwa ugonjwa wa kipindupindu walibainika kuwa wamekunywa kinywaji aina ya Togwa ambacho kimesababisha waharishe.
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mbuyula wilaya ya Mbinga Elisha Robati amesma aliweza kugundua kuwa homa hiyo ya...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-qf2kJrf2ApE/U_TMnJwScBI/AAAAAAAGA9w/PQH5wIenR2g/s72-c/unnamed%2B(49).jpg)
Mbunge wa Ludewa,Mh. Deo Filikunjombe akizindua mradi wa maji Jimboni kwake kwa kunywa maji ya Mtoni
![](http://2.bp.blogspot.com/-qf2kJrf2ApE/U_TMnJwScBI/AAAAAAAGA9w/PQH5wIenR2g/s1600/unnamed%2B(49).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Xm1XeshQta4/U_TMnTV5pEI/AAAAAAAGA9s/XI0MMyay-dk/s1600/unnamed%2B(50).jpg)
10 years ago
Habarileo07 Jan
8 hoi kwa kunywa maziwa yenye sumu
WATU wanane wa familia tatu tofauti, wakiwemo wanafunzi wa shule ya msingi, wamelazwa katika Hospitali ya Misheni ya Malkia wa Ulimwengu Puma wilayani Ikungi mkoani hapa baada ya kunywa maziwa yanayodhaniwa kuwa na sumu.
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Kwimba kuanza kunywa maji safi
MBUNGE wa Kwimba mkoani Mwanza, Shanif Mansoor (CCM), amewahakikishia wananchi wa Ngudu na Mhalo kwamba ifikapo Machi wataanza kupata majisafi kutoka Ziwa Victoria. Alisema kuanzia Juni hadi Oktoba, wakazi wa...
10 years ago
BBCSwahili01 Oct
Sokwe wagundua kifaa cha kunywa maji
10 years ago
Mwananchi28 Jan
Wanasayansi ‘Bongo’ kusafisha maji ya kinyesi kuwa ya kunywa
9 years ago
Bongo509 Sep
King Kaka aingiza sokoni maji ya kunywa, ‘Majik Walter’