King Kaka aingiza sokoni maji ya kunywa, ‘Majik Walter’
Rapper kutoka nchini Kenya na mjasiriamali, King Kaka ameendelea kujikita zaidi kwenye biashara baada ya kuingiza bidhaa yake mpya ya maji sokoni. King Kaka ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake’Najipendelea’ aliowashirikisha G-Nako na Joh Makini, ameiambia 255 ya kipindi cha Clouds FM, XXL kuwa ameamua kutumia muziki wake kibiashara zaidi. Timu ya Kabras Rugby […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima13 Jan
Jide aingiza sokoni Historia
BAADA ya kufanya vizuri na ngoma yake ya ‘Yahaya’, mwanadada anayefanya vizuri katika tasnia ya muziki wa Bongo fleva, Judith Wambura ‘Jide’ amesambaza kazi yake mpya inayojulikana kwa jina la...
11 years ago
Tanzania Daima15 Feb
Mwasabwite aingiza ya pili sokoni
MUIMBAJI wa muziki wa injili, Edson Mwasabwite, ameachia albamu ya pili inayojulikana kwa jina la ‘Amenihurumia asilimia mia’. Akizungumzia ujio wa albamu hiyo aliyoirekodi katika studio ya Cke, Mwasabwite amesema...
9 years ago
Bongo514 Nov
Picha: Jux aingiza sokoni nguo zake za ‘African Boy’

Pamoja na kuonesha kitita cha $50,000 ambazo ni takriban shilingi milioni 100 kwenye Instagram hivi karibuni, Jux hapunguzi speed za kuchase papers.
Muimbaji huyo wa ‘Looking For You’ aliyerejea China anakoendelea na masomo, ameingiza sokoni nguo za brand yake, African Boy.
Hadi sasa t-shirt za kike na kiume pamoja na kofia za brand hiyo zimeshaingia sokoni. Hizi ni baadhi ya bidhaa hizo.
11 years ago
Michuzi.jpg)
Mbunge wa Ludewa,Mh. Deo Filikunjombe akizindua mradi wa maji Jimboni kwake kwa kunywa maji ya Mtoni
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Bongo515 Oct
Video: King Kaka Ft. Rich Mavoko — Lini
10 years ago
Vijimambo
9 years ago
Bongo516 Dec
Video: King Kaka Ft. Femi One & Avril – Ndio Kusema

Video mpya ya rapper King Kaka kutoka Kenya amewashirikisha Femi One na Avril wimbo unaitwa “Ndio Kusema”
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
11 years ago
MichuziKAMATI YA MAJI KING'ONGO DAR WAKAGUA UJENZI WA MRADI WAO WA MAJI ULIOFADHILIWA NA TBL
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Kwimba kuanza kunywa maji safi
MBUNGE wa Kwimba mkoani Mwanza, Shanif Mansoor (CCM), amewahakikishia wananchi wa Ngudu na Mhalo kwamba ifikapo Machi wataanza kupata majisafi kutoka Ziwa Victoria. Alisema kuanzia Juni hadi Oktoba, wakazi wa...