Picha: Jux aingiza sokoni nguo zake za ‘African Boy’
Pamoja na kuonesha kitita cha $50,000 ambazo ni takriban shilingi milioni 100 kwenye Instagram hivi karibuni, Jux hapunguzi speed za kuchase papers.
Muimbaji huyo wa ‘Looking For You’ aliyerejea China anakoendelea na masomo, ameingiza sokoni nguo za brand yake, African Boy.
Hadi sasa t-shirt za kike na kiume pamoja na kofia za brand hiyo zimeshaingia sokoni. Hizi ni baadhi ya bidhaa hizo.
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima13 Jan
Jide aingiza sokoni Historia
BAADA ya kufanya vizuri na ngoma yake ya ‘Yahaya’, mwanadada anayefanya vizuri katika tasnia ya muziki wa Bongo fleva, Judith Wambura ‘Jide’ amesambaza kazi yake mpya inayojulikana kwa jina la...
11 years ago
Tanzania Daima15 Feb
Mwasabwite aingiza ya pili sokoni
MUIMBAJI wa muziki wa injili, Edson Mwasabwite, ameachia albamu ya pili inayojulikana kwa jina la ‘Amenihurumia asilimia mia’. Akizungumzia ujio wa albamu hiyo aliyoirekodi katika studio ya Cke, Mwasabwite amesema...
9 years ago
Bongo509 Sep
King Kaka aingiza sokoni maji ya kunywa, ‘Majik Walter’
11 years ago
CloudsFM18 Jun
BARNABA BOY APATA MANAGER WA KUMSIMAMIA KAZI ZAKE
Msanii wa Bongo Fleva,Barnaba Boy Classic kwa mara ya kwanza ametafuta meneja tangu aanze rasmi ‘game’ ya muziki wa Bongo Fleva.
Barnaba ameamua kutafuta mtu wa ku'manage' kazi zake za muziki ndani na nje Tanzania pamoja na michongo yote ya kijamii na mitonyo, hajawahi kufanya hivi tangu atoke na wimbo wake Wrong Number mwaka 2009, na meneja wake ni Lumuliko Mengele.Barnaba huyu hapa anafunguka.
11 years ago
Bongo521 Jul
Tudd Thomas afuata nyayo za Dr. Dre, kuingiza sokoni headphone zake ‘TTP’
9 years ago
Bongo511 Nov
Jux aonesha milioni 100 kwenye Instagram (Picha)
![page](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/page-300x194.jpg)
Kumiliki shilingi milioni 100 kwa wakati mmoja kwa watu wengi ni ndoto nadra kutimia. Kwa Jux hizo ni fedha anazozishika kila wakati na ndio maana haoni hatari kuwaonesha mashabiki wake kwenye Instagram.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Jux amepost picha za fedha hizo zilizo kwa dola na kuandika:
It’s 50k in USD, its 100million in TSHs I think I don’t have a bad weekend I saw my first 100mil when I was 22 now it’s not new anymore go hard everything is possible in God I trust don’t forget...
10 years ago
Bongo501 Jan
Vanessa Mdee athibitisha uhusiano na Jux kwa picha hii?