Mwasabwite aingiza ya pili sokoni
MUIMBAJI wa muziki wa injili, Edson Mwasabwite, ameachia albamu ya pili inayojulikana kwa jina la ‘Amenihurumia asilimia mia’. Akizungumzia ujio wa albamu hiyo aliyoirekodi katika studio ya Cke, Mwasabwite amesema...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima13 Jan
Jide aingiza sokoni Historia
BAADA ya kufanya vizuri na ngoma yake ya ‘Yahaya’, mwanadada anayefanya vizuri katika tasnia ya muziki wa Bongo fleva, Judith Wambura ‘Jide’ amesambaza kazi yake mpya inayojulikana kwa jina la...
9 years ago
Bongo509 Sep
King Kaka aingiza sokoni maji ya kunywa, ‘Majik Walter’
9 years ago
Bongo514 Nov
Picha: Jux aingiza sokoni nguo zake za ‘African Boy’
Pamoja na kuonesha kitita cha $50,000 ambazo ni takriban shilingi milioni 100 kwenye Instagram hivi karibuni, Jux hapunguzi speed za kuchase papers.
Muimbaji huyo wa ‘Looking For You’ aliyerejea China anakoendelea na masomo, ameingiza sokoni nguo za brand yake, African Boy.
Hadi sasa t-shirt za kike na kiume pamoja na kofia za brand hiyo zimeshaingia sokoni. Hizi ni baadhi ya bidhaa hizo.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili...
10 years ago
MichuziMwasabwite kukonga Tamasha la Krismasi
Mwasabwite alisema amejipanga kikamilifu kukonga nyoyo za mashabiki wake katika tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika Desemba 25, 26 na 28 hivyo mashabiki zake wajitokeze kwa wingi kupata burudani ya nguvu...
10 years ago
BBCSwahili08 Dec
Kabila aingiza wapinzani serikalini
11 years ago
CloudsFM04 Aug
ZITTO KABWE AINGIZA SAUTI KWENYE WIMBO MPYA WA LINEX
Staa wa Bongo Fleva,Linex Sunday Mjeda hivi karibuni ataandika historia kwa kutambulisha video ya ngoma yake “wema kwa ubaya” katika ukumbi flani na tukio hilo kuonyeshwa live kwenye tv station mbili nchini Tanzania, na katika ngoma hiyo itaskika sauti ya mbunge wa Kigoma Kaskazini, Mheshimiwa Zito Kabwe.Kwa mara ya kwanza pia linex ameweka rekodi kwa kumlipa mkwanja mrefu director Adam Juma next lavel ambaye hivi karibuni aliwahi kufunguka kuwa tangu aanze kazi yake hajawahi kulipwa zaidi...
10 years ago
MichuziMAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AZINDUA WA BARABARA YA MKAPA AWAMU YA PILI
5 years ago
MichuziSERIKALI YAOMBWA KULIINGIZA ZAO LA PILI PILI KICHAA KWENYE MAZAO YA KIMKAKATI.
Mhandishi na mkulima wa Manguajuki manispaa ya Singida,akikagua pilipili kichaa.Bei ya pilipili kichaa kilo ni shilingi 5,000 kwa kilo. Sehemu ya ekari tano za shamba la pilipili kichaa la mhandisi/mkulima wa Manguanjuki manspaa ya SingidamHassan Tati. Mmoja kati ya miche ya mapapai iliyopo kwenye shamba la pilipili kichaa linalomilikiwa na mhandisi/mkulima Haasan Tati mkazi wa Manguanjuki nje kidogo ya mji wa Singida.Mhandisi na mkulima na mkazi wa Manguanjuki manispaa ya ...
10 years ago
MichuziKITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU CHATOA TAARIFA KUHUSU AWAMU YA PILI YA KAMPENI YA KUSAMBAZA UELEWA WA RASIMU YA PILI-KAMPENI GOGOTA
Wanahabari wakiwa kwenye mkutano huo.
Picha/Habari na Dotto Mwaibale
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu...