Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watafiti UDSM kusafisha majitaka kuwa ya kunywa

Kitengo cha Utafiti cha Idara ya Uhandisi, Teknolojia na Madini (COET) cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kipo katika mchakato wa kusafisha majitaka yanayotokana na kinyesi na kuyarejeleza kuwa safi na salama kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wanasayansi ‘Bongo’ kusafisha maji ya kinyesi kuwa ya kunywa

Umeshikwa na kiu? Unaingia katika duka lililo jirani na kununua maji ya chupa kwa ajili ya kunywa. Lakini ukapatwa na udadisi kutaka kujua maji hayo yametengenezwa na nini. Unaposoma kilichotumika kutengeneza maji hayo, unagundua kuwa yametengenezwa kwa kinyesi.

 

10 years ago

Habarileo

Kituo cha UDOM kuwa na mashine 40 za kusafisha figo

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa.KITUO cha Uchunguzi wa maradhi cha Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kinatarajia kuwa na mashine za kisasa 40 za kusafisha figo pia kitakuwa kituo cha kwanza kubadilisha figo nchini.

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA KONGAMANO LA WATAFITI WA UFUGAJI NYUKI BARANI AFRIKA

TANZANIA inatarajia kuwa mwenyeji wa kongamano la watafiti na wanasayansi wa sekta ya ufugaji nyuki Barani Afrika linalotarajiwa kufanyika Jijini Arusha kuanzia tarehe 11 hadi 16 Novemba mwaka huu.
Kongamano hilo linatajiwa kuhudhuriwa na washiriki 550 ambapo kati yao Watanzaniani 250 na wageni kutoka nje ya nchi wanatarajia kuwa 300. Akizungumza na waandishi wa Habari leo Jumanne (Septemba 16, 2014), Jijini Dar esSaalaam, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Misitu Tanzania katika Wizara ya ...

 

10 years ago

CloudsFM

WATU 270 WALAZWA KWA KUNYWA TOGWA ILIYOSADIKIWA KUWA NA SUMU

Watu zaidi ya 270 wa Kijiji cha Litapwasi, Wilaya ya Songea, mkoani Ruvuma wamelazwa wengi wao wakiwa na hali mbaya katika Zahanati ya Lyangweni na Hospitali ya Misheni ya St Joseph, Peramiho baada ya kunywa togwa inayosadikiwa kuwa na sumu.
Tukio hilo lilitokea juzi mchana kwenye sherehe ya Kipaimara kwa mtoto Dickson Nungu (14) na kuzua hofu kubwa kwa wakazi wa kijiji hicho ambao wanaonekana kutoamini kilichotokea.

Wingi wa wagonjwa hao umesababisha zahanati hiyo kuelemewa na kiasi cha...

 

10 years ago

Bongo5

Nick wa Pili, Millard Ayo, Irene Kiwia na wengine kuwa wazungumzaji kwenye kongamano la masomo UDSM, June 6

Rapper wa kundi la Weusi, Nick wa Pili, mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo na mrembo na mwanaharakati wa masuala ya wanawake, Irene Kiwia ni miongoni mwa mastaa watakaozungumza kwenye kongamano la masuala ya masoko litakalofanyika kwenye chuo kikuu cha Dar es Salaam, UDSM, June 6. Kombamano hilo limeandaliwa na chama cha masoko cha chuo […]

 

11 years ago

Mwananchi

Wataka Mwauwasa kuwaunganisha majitaka

Wakazi wa Mtaa wa Igogo Kusini A, Wilaya ya Nyamagana, wameomba Mamlaka ya majisafi na majitaka Mwanza (Mwauwasa), kuunganisha nyumba zote za mtaa huo kwenye mfumo wa majitaka badala ya nyumba zenye huduma ya maji safi pekee.

 

10 years ago

Habarileo

Makalla ahimiza miundombinu ya majitaka

NAIBU Waziri wa Maji, Amos Makalla ametaka bodi za wakurugenzi za mamlaka za maji na usafi wa mazingira nchini, kuweka vipaumbele vya ujenzi wa miundombinu ya majitaka na kuyaondoa maji taka yaliyotumika majumbani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mradi wa majitaka Sinza wahitaji bil. 6/-

MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amesema sh bilioni sita zinahitajika kwa ajili ya kukamilisha mradi wa kuondoa majitaka katika Kata ya Sinza, Dar es Salaam. Mnyika alitoa kauli hiyo...

 

10 years ago

Habarileo

RC Dodoma alia na siasa za majitaka dhidi ya katiba

Chiku GallawaMKUU wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa amepiga marufuku siasa chafu zinazoendeshwa mkoani hapa ambapo wananchi wamekuwa wakihamasishwa kutoipigia kura Katiba inayopendekezwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani