Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kituo cha UDOM kuwa na mashine 40 za kusafisha figo

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa.KITUO cha Uchunguzi wa maradhi cha Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kinatarajia kuwa na mashine za kisasa 40 za kusafisha figo pia kitakuwa kituo cha kwanza kubadilisha figo nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MUHIMBILI KUFUNGA MASHINE TATU ZA KUSAFISHA DAMU HOSPITALI YA AMANA ILI KUHUDUMIA WAGONJWA WENYE MATATIZO YA FIGO WALIOAMBUKIZWA UGONJWA WA CORONA


Mojawapo ya mashine ya kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo iliyofungwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana ambayo thamani yake ni TZS. 70 Mil.

Mashine ya kusaidia mgonjwa kupumua ambayo itafungwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana ambayo thamani yake ni TZS. 56 Mil.

Mtambo wa kuchuja maji (Portable RO System) kwenda kwenye mashine ya kusafisha damu wenye thamani ya TZS. 28 Mil uliofungwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana


Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imefunga mashine tatu za kusafisha damu...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF YAJENGA KITUO CHA KISASA CHA UCHUNGUZI NA MATIBABU YA MAGONJWA YA BINADAMU UDOM MKOANI DODOMA

1Kituo cha Kisasa cha Uchunguzi na Matibabu ya magonjwa ya binadamu kinachojengwa katika Chuo Kikuuu cha Dodoma UDOMT  kikiwa katika hatua za mwisho mwisho za kukamilika.Kituo hiki kitahudumia wagonjwa kutoka maeneo mbalimbali ya mikoa ya jirani ya na mkoa wa Dodoma na kinajengwa kwa ufadhili wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF kwa gharama ya shilingi Bilioni 36 ambazo zimetolewa na mfuko huo kwa  silimia 100. Akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali wanaohudhuria kongamano la Mfuko wa...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF YAJENGA KITUO KIKUBWA CHA KISASA CHA UCHUNGUZI NA MATIBABU YA MAGONJWA YA BINADAMU UDOM MKOANI DODOMA.

Kaimu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM),Prof.Shaaban Mlacha akizungumza na baadhi ya Wanahabari (hawapo pichani),kuhusiana na ujenzi wa mradi mkubwa wa kituo cha  uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya binadamu katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM).Mradi huo ambao unaelezwa kuwa umegharimu kiasi cha fedha shilingi Bilioni 36,zimetolewa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF.
Kwa mujibu wa Profesa Shaban Mlacha,amesema kuwa kituo hicho kitajikita zaidi kwenye magonjwa ya uchunguzi /Utafiti na...

 

5 years ago

CCM Blog

HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI YAFUNGA MASHINE TATU ZA KUSAFISHA DAMU

Hospitali ya Taifa Muhimbili, imefunga mashine tatu za kusafisha damu   katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana zenye thamani ya Shilingi Milioni 210.
Taarifa hiyo imetolewa leo Aprili 26, 2020 na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma wa Hospitali hiyo, Aminiel Aligaesha na kuongeza kuwa, Hospitali hiyo pia inatarajia kufunga mashine moja ya kumsaidia mgonjwa kupumua kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa waliopata maambukizi hayo.
"Tayari wagonjwa wanaohitaji kusafishwa damu wameanza kuhudumiwa ,...

 

10 years ago

Mwananchi

Waziri akiri mashine za figo mbovu Z’bar

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imekiri kuwa hospitali za Serikali zinakabiliwa na ukosefu wa mashine za kusafisha figo (dalaysis), hali inayolazimisha wagonjwa kupelekwa nje.

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania kuwa kituo cha usuluhishi

>Tanzania inatarajia kuzindua kituo cha kimataifa cha usuluhishi wa migogoro ya kibiashara kutokana na kukua kwa sekta ya uwekezaji ikiwamo mafuta na gesi nchini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lushoto kuwa kituo cha uzalishaji matunda

SERIKALI imeazimia kuifanya Wilaya ya Lushoto, mkoani Tanga kuwa kituo kikuu cha uzalishaji wa matunda na mbogamboga nchini kutokana na kuzalisha kwa wingi mazao hayo hadi kuuza nje ya nchi....

 

9 years ago

Dewji Blog

Miaka 17 ya Kituo cha Mazoezi cha Home Gym: kutembelea wodi ya wazazi Kituo cha Afya Sinza Palestina leo Sept 19

home gymKituo cha Mazoezi cha Home Gym…

Na Andrew Chale, modewjiblog

[Dar es Salaam-Tanzania]- Kuelekea miaka 17 ya tangu kuanzishwa kwa  kituo cha Mazoezi cha Home Gym chenye maskani yake Mwenge jijini Dar es Salaam-Tanzania, uongozi wa kituo hicho unatarajia kufanya matukio makuu muhimu ikiwemo kutembelea  wodi ya akina mama katika kituo cha Afrya cha Sinza Palestina Jijini.

Akizungumza na modewjiblog, Mkurugenzi wa kituo hicho, Andrew Mangomango amebainisha kuwa, kuelekea shughuli za miaka 17 za...

 

11 years ago

Habarileo

Kituo cha mabasi Dodoma kuwa nje ya mji

WAZIRI wa Ujenzi Dk John Magufuli ameagiza uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma na Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) kuhamishia kituo kikuu cha mabasi cha Dodoma nje ya mji, ili kudhibiti msongamano wa magari unaochangiwa na kukua kwa haraka kwa mji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani