Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri akiri mashine za figo mbovu Z’bar

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imekiri kuwa hospitali za Serikali zinakabiliwa na ukosefu wa mashine za kusafisha figo (dalaysis), hali inayolazimisha wagonjwa kupelekwa nje.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Waziri Kigoda: Mfumo mashine EFDs ni mbovu, unakandamiza

Serikali imekiri mfumo wa ulipaji kodi na ule wa utumiaji wa mashine za kutolea risiti(EFDs) kuwa ni mbovu na hivyo unahitaji kufanyiwa kazi.

 

10 years ago

Habarileo

Kituo cha UDOM kuwa na mashine 40 za kusafisha figo

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa.KITUO cha Uchunguzi wa maradhi cha Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kinatarajia kuwa na mashine za kisasa 40 za kusafisha figo pia kitakuwa kituo cha kwanza kubadilisha figo nchini.

 

5 years ago

Michuzi

MUHIMBILI KUFUNGA MASHINE TATU ZA KUSAFISHA DAMU HOSPITALI YA AMANA ILI KUHUDUMIA WAGONJWA WENYE MATATIZO YA FIGO WALIOAMBUKIZWA UGONJWA WA CORONA


Mojawapo ya mashine ya kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo iliyofungwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana ambayo thamani yake ni TZS. 70 Mil.

Mashine ya kusaidia mgonjwa kupumua ambayo itafungwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana ambayo thamani yake ni TZS. 56 Mil.

Mtambo wa kuchuja maji (Portable RO System) kwenda kwenye mashine ya kusafisha damu wenye thamani ya TZS. 28 Mil uliofungwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana


Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imefunga mashine tatu za kusafisha damu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waziri Chikawe akiri kosa

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, amekiri mbele ya viongozi wa serikali za vijiji saba vinavyozunguka mgodi wa dhahabu wa North Mara, kuwa serikali ilifanya makosa na...

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri wa Fedha akiri hali ngumu

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya amekiri Serikali kuwa katika hali ngumu, lakini akasema kuwa mkakati uliopo ni kudhibiti matumizi ili yaendane na fedha iliyopo.

 

10 years ago

Mwananchi

Waziri wa Fedha akiri udhaifu Bandari

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya amesema, Serikali itabadilisha kanuni kwa malengo mahususi ya kudhibiti misamaha ya kodi.

 

11 years ago

Habarileo

Waziri akiri changamoto maji safi Mpanda

Agrey MwanriNAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Agrey Mwanri, amesema ni asilimia 48 tu ya wakazi wa Wilaya ya Mpanda, ndio wanapata maji safi na salama.

 

10 years ago

Mtanzania

Waziri Simba akiri ngono kukithiri shule za msingi

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba

SHABANI MATUTU NA AZIZA MASOUD

WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba, amesema utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili (MUHAS), kuhusu wanafunzi wa shule za msingi kujihusisha na ngono una ukweli.

Simba ameyasema hayo baada ya gazeti hili kutoa taarifa kuhusu matokeo ya utafiti uliofanywa na MUHAS kupitia mradi wa PREPARE yaliyotolewa wiki iliyopita ili kubaini vijana...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Fedha afanya ukaguzi wa matumizi wa mashine za EFD katika maduka mkoani Dodoma

SONY DSC

Mh.Waziri wa Fedha Saada M. Salum (MB) akimsikiliza msimamizi wa duka la Salome Furniture wakati akijitetea baada ya kukutwa anafanya biashara bila ya kutumia mashine ya EFD.

Mh.Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum amefanya ukaguzi wa ghafla katika baadhi ya maduka Mkoani Dodoma ili kuona kama maelekezo ya Serikali kuhusu matumizi ya mashine za EFD yanatekelezwa ipasavyo.

Katika ukaguzi huo ambao ulihusisha maduka ya kuuza thamani za majumbani,nguo na maduka ya kuuza bidhaa mchanganyiko (Min...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani