MUHIMBILI KUFUNGA MASHINE TATU ZA KUSAFISHA DAMU HOSPITALI YA AMANA ILI KUHUDUMIA WAGONJWA WENYE MATATIZO YA FIGO WALIOAMBUKIZWA UGONJWA WA CORONA
Mojawapo ya mashine ya kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo iliyofungwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana ambayo thamani yake ni TZS. 70 Mil.
Mashine ya kusaidia mgonjwa kupumua ambayo itafungwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana ambayo thamani yake ni TZS. 56 Mil.
Mtambo wa kuchuja maji (Portable RO System) kwenda kwenye mashine ya kusafisha damu wenye thamani ya TZS. 28 Mil uliofungwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imefunga mashine tatu za kusafisha damu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogHOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI YAFUNGA MASHINE TATU ZA KUSAFISHA DAMU
Taarifa hiyo imetolewa leo Aprili 26, 2020 na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma wa Hospitali hiyo, Aminiel Aligaesha na kuongeza kuwa, Hospitali hiyo pia inatarajia kufunga mashine moja ya kumsaidia mgonjwa kupumua kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa waliopata maambukizi hayo.
"Tayari wagonjwa wanaohitaji kusafishwa damu wameanza kuhudumiwa ,...
5 years ago
MichuziWagonjwa wapya 53 wa corona waongezeka, Amana Sasa kupokea wenye dalili badala ya Muhimbili
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee, na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakati akipokea misaada kutoka katika kampuni mbalimbali kwa ajili...
5 years ago
MichuziTaasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kuwahudumia wagonjwa wenye matatizo ya moyo yanayohitaji matibabu ya kibingwa walioko katika kituo cha watu waliopata maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa Corona (COVID – 19) cha Amana jijini Dar
(JKCI) Prof. Mohamed Janabi akizungumza jambo wakati alipotembelea kituo cha watu waliopata maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID – 19) cha Amana jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuona namna ambavyo madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo watakavyoweza kutoa huduma kwa wagonjwa hao.
Msimamizi wa kituo cha watu waliopata maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID – 19) Dkt. Stanley Binagi akielezea...
5 years ago
CCM BlogMUHIMBILI YAIWEZESHA HOSPITALI YA RUFAA AMANA MASHINE ZA MILIONI 306
Mashine ya kusaidia mgonjwa kupumua ambayo itafungwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Amana ina thamani TZS. 56 Mil.
Mtambo wa kuchuja maji (Portable RO System) kwenda kwenye mashine ya kusafisha damu una thamani ya TZS. 28 Mil. na tayari umefungwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Amana.Na John StephenHospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)...
5 years ago
CCM BlogWAGONJWA WA CORONA WALAZIMISHA KUONDOKA HOSPITALI YA AMANA
Wagonjwa wa corona waliowekwa karantini katika hospitali ya Amana wamelazimisha kuachiwa na kuruhusiwa kurudi majumbani mwao.
Mkuu wa wilaya wa Ilala, Sophia Mjema athibitisha na kusema kuwa kuna baadhi ya wathirika wa CoronaVirus walikuwa kwenye kituo maalum katika Hospitali ya Amana walikuwa wakilazimisha kurudi makwao wakidai wanajisikia vizuri.
Na zile taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa wagonjwa hao wanadaiwa kuondoka kwa kukimbia na kupanda daladala, Mjema amesema...
5 years ago
MichuziHOSPITALI YA AMANA IPO TAYARI KUPOKEA WAGONJWA WA CORONA
NA ZAMARADI KAWAWA, MAELEZO, DAR ES SALAAMSerikali imehamisha wagonjwa wote waliokuwa wakipata huduma za afya katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dar es Salaam, Amana iliyopo Manispaa ya Ilala, ili kuanza kutekeleza jukumu la kutumia hospitali hiyo kutoa huduma za afya kwa wagonjwa wa Corona (COVID – 19).
Akizungumza na Watumishi wa hospitali hiyo mara baada ya kutembelea majengo yatakayotumika kuwalaza wagonjwa wa Corona (COVID-19), Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya,...
5 years ago
Michuzi10 years ago
Habarileo20 Jun
Kituo cha UDOM kuwa na mashine 40 za kusafisha figo
KITUO cha Uchunguzi wa maradhi cha Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kinatarajia kuwa na mashine za kisasa 40 za kusafisha figo pia kitakuwa kituo cha kwanza kubadilisha figo nchini.
5 years ago
CCM Blog