Makalla ahimiza miundombinu ya majitaka
NAIBU Waziri wa Maji, Amos Makalla ametaka bodi za wakurugenzi za mamlaka za maji na usafi wa mazingira nchini, kuweka vipaumbele vya ujenzi wa miundombinu ya majitaka na kuyaondoa maji taka yaliyotumika majumbani.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV15 Jan
Wizara yaagiza ujenzi miundombinu majitaka kupewa kipaumbele
Na Fredy Bakalemwa,
Mbeya.
Wizara ya maji imezitaka mamlaka zote za maji nchini kuweka mipango thabiti ya ujenzi wa miundombinu ya majitaka ili kuhifadhi mazingira.
Naibu Waziri wa Maji Amos Makala ameziagiza bodi ya mamlaka za maji kutoa kipaumbele katika kusimamia mipango ya ujenzi wa miundombinu ya maji taka ili maji machafu yanayozalishwa kutoka majumbani, viwandani na maeneo ya biashara yasiwe chanzo cha magonjwa ya mlipuko.
Mheshimiwa Makala aliyasema hayo katika ziara mkoani Mbeya...
10 years ago
MichuziMh. Makalla akagua miundombinu ya maji jijini Mbeya
Mh. Makalla amevutiwa sana na utendaji kazi wa Mamlaka hiyo na kuupongeza kwa kuongeza idadi kuwa wateja wa maji kutoka 9000 mwaka 2002 na kufikia 40,000 hivi sasa na pia kuwa mamlaka ya tatu kitaifa kuwa na miundombinu ya majitaka.
Mh. Makalla ameiagiza Mamlaka hiyo kuhakikisha inadhibiti upotevu wa maji kutoka...
10 years ago
Habarileo27 Mar
Kagame ahimiza ujenzi wa miundombinu EAC
RAIS Paul Kagame wa Rwanda amezisihi nchi za Afrika Mashariki zinazounda Ukanda wa Kati kutekeleza kwa vitendo mradi wa ujenzi wa miundombinu unaounganisha Ukanda wa Kati.
5 years ago
MichuziKAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YA YAAGIZA ULINZI WA MIUNDOMBINU
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeitaka Serikali kuhakikisha inaweka ulinzi madhubuti katika miundombinu ya mradi wa barabara za juu (Interchange) katika makutano ya eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam ili idumu kwa kipindi kirefu.
Mradi huo wenye lengo la kupunguza msongamano wa magari katika njia za barabara za Morogoro, Mandela na Sam Nujoma unagharimu kiasi cha shilingi bilioni 229 na huku Serikali ikichangia fedha za fidia kwa wananchi...
11 years ago
Mwananchi20 May
Wataka Mwauwasa kuwaunganisha majitaka
11 years ago
Tanzania Daima13 Mar
Mradi wa majitaka Sinza wahitaji bil. 6/-
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amesema sh bilioni sita zinahitajika kwa ajili ya kukamilisha mradi wa kuondoa majitaka katika Kata ya Sinza, Dar es Salaam. Mnyika alitoa kauli hiyo...
10 years ago
Habarileo04 Mar
RC Dodoma alia na siasa za majitaka dhidi ya katiba
MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa amepiga marufuku siasa chafu zinazoendeshwa mkoani hapa ambapo wananchi wamekuwa wakihamasishwa kutoipigia kura Katiba inayopendekezwa.
9 years ago
Habarileo23 Sep
Sina muda kujibu siasa za majitaka-Ntimizi
MGOMBEA ubunge wa jimbo la Igalula kwa tiketi ya CCM, Musa Ntimizi amesema siku zote huwa hana muda wa kujibu siasa za majitaka wala malumbano. Kauli hiyo alitoa kwenye uzinduzi wa kampeni za jimbo la Igalula iliyofanyika wilayani Uyui.
10 years ago
Mwananchi23 Jan
Watafiti UDSM kusafisha majitaka kuwa ya kunywa