Wizara yaagiza ujenzi miundombinu majitaka kupewa kipaumbele
Na Fredy Bakalemwa,
Mbeya.
Wizara ya maji imezitaka mamlaka zote za maji nchini kuweka mipango thabiti ya ujenzi wa miundombinu ya majitaka ili kuhifadhi mazingira.
Naibu Waziri wa Maji Amos Makala ameziagiza bodi ya mamlaka za maji kutoa kipaumbele katika kusimamia mipango ya ujenzi wa miundombinu ya maji taka ili maji machafu yanayozalishwa kutoka majumbani, viwandani na maeneo ya biashara yasiwe chanzo cha magonjwa ya mlipuko.
Mheshimiwa Makala aliyasema hayo katika ziara mkoani Mbeya...
StarTV
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziKAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YA YAAGIZA ULINZI WA MIUNDOMBINU
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeitaka Serikali kuhakikisha inaweka ulinzi madhubuti katika miundombinu ya mradi wa barabara za juu (Interchange) katika makutano ya eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam ili idumu kwa kipindi kirefu.
Mradi huo wenye lengo la kupunguza msongamano wa magari katika njia za barabara za Morogoro, Mandela na Sam Nujoma unagharimu kiasi cha shilingi bilioni 229 na huku Serikali ikichangia fedha za fidia kwa wananchi...
10 years ago
Habarileo12 Jan
Makalla ahimiza miundombinu ya majitaka
NAIBU Waziri wa Maji, Amos Makalla ametaka bodi za wakurugenzi za mamlaka za maji na usafi wa mazingira nchini, kuweka vipaumbele vya ujenzi wa miundombinu ya majitaka na kuyaondoa maji taka yaliyotumika majumbani.
11 years ago
Mwananchi17 Jun
Kesi za watoto kupewa kipaumbele
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-k4ExRAU62n8/VKy_RQnYhwI/AAAAAAACxMI/kRE0-N6myQQ/s72-c/innocent%2Bme.jpg)
VIJANA Kilimanjaro watakiwa kusimama imara na kudai fursa mbalimbali zikiwamo za kupewa kipaumbele katika ajira zinazotokana na mlima Kilimanjaro
![](http://3.bp.blogspot.com/-k4ExRAU62n8/VKy_RQnYhwI/AAAAAAACxMI/kRE0-N6myQQ/s1600/innocent%2Bme.jpg)
Kauli hiyo ilitolewa jana jijini na Naibu Kamanda wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), wilaya ya Moshi Vijijini, Innocent Melleck alipokuwa akizungumza na waandishi wahabari juu ya mkakati wa kupambana na wimbi la vijana walio mitaani kwa kukosa ajira katika mkoa wa Kilimanjaro . Melleck alisema anatarajia kuitisha...
9 years ago
MichuziWizara ya Afya yatangaza Mpango wa Taifa wa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele
10 years ago
Mwananchi26 May
Wabunge wahoji wizara kupewa fedha kiduchu
10 years ago
Habarileo27 Mar
Kagame ahimiza ujenzi wa miundombinu EAC
RAIS Paul Kagame wa Rwanda amezisihi nchi za Afrika Mashariki zinazounda Ukanda wa Kati kutekeleza kwa vitendo mradi wa ujenzi wa miundombinu unaounganisha Ukanda wa Kati.
11 years ago
Tanzania Daima11 Dec
Mzumbe, jamii kushirikiana ujenzi wa miundombinu
CHUO Kikuu Mzumbe Kampasi Kuu kinatarajia kuishirikisha jamii kujenga miundombinu ya kufundishia ili kukidhi mahitaji halisi ya kutolea elimu ya juu kwa Watanzania. Naibu Makamu Mkuu wa Chuo hicho Utawala...