Mzumbe, jamii kushirikiana ujenzi wa miundombinu
CHUO Kikuu Mzumbe Kampasi Kuu kinatarajia kuishirikisha jamii kujenga miundombinu ya kufundishia ili kukidhi mahitaji halisi ya kutolea elimu ya juu kwa Watanzania. Naibu Makamu Mkuu wa Chuo hicho Utawala...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWANAVIJIJI WAENDELEA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI, PCI NA CRDB KUBORESHA MIUNDOMBINU YA SHULE ILIYOFUNGULIWA MWAKA 1956
Na Fedson Masawa-Jimbo la Musoma VijijiniMsaidizi wa Mbunge
WANAKIJIJI cha Kijiji cha Kiemba, Kata ya Ifulifu wameendelea kushirikiana na WADAU wa MAENDELEO kuboresha MIUNDOMBINU ya SHULE YA MSINGI MURUNYIGO iliyofunguliwa Mwaka 1956.
Hivi karibuni BENKI ya CRDB imechangia ukamilishaji wa ujenzi wa chumba kimoja cha DARASA kwenye Shule hiyo.
MWALIMU MKUU wa Shule hiyo, Mwl Grace Majinge amesema kwamba jumla ya WANAFUNZI Shuleni hapo ni 846, na mahitaji ya VYUMBA vya MADARASA ni 21, ...
10 years ago
Tanzania Daima09 Dec
Miundombinu Ustawi wa Jamii kuboreshwa
SERIKALI imeahidi kulitafutia ufumbuzi tatizo la miundombinu linaloikabili Taasisi ya Ustawi wa Jamii ili kukabiliana na ongezeko kubwa la wanafunzi kila mwaka katika Taasisi hiyo. Akizungumza mwishoni mwa wiki katika...
10 years ago
Mwananchi11 Nov
Pinda ahimiza jamii kushirikiana
11 years ago
Habarileo22 Jan
Kampuni ya Mantra kushirikiana na jamii
KAMPUNI ya Mantra Tanzania inayosimamia mradi wa uchimbaji urani eneo la mto Mkuju wilayani Namtumbo Mkoa wa Ruvuma, imesisitiza kushirikiana na jamii inayozunguka eneo la mradi kwa kusaidia shughuli mbalimbali, zikiwemo za kijamii. Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Asa Mwaipopo alisema hayo jijini Dar es Salaam leo wakati akizungumza na waandishi wa habari.
5 years ago
MichuziSUMA JKT WATAKIWA KUONGEZA KASI UJENZI WA HOSTELI CHUO KIKUU MZUMBE
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. James Mdoe (kushoto) akiwa ameambatana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. Lughano Kusiluka akipokea maelezo kuhusu maendeleo ya ujenzi kutoka kwa msimamizi wa mradi huo.
Naibu Katibu Mkuu wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia akitoa maelekezo kwa wasimamizi wa mradi wa ujenzi wa hosteli eneo la Maekani Kampasi Kuu Morogoro.
Viongozi wa Chuo Kikuu Mzumbe, wasimamizi wa mradi na mainjinia wa ujenzi wa hosteli wakisikiliza...
10 years ago
Habarileo27 Mar
Kagame ahimiza ujenzi wa miundombinu EAC
RAIS Paul Kagame wa Rwanda amezisihi nchi za Afrika Mashariki zinazounda Ukanda wa Kati kutekeleza kwa vitendo mradi wa ujenzi wa miundombinu unaounganisha Ukanda wa Kati.
10 years ago
Tanzania Daima06 Dec
PBZ: Tutaendelea kushirikiana na serikali kusaidia jamii
MAISHA tunayoishi yanakabiliwa na changamoto mbalimbali ambazo baadhi yake zimeweza kutatuliwa, lakini zingine zinashindakana hadi pale jamii inapopata msaada kutoka nje. Hali hii imekuwa ikijitokeza mara kwa mara kutokana na...
5 years ago
MichuziProfesa Mdoe akagua ukarabati, ujenzi wa chuo kikuu Mzumbe kampasi ya Dar es Salaam