Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SUMA JKT WATAKIWA KUONGEZA KASI UJENZI WA HOSTELI CHUO KIKUU MZUMBE


Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. James Mdoe (kushoto) akiwa ameambatana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. Lughano Kusiluka akipokea maelezo kuhusu maendeleo ya ujenzi kutoka kwa msimamizi wa mradi huo.
Naibu Katibu Mkuu wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia akitoa maelekezo kwa wasimamizi wa mradi wa ujenzi wa hosteli eneo la Maekani Kampasi Kuu Morogoro.
Viongozi wa Chuo Kikuu Mzumbe, wasimamizi wa mradi na mainjinia wa ujenzi wa hosteli wakisikiliza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Chuo Kikuu Mzumbe kuongeza wanafunzi

UONGOZI wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Mbeya umedhamiria kuendelea kuongeza idadi ya wanafunzi mwaka hadi mwaka, ili kutekeleza Sera ya Serikali ya kupanua elimu ya juu na kuchangia kufikia malengo ya mileniamu.

 

5 years ago

Michuzi

Profesa Mdoe akagua ukarabati, ujenzi wa chuo kikuu Mzumbe kampasi ya Dar es Salaam

 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa James Mdoe akisaini kitabu cha wageni mara bada ya kuwasiri katika chuo kikuu cha Mzumbe kampasi ya Dar es Salaam-Tegeta, kwaajili ya kuangalia maendeleo ya ukarabati na ujenzi wa Vyumba vya madarasa. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa James Mdoe akiwa ameamatana na wafanyakazi wa chuo kikuu cha mzumbe  wakitembelea majengo ya  chuo kikuu cha Mzumbe jijini Dar es Salaam leo.Naibu Katibu Mkuu...

 

5 years ago

Michuzi

BARAZA LA CHUO KIKUU MZUMBE LAKAGUA UKARABATI, UJENZI KAMPASI YA DAR ES SALAAM-TEGETA

MWENYEKITI wa Baraza la Chuo Kikuu Mzumbe Prof.Matthew Luhanga, ameongoza ujumbe wa baraza hilo kukagua maendeleo ya ukarabatina ujenzi wa miundombinu na madarasa kwa ajili ya kuanzisha Shahada za AwaliKampasi ya Dar ss Salaam.

Akizungumza wakati wa ukaguzi huo, Makamu Mkuuwa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka, amesema ukarabati huo na ujenziumekamilika kwa asilimia 98, na kwamba majengo hayo yako tayari kutumika pindiidhini ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania itakapotolewa.

Baraza...

 

10 years ago

Michuzi

UJENZI WA BARABARA YA CHUO KIKUU KUTOKEA MBEZI YA KIMARA UKIENDELEA KWA KASI

Pichani juu ni sehemu ya kipande cha barabara ya lami ambacho tayari kimekwisha kamilika,kama kilivyonaswa na Globu ya Jamii wakati ikivinjari katika barabara hiyo jana na kujionea ujenzi huo ukienda kwa kasi,barabara hiyo ambayo imeonekana kuwa na umuhimu mkubwa katika jitihada za kupambana na msongamano wa magari ambao umekuwa kero kubwa kwa wakazi wa jiji la Dar na kwingineko.Barabara hiyo almaarufu kwa jina la barabara ya chuo kikuu ambayo pia unaweza kwenda Goba ama kuchepuka na kutokea...

 

5 years ago

Michuzi

WANAWAKE CHUO KIKUU MZUMBE WAKABIDHI JENGO LA CHOO CHA WAVULANA SHULE YA MSINGI MZUMBE


Ikiwa zimebaki siku chache kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani ambayo huadhimishwa  Machi 8 kila mwaka, Jumuiya ya Wanawake ya Chuo Kikuu Mzumbe wakiongozwa na Makamu Mkuu wa Chuo wamekabidhi choo cha Wavulana kwa shule ya msingi Mzumbe baada ya kukifanyia ukarabati.
Akizungumza kwa niaba ya Makamu Mkuu wa Chuo wakati wa hafla ya makabidhiano, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Fedha na Utawala Prof. Ernest Kihanga, ameipongeza Jumuiya ya Wanawake wafanyakazi wa Chuo Kikuu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kesi ya Suma JKT yashika kasi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imesema Februari 5, mwaka huu itatoa uamuzi wa kuwaona Kanali wa Jeshi la Kujenga Taifa, Ayoub Mwakang’ata na wenzake wanaokabiliwa na makosa...

 

10 years ago

Michuzi

nondozzz chuo kikuu Mzumbe mjini morogoro

 Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Jaji Mstaafu Barnabas Samatta akimtunuku shahada ya uzamivu (Phd) mmoja wa wahitimu, Joseph Sangau, katika mahafali ya 13 ya chuo hicho yaliyofanyika katika kampasi kuu mjini Morogoro mwishoni mwa wiki.  Kushoto ni Kaimu Makamu Mkuu wa chuo hicho, Prof. Josephat Itika.  Sehemu ya wahitimu wa mahafali ya 13 ya chuo kikuu Mzumbe yaliyofanyika katika kampasi kuu ya chuo hicho mjini Morogoro mwishoni mwa wiki. Naibu Makamu Mkuu wa Chuo, Utawala na Fedha, Chuo Kikuu...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

RAIS JAKAYA KIKWETE AKIWA CHUO KIKUU MZUMBE

RAIS  Jakaya Kikwete, akiwa  na wajumbe wa serikali ya wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Mzumbe, mkoani Morogoro, baada ya kuwahutubia chuoni hapo, juzi. (Picha zote na Ikulu).

 

10 years ago

Mwananchi

Chuo Kikuu Mzumbe waunga mkono Bunge la Katiba

Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Morogoro wamesema wameridhishwa na mwenendo mzima wa Bunge Maalumu la Katiba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani