Miundombinu Ustawi wa Jamii kuboreshwa
SERIKALI imeahidi kulitafutia ufumbuzi tatizo la miundombinu linaloikabili Taasisi ya Ustawi wa Jamii ili kukabiliana na ongezeko kubwa la wanafunzi kila mwaka katika Taasisi hiyo. Akizungumza mwishoni mwa wiki katika...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMIUNDOMBINU YA BANDARI YA KIGOMA KUBORESHWA NA KUPANULIWA
9 years ago
Mwananchi15 Dec
Dk Kigwangalla-Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
10 years ago
MichuziFISA USTAWI WA JAMII NA MAENDELEO YA JAMII AKITEMBELEA MRADI WA SHIRIKA LA KUSAIDIA WATOTO WA MITAANI JIJINI ARUSHA
.
10 years ago
Habarileo13 Mar
Ustawi wa Jamii kuwa na jengo la kisasa
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema kuwepo kwa Bodi ya Wathamini na Ukadiriaji kwa kiasi kikubwa itasaidia kuweka viwango sahihi vitakavyotumika kwa shughuli mbali mbali ikiwemo za biashara.
10 years ago
Dewji Blog18 Aug
Ustawi wa Jamii yakabiliwa na upungufu wa watumishi
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid.
Na Mwandishi wetu
Wizara ya Afya kupitia idara ya ustawi wa jamii, inakabiliwa na changamoto kubwa ya upungufu wa maafisa ustawi wa jamii katika halmashauri wanazotoa huduma kwa watoto walio katika mikinzano na sheria.
Idara hiyo imekuwa ikishirikiana pamoja na wadau mbalimbali kama vile polisi, Mahakama, magereza, tume ya haki za binadamu na utawala bora pamoja na mashirika mbalimbali ya maendeleo ya kitaifa na kimataifa katika...
11 years ago
Tanzania Daima27 Mar
Kebwe: Ustawi wa jamii si kusuluhisha ndoa pekee
NAIBU Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Kebwe Stephe Kebwe, amesema ustawi wa jamii haupo kwa ajili ya kusuluhisha masuala ya ndoa pekee, bali kuna mambo mbalimbali kama msongo...
11 years ago
Tanzania Daima29 Mar
Miaka 40 ya Taasisi ya Ustawi wa Jamii na mafanikio lukuki
“ELIMU bora kwa huduma bora za kijamii,” ni kaulimbiu ya maadhimisho miaka 40 ya Taasisi ya Ustawi wa Jamii. Taasisi ya Ustawi wa Jamii ni miongoni mwa taasisi za elimu...
11 years ago
Tanzania Daima08 Jan
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii someni hapa
SIKU zote Watanzania tumekuwa tukiamini kwamba maendeleo ya taifa letu hili bado ni duni sana. Pamoja na kilio chetu hiki cha uhaba wa maendeleo, leo nataka nizungumzie ugonjwa hatari wa saratani...
11 years ago
Tanzania Daima22 Mar
Serikali yatakiwa kuthamini maofisa ustawi wa jamii
BAADHI ya wahitimu wa Chuo cha Ustawi wa Jamii wamesema serikali kutoitambua Idara ya Ustawi wa Jamii husababisha wataalamu wake washindwe kutekeleza majukumu yao ipasavyo katika jamii. Akizungumza kwa niaba...