Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RC Dodoma alia na siasa za majitaka dhidi ya katiba

Chiku GallawaMKUU wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa amepiga marufuku siasa chafu zinazoendeshwa mkoani hapa ambapo wananchi wamekuwa wakihamasishwa kutoipigia kura Katiba inayopendekezwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Sina muda kujibu siasa za majitaka-Ntimizi

MGOMBEA ubunge wa jimbo la Igalula kwa tiketi ya CCM, Musa Ntimizi amesema siku zote huwa hana muda wa kujibu siasa za majitaka wala malumbano. Kauli hiyo alitoa kwenye uzinduzi wa kampeni za jimbo la Igalula iliyofanyika wilayani Uyui.

 

9 years ago

Mwananchi

Mosha aacha siasa, alia na wanafiki ndani ya CCM

Aliyekuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Moshi Mjini (CCM), Davis Mosha amedai kuwa chama hicho kimejaa wanafiki jambo lililochangia kuanguka kwake.

 

11 years ago

Mwananchi

Sheikh Ponda ‘alia’ na pingamizi dhidi yake

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda ameiomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itupilie mbali pingamizi la awali lililowasilishwa na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na isikilize maombi yake ya mapitio ili haki itendeke.

 

10 years ago

Michuzi

Naibu Mwanasheria Mkuu amewasilisha Mahakamani pingamizi la awali dhidi ya kesi ya kuhoji mamlaka ya Bunge la Katiba linaloendelea mjini Dodoma iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari Said Kubenea

Na Mwene Said wa Blog ya Jamii
NAIBU Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju, leo amewasilisha pingamizi la awali dhidi ya kesi ya kuhoji mamlaka ya  Bunge la Katiba linaloendelea mjini Dodoma iliyofunguliwa na  Mwandishi wa Habari Said Kubenea dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) kwamba maombi hayo ni batili kisheria na hayawezi kuthibitishwa mahakamani, hivyo yatupiliwe mbali.
Masaju amewasilisha pingamizi hilo akitoa sababu nne, akiitaka mahakama kutupilia mbali maombi yaliyopo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mjumbe alia na sheria ya mabadiliko ya Katiba

KITENDO cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba kuwapa nafasi kubwa wabunge wa jamhuri ya muungano na wale wa Serikali ya Zanzibar kushiriki kama wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba imechangia...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbunge Sugu alia Dodoma, Faiza amwaga chozi Dar

Jana ilikuwa siku ya aina yake kwa msanii Faiza Ally na mzazi mwenzake, Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’. Wakati Faiza akimwaga chozi katika chumba cha habari katika gazeti la Mwananchi alipofika kutoa ujumbe wa kuomba radhi kutokana na vazi la kitenge lenye kambakamba alilovaa siku ya Tamasha la Tuzo za Muziki za Kilimanjaro, Sugu alimwaga chozi bungeni Dodoma alipowataka wabunge wasijadili mambo yake ya faragha.

 

11 years ago

Michuzi

Viongozi wa Siasa Muache Uswahili mtupatie katiba ya watu wote siyo ya CCM,AU CHADEMA,AU CUFU TUNATAKA KATIBA.

Mheshimiwa michuzi tunashukulu sana kwa kazi yako ya kutujulisha yanayoendelea TANZANIA leo naomba unipe nafasi niweke ya moyoni mwangu na maoni yangu kuhusu huu mstakabali wa kupata katiba ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, mengi yamekuwa yakisemwa sana kuhusu hii katiba au ni muundo ghani wa muungano tunaoutaka,watu wengi na wana siasa wamesahu kwamba muungano huu na katiba hii ya zamani ndio umetufanya tuwe na undungu  na pia tuwe na amani mpaka hapa tulipo watu...

 

10 years ago

Mwananchi

Siasa zavuruga mechi ya Serbia dhidi ya Albania

Tofauti za kisiasa baina ya Albania na Serbia zimevunja mechi ya soka ya kufuzu kwa fainali za Ulaya, mwaka 2016 mjini Belgrade, Serbia.

 

10 years ago

Mwananchi

Tuepuke siasa katika vita dhidi ya ebola

Habari za kifo cha mwanamke mmoja aliyedaiwa kuwa na dalili za ugonjwa wa ebola, ambacho kilitokea wiki iliyopita katika Hospitali Teule ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, kimeacha maswali mengi yanayohoji kama kweli wataalamu wetu wa afya wamepewa nafasi stahiki katika vita dhidi ya ugonjwa wa ebola.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani