Siasa zavuruga mechi ya Serbia dhidi ya Albania
Tofauti za kisiasa baina ya Albania na Serbia zimevunja mechi ya soka ya kufuzu kwa fainali za Ulaya, mwaka 2016 mjini Belgrade, Serbia.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili15 Oct
Mechi ya Serbia na Albania yavurugika
Katika hali isiyo ya kawaida mechi kati ya Serbia na Albania imeshindwa kumalizika baada ya ndege isiyokuwa na rubani kubeba ujumbe wa kisiasa
11 years ago
BBCSwahili30 Jun
Podolski nje ya mechi dhidi ya Algeria
Lukas Podolski na Gerome Boateng katika orodha ya majeruhi ya Ujerumani kabla ya mechi dhidi ya Algeria
10 years ago
BBCSwahili21 Jun
Camara:mechi dhidi ya Uganda ni muhimu
Kiungo Lansana Camara amesema atatumia mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya Sports Club Villa ya Uganda kuonesha uwezo wake.
10 years ago
Vijimambo
SE TENNIS WASHINDA MECHI YAO DHIDI YA CHEVY CHASE




11 years ago
GPL
BARABARA MBOVU ZAVURUGA USAFIRI MBAGALA
UBOVU wa barabara kutokana na mvua umezidi kuleta adha kwa usafiri wa magari jijini Dar es Salaam. Leo kamera yetu ilitembelea kitongoji cha Mbagala na kukuta basi la Usafiri Dar es Salaam (UDA) likiwa limekwama katika shimo na kuwasababishia abiria matatizo. (PICHA NA HAMIDA HASSAN /…
9 years ago
Mwananchi30 Dec
Simba yaiomba ZFA isogeze mbele mechi dhidi ya Jamhuri
Siku moja baada ya ratiba ya Kombe la Mapinduzi kutoka, uongozi wa Simba umewataka waandaaji wa mashindano hayo, Chama cha Soka Zanzibar (ZFA) kusogeza mbele mchezo wao dhidi ya Jamhuri ya Pemba kutokana na kukabiliwa na mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Ndanda ya Mtwara.
10 years ago
Habarileo04 Mar
RC Dodoma alia na siasa za majitaka dhidi ya katiba
MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa amepiga marufuku siasa chafu zinazoendeshwa mkoani hapa ambapo wananchi wamekuwa wakihamasishwa kutoipigia kura Katiba inayopendekezwa.
11 years ago
Mwananchi21 Oct
Tuepuke siasa katika vita dhidi ya ebola
Habari za kifo cha mwanamke mmoja aliyedaiwa kuwa na dalili za ugonjwa wa ebola, ambacho kilitokea wiki iliyopita katika Hospitali Teule ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, kimeacha maswali mengi yanayohoji kama kweli wataalamu wetu wa afya wamepewa nafasi stahiki katika vita dhidi ya ugonjwa wa ebola.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania