Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BARABARA MBOVU ZAVURUGA USAFIRI MBAGALA

UBOVU wa barabara kutokana na mvua umezidi kuleta adha kwa usafiri wa magari jijini Dar es Salaam.  Leo kamera yetu ilitembelea kitongoji cha Mbagala na kukuta basi la Usafiri Dar es Salaam (UDA)  likiwa limekwama katika shimo na kuwasababishia abiria matatizo. (PICHA NA HAMIDA HASSAN /…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

‘Barabara Chalinze-Mlandizi mbovu’

Wakala wa Barabara (TANROADS), Pwani imekiri sehemu ya barabara Kuu ya Mlandizi – Chalinze katika Barabara ya Dar es Salaam Morogoro imechakaa na inahitaji kufanyiwa matengenezo makubwa pamoja na kupanuliwa kutokana na ongezeko la magari yanayosafiri kwenye barabara hiyo.

 

10 years ago

GPL

MAJI TAKA, BARABARA MBOVU NI KERO KWA WAKAZI WA MWENGE DAR

Mkazi wa Mwenge akipita kwa kwa taabu katika moja ya barabara za Mwenge ambazo zimejaa maji taka na ambazo ni mbovu. MAJI taka yaliyovamia sehembu mbalimbali na barabara mbovu vimekuwa ni kero kubwa kwa wakazi wa Mwenge jijini Dar es Salaam hasa katika maeneo ya wafanyabiashara ndogondogo.  Matokeo ya adha hiyo ni kupitika kwa taabu sehemu hiyo na harufu mbaya inayotokana na maji hayo hususan kwa watembea kwa miguu....

 

9 years ago

MillardAyo

Coco Beach ikauzwa, barabara mbovu Kinondoni, moto wa Rais Magufuli umemfikia Mkurugenzi Dec 15

Ukikaa karibu na vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kumekuwa na ripoti mpya kila wakati na kadri zinavyonifikia na mimi nahakikisha hupitwi hata kidogo. Kama unakumbuka December 03 2015, Rais Magufuli alikutana na Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania na moja ya vitu alivyokosoa na kuonekana kukasirishwa navyo sana ilikuwa ishu ya kubinafsishwa kwa ufukwe wa […]

The post Coco Beach ikauzwa, barabara mbovu Kinondoni, moto wa Rais Magufuli umemfikia Mkurugenzi Dec 15 appeared first on...

 

10 years ago

Michuzi

SIKU MAGUFULI ALIPOKATAA KUIPOKEA BARABARA YA KILWA (MTONGANI - MBAGALA RANGI TATU YA KM 5.1

UJENZI wa Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam ambayo Waziri wa Ujenzi, Dkt John Pombe Magufuli alikataa kuipokea mwaka 2011, baada ya kujengwa chini ya kiwango. Ujenzi wa kipande hicho cha kilomita 5.1 kutoka Mtongani hadi Mbagala Rangi Tatu, ulikamilika mwaka 2012. Mafundi wa Kampuni ya Kajima ndio waliokuwa wakijenga kipande hicho cha barabara . Dkt.  Magufuli alikataa kuipokea barabara hiyo kutoka katika Serikali ya Japan, iliyotoa msaada wa fedha na ujenzi kufanywa na Kampuni ya...

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA AMTAKA MKANDARASI UJENZI BARABARA YA MABASI MWENDOKASI MBAGALA KUONGEZA KASI

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ametembelea na kukagua Maendeleo ya Ujenzi wa Barabara ya Mabasi ya Mwendokasi Mbagala inayogharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 200 ambapo amemtaka Mkandarasi wa Mradi huo kuongeza kasi ili mradi ukamilike na kupunguza kero ya usafiri kwa wananchi wa Mbagala.
RC Makonda amesema kwa muda mrefu wakazi wa Mbagala walikuwa wakipata changamoto ya usafiri ikiwemo foleni na wakati mwingine wananchi kuibiwa simu na mikoba wakiwa wanagombania usafiri...

 

11 years ago

Michuzi

DK.MAGUFULI ALIVYOREJESHA HUDUMA ZA USAFIRI WA BARABARA ZILIZOJIFUNGA JIJINI DAR

Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akishirikiana na watendaji wa Wizara ya Ujenzi na TANROADS akishinda siku nzima na hata kukesha usiku mzima aliweza kushishiriki kikamilifu kama waziri mwenye dhamana kurejesha huduma za usafiri wa barabara zilizojifunga kutokana na kusombwa/kuharibiwa kwa madaraja muhimu yanayouunganisha mji wa Dar es Salaam na maeneo mengine hasa mikoa jirani. Maeneo yaliyoharibiwa ni daraja la Mpiji (Bagamoyo), Mzinga (Mbagala, Kongowe), daraja la Mto...

 

5 years ago

CCM Blog

MUONEKANO WA BARABARA ZA JUU UBUNGO DAR, VYOMBO VYA USAFIRI VYAANZA KUPITA


Ni Mei 30, 2020 ambapo Barabara za juu (Flyover ) iliyojengwa Ubungo Dar es Salaam  imeanza kufanya kazi ambapo vyombo vy usafiri vimeruhusiwa kupitia, hapa nimekusogezea picha 11 ujionee.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

 

10 years ago

GPL

POMBE YA MBEGE YAZUA TIMBWILI NI MCHANA KWEUPE, AFUNGA BARABARA, USAFIRI UBUNGO WATIBUKA

DEOGRATIUS MONGELA NA CHANDE ABDALLAH ULEVI asubuhi! Pombe maarufu kwa jina la Mbege hivi karibuni ilizua timbwili la aina yake baada ya mama anayeuza kilevi hicho maarufu mama Manka kulazimika kuwajia juu wateja wake wawili ambao ni makondakta wa mabasi yaendayo mikoani katika stendi kuu ya Ubungo jijini Dar es Salaam. Shuhuda wa tukio hilo lililojaza watu alisema lilitokea asubuhi ya Machi 20, mwaka huu chini ya daraja jipya...

 

11 years ago

Michuzi

BARABARA KIJICHI - MBAGALA KUU NI HATARI ZAIDI YA HATARI!

Barabara ya Kijichi – Mbagala Kuu, ndani ya jiji la Dar es Salaam kama ilivyokutwa jana na Mdau Nathan Mpangala. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Butiama, Bw. Haji Mgaya, alisema, dhahma hiyo ni ya muda mrefu na Manispaa ya Temeke ina taarifa hiyo kwa kupindi chote hivyo,lakini mpaka leo iko kimya tu.  Hapa dereva ‘akilala’ tu, kilio kitongoji kizima zikifuatiwa na salamu za rambirambi nyiiingi toka kwa viongozi. Inawezekana Manispaa ya Temeke haina picha halisi ya hatari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani