Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIKU MAGUFULI ALIPOKATAA KUIPOKEA BARABARA YA KILWA (MTONGANI - MBAGALA RANGI TATU YA KM 5.1

UJENZI wa Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam ambayo Waziri wa Ujenzi, Dkt John Pombe Magufuli alikataa kuipokea mwaka 2011, baada ya kujengwa chini ya kiwango. Ujenzi wa kipande hicho cha kilomita 5.1 kutoka Mtongani hadi Mbagala Rangi Tatu, ulikamilika mwaka 2012. Mafundi wa Kampuni ya Kajima ndio waliokuwa wakijenga kipande hicho cha barabara . Dkt.  Magufuli alikataa kuipokea barabara hiyo kutoka katika Serikali ya Japan, iliyotoa msaada wa fedha na ujenzi kufanywa na Kampuni ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BOMOABOMOA MAENEO YA MBAGALA RANGI 3

Zoezi la ubomoaji katika maeneo ya Mbagala Rangi Tatu jijini Dar likiendelea ikiwa ni sehemu ya kuweka jiji safi na kupanua barabara.…

 

9 years ago

Habarileo

Shule ya Mbagala Rangi 3 taabani

SHULE ya msingi Mbagala Rangi 3, inakabiliwa na uhaba wa vyumba vya madarasa, jambo linalosababisha wanafunzi zaidi ya 100 kuwa katika darasa moja huku wengine wakikaa chini.

 

9 years ago

MillardAyo

Kaa tayari kuipokea zawadi siku ya ‘boxing day’ kutoka kwa Alikiba December 26 Dar es Salaam..

Star wa muziki Bongo, Alikiba a.k.a ‘King Kiba‘ ambaye siku chache zilizopita ameachia ngoma yake na mkali wa masauti, Christian Bella amekuja na good news ambayo ni zawadi tutakayoipokea December 26 2015 siku ya boxing day !! Tumeona post nyingi za Alikiba akiwa kwenye show nje ya TZ, ikiwemo Ulaya na Marekani, Alikiba kaona zawadi […]

The post Kaa tayari kuipokea zawadi siku ya ‘boxing day’ kutoka kwa Alikiba December 26 Dar es Salaam.. appeared first on...

 

11 years ago

GPL

GARI DOGO LAPINDUKA BARABARA YA KILWA, JIJINI DAR

Gari lilivyokosea njia na kuingia mtaroni . Polisi wa usalama barabarani wakishughulika eneo la ajali.…

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI ATANGAZA MAOMBOLEZO YA SIKU TATU YA KIFO CHA RAIS NKURUNZIZA WA BURUNDI

Pierre NkurunzizaIkulu, Chamwino.
Rais Dk. John Magufuli ametangaza maombolezo ya Kitaifa ya siku tatu kuanzia kesho Juni 13, 2020 kufuatia kifo cha Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza kilichotokea Juni 09, 2020 nchini Burundi.

Taarifa iliyotolewa na Ikulu jijini Dodoma imesema katika kipindi chote cha siku tatu za maombolezo hayo ambayo yataanza leo, hadi keshokuwa bendera zote zitapeperushwa nusu mlingoti.

Taarifa hiyo imesema, Rais Magufuli ameeleza kuwa Tanzania inatoa heshima hiyo kwa kifo...

 

11 years ago

GPL

BARABARA MBOVU ZAVURUGA USAFIRI MBAGALA

UBOVU wa barabara kutokana na mvua umezidi kuleta adha kwa usafiri wa magari jijini Dar es Salaam.  Leo kamera yetu ilitembelea kitongoji cha Mbagala na kukuta basi la Usafiri Dar es Salaam (UDA)  likiwa limekwama katika shimo na kuwasababishia abiria matatizo. (PICHA NA HAMIDA HASSAN /…

 

9 years ago

Michuzi

Rais Magufuli aamuru Fedha zilizopaswa kutumika kugharamia Shamrashamra za siku ya Uhuru Desemba 9 sasa zitumike kujengea barabara ya Mwenge - Morocco, Jijini Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameamuru fedha zilizopaswa kutumika kugharamia shamra shamra za siku ya Uhuru ambazo zingefanyika tarehe 09 Desemba 2015, kutumika kufanya upanuzi wa barabara ya Mwenge hadi Morocco jijini Dar es Salaam yenye urefu wa kilometa 4.3 kwa kuongeza njia mbili za barabara za lami.
Tayari fedha hizo kiasi cha shilingi bilioni nne zimepelekwa kwa wakala wa barabara hapa nchini TANROADS kwa ajili ya utekelezaji wa agizo hilo, linalopaswa...

 

11 years ago

Michuzi

DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKAGUA BARABARA YA MWENGE-TEGETA, MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT) PAMOJA MIRADI YA UJENZI WA BARABARA ZA JUU TAZARA FLYOVER NA MAKUTANO YA BARABARA ZA JUU UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katikati akiwa na Balozi wa Japan Nchini Masaki Okada kulia wakipita juu ya Daraja la Lugalo mara baada ya kulikagua katika ziara ya Ukaguzi wa Barabara ya Mwenge Tegeta jijini Dar es salaam leo.

 Balozi wa Japan nchini Ndugu Masaki Okada akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Said Meck Sadick wakipanda ngazi za daraja la juu la watembea kwa miguu flyover Ubungo...

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA AMTAKA MKANDARASI UJENZI BARABARA YA MABASI MWENDOKASI MBAGALA KUONGEZA KASI

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ametembelea na kukagua Maendeleo ya Ujenzi wa Barabara ya Mabasi ya Mwendokasi Mbagala inayogharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 200 ambapo amemtaka Mkandarasi wa Mradi huo kuongeza kasi ili mradi ukamilike na kupunguza kero ya usafiri kwa wananchi wa Mbagala.
RC Makonda amesema kwa muda mrefu wakazi wa Mbagala walikuwa wakipata changamoto ya usafiri ikiwemo foleni na wakati mwingine wananchi kuibiwa simu na mikoba wakiwa wanagombania usafiri...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani