Shule ya Mbagala Rangi 3 taabani
SHULE ya msingi Mbagala Rangi 3, inakabiliwa na uhaba wa vyumba vya madarasa, jambo linalosababisha wanafunzi zaidi ya 100 kuwa katika darasa moja huku wengine wakikaa chini.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0U8UQjwDEm*jN262qt2kp6C*TdzvHaq0bVMuUOQ4wS*94NMeS6ARokgbZXG19BpWqGiTHuwG0WRhZ99dgMN-Km2Zf3voSlsT/BOMOABOMOA2.jpg?width=650)
BOMOABOMOA MAENEO YA MBAGALA RANGI 3
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/bQSeS6skunk/default.jpg)
SIKU MAGUFULI ALIPOKATAA KUIPOKEA BARABARA YA KILWA (MTONGANI - MBAGALA RANGI TATU YA KM 5.1
11 years ago
Habarileo29 Dec
Shule za msingi Kilwa taabani
SHULE nyingi za msingi wilayani Kilwa mkoani Lindi ziko kwenye hali mbaya uchakavu wa majengo, ukosefu wa vyoo, upungufu wa madarasa na nyumba na walimu wachache.
10 years ago
Habarileo26 Jan
Shule ya Msingi Saku ‘taabani’
SHULE ya Msingi Saku iliyoko katika Manispaa ya Temeke inakabiliwa na mazingira mabovu ya kujifunzia ikiwemo kusomea chini ya miti, hali inayoathiri wanafunzi zaidi 2,500 wa shuleni hapo.
11 years ago
Habarileo20 Apr
Shule taabani, walimu waishi darasani
SHULE ya Msingi Mwamashimba katika Kata ya Mwamalasa wilayani Kishapu Shinyanga, inakabiliwa na ukosefu wa vyoo, madawati na nyumba za walimu, hali inayosababisha baadhi ya walimu kuishi kwenye vyumba vya madarasa.
11 years ago
Habarileo22 Jul
Shule kinara kidato cha 6 taabani
SHULE ya Igowole, iliyoshika nafasi ya kwanza kitaifa katika matokeo ya Kidato cha Sita mwaka huu, inakabiliwa na matatizo mengi, ikiwemo ukosefu wa mabweni, kiasi cha Mkuu wa Shule kulazimika kuhama nyuma kuachia wanafunzi wapate pa kulala.
10 years ago
Mtanzania20 Feb
Shule ya Msingi Mailimoja taabani, yahitaji msaada wa haraka
NA GUSTAPHU HAULE, PWANI
SHULE ya Msingi Mailimoja iliyopo Kibaha mkoani Pwani ni miongoni mwa shule ambazo zinapoteza umaarufu wa Mji wa Kibaha kutokana na miundombinu yake kuwa chakavu.
Shule hiyo ilianza mwaka 1975 ikiwa na madarasa manne ya udongo lakini baadae ilizaa madarasa mengine saba ambayo yalijengwa kwa jitihada za aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Profesa Phillemon Sarungi.
Kutokana na umaarufu na umuhimu wa shule hiyo lakini hali yake kwa sasa ni mbaya kwani majengo yake...
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Diwani aahidi kupaka rangi mabati ya shule
DIWANI wa Kata ya Levelos, Ephata Nanyaro, (CHADEMA), amesema kuwa atapaka rangi kwenye mabati ya shule ya Msingi Levelos ili kuwawezesha wanafunzi kupata maji safi yanayovunwa nyakati za mvua. Aidha,...
9 years ago
Dewji Blog10 Dec
Bayport yamuunga mkono Dr Magufuli kwa vitendo, yapaka rangi, yafagia shule ya msingi Hekim
Mkurugenzi Mkuu wa Bayport Financial Services, John Mbaga, akipaka rangi katika ukuta wa shule ya Msingi Hekima, iliyopo Tandale, wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam jana mchana. Picha zote kwa Hisani ya Bayport Financial Services.
Meneja wa Oparasheni wa Bayport Financial Serviices, Charles Mgeta, akizungumza na waandishi wa habari juu ya taasisi yao kuamua kufanya usafi, kutunza mazingira na kuipaka rangi shule ya msingi Hekima, iliyopo Kata ya Tandale, Wilaya Kinondoni, jijini...