Shule ya Msingi Mailimoja taabani, yahitaji msaada wa haraka
NA GUSTAPHU HAULE, PWANI
SHULE ya Msingi Mailimoja iliyopo Kibaha mkoani Pwani ni miongoni mwa shule ambazo zinapoteza umaarufu wa Mji wa Kibaha kutokana na miundombinu yake kuwa chakavu.
Shule hiyo ilianza mwaka 1975 ikiwa na madarasa manne ya udongo lakini baadae ilizaa madarasa mengine saba ambayo yalijengwa kwa jitihada za aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Profesa Phillemon Sarungi.
Kutokana na umaarufu na umuhimu wa shule hiyo lakini hali yake kwa sasa ni mbaya kwani majengo yake...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo29 Dec
Shule za msingi Kilwa taabani
SHULE nyingi za msingi wilayani Kilwa mkoani Lindi ziko kwenye hali mbaya uchakavu wa majengo, ukosefu wa vyoo, upungufu wa madarasa na nyumba na walimu wachache.
10 years ago
Habarileo26 Jan
Shule ya Msingi Saku ‘taabani’
SHULE ya Msingi Saku iliyoko katika Manispaa ya Temeke inakabiliwa na mazingira mabovu ya kujifunzia ikiwemo kusomea chini ya miti, hali inayoathiri wanafunzi zaidi 2,500 wa shuleni hapo.
11 years ago
BBCSwahili02 Nov
Mazingira yahitaji hatua haraka
10 years ago
Michuzi06 Mar
TTCL yatoa Msaada wa Madawati kwa Shule ya Msingi Bunena,Bukoba

11 years ago
MichuziTANZANITE ONE WAKABIDHI MSAADA WA SHILINGI MILIONI 42 KWENYE SHULE YA MSINGI NEW VISION
10 years ago
Dewji Blog30 Nov
TICTS yakabidhi msaada wa vitabu kwa shule ya msingi Mivinjeni jijini Dar

10 years ago
Bongo Movies06 Mar
Faiza na Wenzake Watoa Msaada wa Kuboresha Vyoo Shule ya Msingi ya Mwnanyamala Kisiwani
Mwigizaji wa filamu na Faiza Ally siku ya jana akiwa na wenzake walitoa msaada wa vifaa vya kujengea vyoo bora kwenye shule ya msingi ya Mwananyamala Kisiwani iliyopo jijini Dar.
“Tumefurahi tumefanikiwa tulijichangisha tukaweza kununua vyoo 10 kwa ajili ya kusaidia watoto wa shule ya mwananyamala kisiwani- ninajisikia very proud na team yangu”-Faiza aliandika mtandaoni mara baada ya kubandika picha hizo hapo juu wakiwa shuleni hapo.
“Watoto wamefurahi final wataingia kwenye vyoo visafi...
11 years ago
Dewji Blog07 Apr
TPA yatoa msaada wa Madawati 110 shule ya msingi Mahumbika mkoani Lindi

Mkuu wa Bandari ya Mtwara, Absalom Bohela (kushoto) akikabidhi msaada wa madawati 110 yenye thamani ya shilingi milioni 20 kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mh. Ludovick Mwananzila (kulia) wakati wa hafla ya makabidhiano iliyofanyika hivi karibuni katika kijiji cha Mahumbika kilichopo Lindi vijijini.
Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mh. Ludovick Mwananzila (kulia) na Mkuu wa Bandari ya Mtwara, Absalom Bohela (kushoto) wakiwa na baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Mahumbika wakati wa kukabidhi msaada wa...
10 years ago
Vijimambo25 Feb
NMB wametoa msaada Hospitali ya Mnazi Mmoja na Shule ya Msingi Mwanakwerekwe, Z’bar

