Faiza na Wenzake Watoa Msaada wa Kuboresha Vyoo Shule ya Msingi ya Mwnanyamala Kisiwani
Mwigizaji wa filamu na Faiza Ally siku ya jana akiwa na wenzake walitoa msaada wa vifaa vya kujengea vyoo bora kwenye shule ya msingi ya Mwananyamala Kisiwani iliyopo jijini Dar.
“Tumefurahi tumefanikiwa tulijichangisha tukaweza kununua vyoo 10 kwa ajili ya kusaidia watoto wa shule ya mwananyamala kisiwani- ninajisikia very proud na team yangu”-Faiza aliandika mtandaoni mara baada ya kubandika picha hizo hapo juu wakiwa shuleni hapo.
“Watoto wamefurahi final wataingia kwenye vyoo visafi...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziKAMPUNI YA BANTU SPORTS AND FITNESS ENTERPRISE WATOA MSAADA WA VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE YA MSINGI MIONO, CHALINZE PWANI
11 years ago
GPLBANTU SPORTS AND FITNESS ENTERPRISE WATOA MSAADA WA VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE YA MSINGI MIONO, CHALINZE PWANI
10 years ago
MichuziMFUKO WA GEPF WATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI (ALBINO) KATIKA SHULE YA MSINGI YA MATUMAINI YA JESHI LA WOKOVU ILIYOPO KURASINI
9 years ago
Vijimambo24 Aug
UN KUBORESHA VYOO VYA SHULE 10 KILIMANJARO
![IMG_4176](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_4176.jpg)
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akisalimiana na walimu mara baada ya kuwasili katika shule ya msingi Kiboriloni kwa ajili ya kushiriki zoezi la kuweka msingi kwenye ujenzi wa matundu ya vyoo katika shule hiyo. Kulia kwake ni Afisa Tawala Mkuu katika ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Omari Msuya. (Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog)
![IMG_4174](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_4174.jpg)
9 years ago
Dewji Blog24 Aug
Umoja wa Mataifa kuboresha vyoo vya Shule 10 Kilimanjaro
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akisalimiana na walimu mara baada ya kuwasili katika shule ya msingi Kiboriloni kwa ajili ya kushiriki zoezi la kuweka msingi kwenye ujenzi wa matundu ya vyoo katika shule hiyo. Kulia kwake ni Afisa Tawala Mkuu katika ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Omari Msuya. (Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog)
Na Mwandishi Wetu, Moshi
MASHIRIKA ya Umoja wa Mataifa nchini,...
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Exim yajenga vyoo shule ya msingi Kilakala
BENKI ya Exim Tanzania imekabidhi vyoo vya kisasa kwa shule ya msingi Kilakala iliyopo wilayani Temeke, Dar es Salaam ikiwa ni jitihada zake za kuboresha usafi na mazingira ya kujifunzia...
11 years ago
Dewji Blog29 May
Shule za msingi Singida zakabiliwa na uhaba wa vyoo
Na Nathaniel Limu, Singida
MKOA wa Singida unakabiliwa na upungufu wa matundu ya vyoo 24,743 katika shule zake za msingi kitendo kinachochangia pamoja na mambo mengine mahudhurio kuwa mabaya ya wanafunzi.
Upungufu huo ni sawa na asilimia 60.6 ya mahitaji halisi ya matundu ya vyoo katika shule za msingi mkoani hapa.
Hayo...
9 years ago
StarTV25 Nov
Shule ya Msingi Bafanka mkoani Geita hatarini kufungwa kwa Kujaa Kwa Vyoo Vya Shule
Ukosefu wa Vyoo kwa baadhi ya Shule limekuwa tatizo sugu lililosababisha shule ya msingi Isumabuna kufunga wakati shule ya msingi Bafanka wilayani Bukombe mkoani Geita ikiwa hatarini kufungwa wakati wowote kutokana na vyoo kujaa na kutoa wadudu hali inayowalazimu wanafunzi kujisaidia vichakani.
Kufungwa kwa shule ya Msingi Isumabuma tangu Novemba 12 mwaka huu kulikolenga kunusuru afya za watoto na kuwaepusha ma magonjwa ya mlipuko kumeathiri ratiba ya masomo kwa kiasi kikubwa kwa wanafunzi...
10 years ago
Michuzi20 Aug
TPB Yajenga Vyoo na Mfumo wa Maji Shule ya Msingi Kipampa
![Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta, Sabasaba Moshingi akikata utepe kuzindua msaada wa vyoo na mfumo wa maji safi kwenye shule ya Msingi Kipampa, Kigoma. Wa kwanza kulia ni Meneja wa Benki ya Posta Tawi la Kigoma, Fidelis Ndahani.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/08/E80A5619.jpg)
![Naibu Mstahiki Meya wa Kigoma, Mh. Ruhomvya Rashid Ruhomvya, akisikiliza hotuba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi, wakati wa sherehe ya makabidhiano ya msaada wa Vyoo na mfumo wa maji kwenye shule ya Msingi Kipampa. Wengine kutoka kulia ni Meneja Mahusiano wa TPB, Noves Moses na Meneja wa TPB, Tawi la Kigoma, Fidelis Ndahani.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/08/E80A5596.jpg)