TTCL yatoa Msaada wa Madawati kwa Shule ya Msingi Bunena,Bukoba
Uongozi wa TTCL ukitoa Msaada wa Madawati katika Shule ya Msingi Bunena leo Ijumaa.TTCL inaamini kutoa msaada huo wa Madawati utasaidia kuboresha Ufanisi wa Shule na hatimaye kupata Matokeo Makubwa sasa katika Sekta ya Elimu. Pia ni Mategemeo ya TTCL kuwa utaleta chachu kwa wadau wengine katika Sekta kuweza kuchangia katika sekta hiyo pana ya Elimu. Hatimae kuondoa Changamoto zinazoikabili sekta ya Elimu hapa Mkoani Kagera na Nchi nzima kiujumla. TTCL pia imeweza kuwahakikishia wadau...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboBENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA MADAWATI 200 KWA SHULE YA MSINGI BUYUNI ILALA
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza katika hafla ya kukabidhi madawati 200 kwa Shule ya Msingi Buyuni iliyopo ya Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam. Madawati hayo yametolewa na Benki ya CRDB ili kukabiliana na upungufu wa madawati shuleni hapo.
10 years ago
MichuziBenki ya NBC yatoa msaada wa madawati kwa Shule ya Msingi Mlingotini mjini Bagamoyo
9 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA MADAWATI 200 KWA SHULE YA MSINGI BUYUNI ILALA, DAR ES SALAAM
10 years ago
MichuziMAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA (TAA), YATOA MSAADA WA MADAWATI YENYE THAMANI YA SH.MILIONI 10 KWA SHULE YA MSINGI YOMBO
11 years ago
Dewji Blog07 Apr
TPA yatoa msaada wa Madawati 110 shule ya msingi Mahumbika mkoani Lindi
![](http://1.bp.blogspot.com/-K4kqai4m20w/U0EbmuTTH6I/AAAAAAAASy0/PFzRdO8VvqM/s1600/PIC+8.jpg)
Mkuu wa Bandari ya Mtwara, Absalom Bohela (kushoto) akikabidhi msaada wa madawati 110 yenye thamani ya shilingi milioni 20 kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mh. Ludovick Mwananzila (kulia) wakati wa hafla ya makabidhiano iliyofanyika hivi karibuni katika kijiji cha Mahumbika kilichopo Lindi vijijini.
Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mh. Ludovick Mwananzila (kulia) na Mkuu wa Bandari ya Mtwara, Absalom Bohela (kushoto) wakiwa na baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Mahumbika wakati wa kukabidhi msaada wa...
10 years ago
Dewji Blog11 Jan
TRA mkoa wa Singida, yatoa msaada wa madawati shule ya msingi Isanzu wilaya Mkalama
Meneja TRA mkoa wa Singida, Samson Jumbe (kushoto) akimkabidhi Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Isanzu wilaya ya Mkalama, Sadick Mbiro Abdallah, msaada wa madawati 25 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni mbili. Katikati mwenye miwani ni Afisa elimu kwa umma (TRA),Zakaria.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Mkalama
Meneja wa mamlaka ya mapato (TRA) Tanzania mkoani Singida, Samsoni Jumbe,amewahimiza viongozi/watendaji na watu wenye uwezo kiuchumi kujenga utamaduni wa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-_oG981esUIY/VGs-Xts7TeI/AAAAAAAGyCc/Dc8H48Q2EPw/s72-c/3.jpg)
TRA yaendelea na Maadhimisho ya Wiki ya Mlipa Kodi Tanzania,Yatoa Msaada Hospitali ya Temeke na Kukabidhi Madawati 100 Shule ya Msingi Misitu,Kivule
Mara baada ya kukamilisha shughuli zote za hospitalini hapo,Wafanyakazi hao walielekea...
10 years ago
Vijimambo16 Mar
Royal Women Group wakabidhi msaada wa madawati 50 na vitabu 250 kwa Shule ya Msingi Bombambili
![](http://www.jukwaahuru.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG-20150314-WA0006-1200x545_c.jpg)
10 years ago
MichuziBenki ya NBC yakabidhi msaada wa madawati kwa shule ya Msingi Maweni-Kigamboni,Jijini Dar