Royal Women Group wakabidhi msaada wa madawati 50 na vitabu 250 kwa Shule ya Msingi Bombambili
- Waliguswa na wanafunzi kusoma wakiwa wamekaa chini- Meya Silaa apokea vifaa hivyo na kutaka wengine kuiga mfano wa RWG- Shule bado ina upungufu wa madawati 100, - Vyumba 7 zaidi vya madarasa vyahitajika na matundu 24 ya vyoo- Shule pia haina nyumba hata moja ya mwalimuMeya wa Manispaa ya Kinondoni, Jerry Silaa, amewataka Watanzania kwa ujumla kuacha mambo ya siasa katika masuala ya maendeleo, ikiwa ni pamoja na kulalamika bila kushiriki kuisaidia serikali yao.Ameyasema hayo wakati...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi06 Mar
TTCL yatoa Msaada wa Madawati kwa Shule ya Msingi Bunena,Bukoba
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F4.bp.blogspot.com%2F-WSN62WQqEUw%2FVPmPBPnOroI%2FAAAAAAAAaC4%2FWsv4tDvg8_M%2Fs1600%2F5.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
9 years ago
VijimamboBENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA MADAWATI 200 KWA SHULE YA MSINGI BUYUNI ILALA
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza katika hafla ya kukabidhi madawati 200 kwa Shule ya Msingi Buyuni iliyopo ya Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam. Madawati hayo yametolewa na Benki ya CRDB ili kukabiliana na upungufu wa madawati shuleni hapo.
10 years ago
MichuziBenki ya NBC yatoa msaada wa madawati kwa Shule ya Msingi Mlingotini mjini Bagamoyo
10 years ago
Dewji Blog30 Nov
TICTS yakabidhi msaada wa vitabu kwa shule ya msingi Mivinjeni jijini Dar
![2](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/215.jpg)
10 years ago
MichuziBenki ya NBC yakabidhi msaada wa madawati kwa shule ya Msingi Maweni-Kigamboni,Jijini Dar
9 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA MADAWATI 200 KWA SHULE YA MSINGI BUYUNI ILALA, DAR ES SALAAM
11 years ago
MichuziMAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA (TAA), YATOA MSAADA WA MADAWATI YENYE THAMANI YA SH.MILIONI 10 KWA SHULE YA MSINGI YOMBO
11 years ago
MichuziTANZANITE ONE WAKABIDHI MSAADA WA SHILINGI MILIONI 42 KWENYE SHULE YA MSINGI NEW VISION
11 years ago
Dewji Blog07 Apr
TPA yatoa msaada wa Madawati 110 shule ya msingi Mahumbika mkoani Lindi
![](http://1.bp.blogspot.com/-K4kqai4m20w/U0EbmuTTH6I/AAAAAAAASy0/PFzRdO8VvqM/s1600/PIC+8.jpg)
Mkuu wa Bandari ya Mtwara, Absalom Bohela (kushoto) akikabidhi msaada wa madawati 110 yenye thamani ya shilingi milioni 20 kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mh. Ludovick Mwananzila (kulia) wakati wa hafla ya makabidhiano iliyofanyika hivi karibuni katika kijiji cha Mahumbika kilichopo Lindi vijijini.
Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mh. Ludovick Mwananzila (kulia) na Mkuu wa Bandari ya Mtwara, Absalom Bohela (kushoto) wakiwa na baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Mahumbika wakati wa kukabidhi msaada wa...