Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shule ya Msingi Saku ‘taabani’

Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Saku iliyopo Chamazi Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam, wakisoma chini ya mwembe shuleni hapo kufuatia uhaba wa vyumba vya madarasa. Shule hiyo inakadiriwa kuwa na wanafunzi zaidi ya 2500 huku wakiwa na vyumba saba tu vya madarasa. (Picha na Mroki Mroki).SHULE ya Msingi Saku iliyoko katika Manispaa ya Temeke inakabiliwa na mazingira mabovu ya kujifunzia ikiwemo kusomea chini ya miti, hali inayoathiri wanafunzi zaidi 2,500 wa shuleni hapo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Shule za msingi Kilwa taabani

SHULE nyingi za msingi wilayani Kilwa mkoani Lindi ziko kwenye hali mbaya uchakavu wa majengo, ukosefu wa vyoo, upungufu wa madarasa na nyumba na walimu wachache.

 

10 years ago

Mtanzania

Shule ya Msingi Mailimoja taabani, yahitaji msaada wa haraka

DSCN1027NA GUSTAPHU HAULE, PWANI

SHULE ya Msingi Mailimoja iliyopo Kibaha mkoani Pwani ni miongoni mwa shule ambazo zinapoteza umaarufu wa Mji wa Kibaha kutokana na miundombinu yake kuwa chakavu.

Shule hiyo ilianza mwaka 1975 ikiwa na madarasa manne ya udongo lakini baadae ilizaa madarasa mengine saba ambayo yalijengwa kwa jitihada za aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Profesa Phillemon Sarungi.

Kutokana na umaarufu na umuhimu wa shule hiyo lakini hali yake kwa sasa ni mbaya kwani majengo yake...

 

9 years ago

Habarileo

Shule ya Mbagala Rangi 3 taabani

SHULE ya msingi Mbagala Rangi 3, inakabiliwa na uhaba wa vyumba vya madarasa, jambo linalosababisha wanafunzi zaidi ya 100 kuwa katika darasa moja huku wengine wakikaa chini.

 

11 years ago

Habarileo

Shule taabani, walimu waishi darasani

SHULE ya Msingi Mwamashimba katika Kata ya Mwamalasa wilayani Kishapu Shinyanga, inakabiliwa na ukosefu wa vyoo, madawati na nyumba za walimu, hali inayosababisha baadhi ya walimu kuishi kwenye vyumba vya madarasa.

 

11 years ago

Habarileo

Shule kinara kidato cha 6 taabani

SHULE ya Igowole, iliyoshika nafasi ya kwanza kitaifa katika matokeo ya Kidato cha Sita mwaka huu, inakabiliwa na matatizo mengi, ikiwemo ukosefu wa mabweni, kiasi cha Mkuu wa Shule kulazimika kuhama nyuma kuachia wanafunzi wapate pa kulala.

 

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MUHIMBILI 1988 WAIKUMBUKA SHULE YAO.

Mgeni Rasmi Balozi Kassimu Mwawado, akikata utepe ili kufungua Ofisi ya walimu wa shule ya msingi Muhimbili, iliyokarabatiwa na kuweka viti 29 na meza 8 na wanafuzi waliohitimu darasa la saba katika shule hiyo Mwaka 1988, pamoja na kiti na meza ya kisasa katika ofisi ya Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo katika hafra fupi iliyoandaliwa na wanafunzi hao ikiwa imehudhuliwa na walimu wa shule hiyo wa tangu mwaka 1978. Walimu wa Shule ya Msingi Muhimbili wakifurahia kupewa viti vipya pamoja na meza na...

 

10 years ago

Vijimambo

FLAVIANA MATATA FOUNDATION YATOA VIFAA VYA SHULE SHULE YA MSINGI MSINUNE

Taasis ya Flaviana Matata 'FMF' ya Mwanamitindo Flaviana Matata aishie New York ,Nchini Marekani. Mwaka jana ilisaidia watoto 3000 kwa kuwapa vifaa vya kujifunzia.Mwaka huu itaendelea kuwasaidia Watoto hao hao wakati inaangalia namna ya kutatua matatizo mengine yanayozikabili Shule hizo ili kuboresha elimu nchini Yakiwemo mavazi, majengo na hata vyakula vya shule kwa shule za pembezoni Zoezi litaendelea kwa shule zingine za mikoani ukiwemo Mkoa wa Shinyanga, Lindi na Arusha kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Wahitimu Shule ya Msingi Muhimbili Waisaidia Shule Yao

Mwenyekiti wa umoja wa wanafunzi wahitimu wa darasa la saba Shule ya Msingi Muhimbili Mwaka 1988, Bi. Usia Nkhoma Ledama akizungumza. Mwenyekiti wa umoja wa wanafunzi wahitimu wa darasa la saba Shule ya Msingi Muhimbili Mwaka 1988, Bi. Usia Nkhoma Ledama akionesha sehemu ya msaada wa viti na meza na ofisi iliyokarabatiwa na umoja wao. Mkuu wa Shule ya Msingi Muhimbili wa sasa, Dafrossa Asenga (katikati) akizungumza kuwakaribisha wageni katika hafla ya kukabidhiwa msaada wa viti na meza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani