Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shule taabani, walimu waishi darasani

SHULE ya Msingi Mwamashimba katika Kata ya Mwamalasa wilayani Kishapu Shinyanga, inakabiliwa na ukosefu wa vyoo, madawati na nyumba za walimu, hali inayosababisha baadhi ya walimu kuishi kwenye vyumba vya madarasa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Shule ya Mbagala Rangi 3 taabani

SHULE ya msingi Mbagala Rangi 3, inakabiliwa na uhaba wa vyumba vya madarasa, jambo linalosababisha wanafunzi zaidi ya 100 kuwa katika darasa moja huku wengine wakikaa chini.

 

10 years ago

Habarileo

Shule ya Msingi Saku ‘taabani’

Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Saku iliyopo Chamazi Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam, wakisoma chini ya mwembe shuleni hapo kufuatia uhaba wa vyumba vya madarasa. Shule hiyo inakadiriwa kuwa na wanafunzi zaidi ya 2500 huku wakiwa na vyumba saba tu vya madarasa. (Picha na Mroki Mroki).SHULE ya Msingi Saku iliyoko katika Manispaa ya Temeke inakabiliwa na mazingira mabovu ya kujifunzia ikiwemo kusomea chini ya miti, hali inayoathiri wanafunzi zaidi 2,500 wa shuleni hapo.

 

11 years ago

Habarileo

Shule za msingi Kilwa taabani

SHULE nyingi za msingi wilayani Kilwa mkoani Lindi ziko kwenye hali mbaya uchakavu wa majengo, ukosefu wa vyoo, upungufu wa madarasa na nyumba na walimu wachache.

 

11 years ago

Habarileo

Shule kinara kidato cha 6 taabani

SHULE ya Igowole, iliyoshika nafasi ya kwanza kitaifa katika matokeo ya Kidato cha Sita mwaka huu, inakabiliwa na matatizo mengi, ikiwemo ukosefu wa mabweni, kiasi cha Mkuu wa Shule kulazimika kuhama nyuma kuachia wanafunzi wapate pa kulala.

 

10 years ago

Mtanzania

Shule ya Msingi Mailimoja taabani, yahitaji msaada wa haraka

DSCN1027NA GUSTAPHU HAULE, PWANI

SHULE ya Msingi Mailimoja iliyopo Kibaha mkoani Pwani ni miongoni mwa shule ambazo zinapoteza umaarufu wa Mji wa Kibaha kutokana na miundombinu yake kuwa chakavu.

Shule hiyo ilianza mwaka 1975 ikiwa na madarasa manne ya udongo lakini baadae ilizaa madarasa mengine saba ambayo yalijengwa kwa jitihada za aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Profesa Phillemon Sarungi.

Kutokana na umaarufu na umuhimu wa shule hiyo lakini hali yake kwa sasa ni mbaya kwani majengo yake...

 

10 years ago

Mwananchi

Walimu wa michezo wanahitajika shule za msingi

Ni kweli michezo ni burudani, ila kutokana na mabadiliko ya mazingira ya kisiasa, kiuchumi na kijamii, michezo ni kipaumbele katika kutoa ajira pana, kukuza biashara na kujenga jamii bora yenye maelewano.

 

10 years ago

Mwananchi

Walimu wageuka wazazi Shule ya Msingi Mapambano

Shule ya Msingi Mapambano imetimiza miaka 35 tangu ilipoanza, ikiwa na wanafunzi 150 na walimu watano. Kwa sasa ina wanafunzi 403 na walimu 22.

 

11 years ago

Habarileo

Walimu shule za msingi Mwanza kulipwa bil.8.1/-

WALIMU 3,410 wa shule za msingi na sekondari mkoani hapa, wamepandishwa madaraja na watalipwa zaidi ya Sh bilioni 8.1.

 

10 years ago

Habarileo

Shule zote Songosongo hazina walimu wa kike

TATIZO la usafiri linalowakabili wananchi wa Kisiwa cha Songosongo mkoani Lindi limesababisha shule ya msingi na sekondari katika kisiwa hicho kukosa walimu wa kike.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani