Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diwani aahidi kupaka rangi mabati ya shule

DIWANI wa Kata ya Levelos, Ephata Nanyaro, (CHADEMA), amesema kuwa atapaka rangi kwenye mabati ya shule ya Msingi Levelos ili kuwawezesha wanafunzi kupata maji safi yanayovunwa nyakati za mvua. Aidha,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Uda wapewa wiki moja kupaka magari rangi

MAMLAKA ya Usafiri wa Nchikavu na Majini (Sumatra), imetoa wiki moja kwa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), kupaka rangi katika mabasi yao, zinazoonesha njia ambako yanatoa huduma.

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA MABATI YA ALAF YATOA MSAADA WA MABATI KWA AJILI YA UJENZI WA MAABARA ZA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA MBEYA

 Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk. Norman Sigallah King, akitoa shukrani kwa kampuni ya ALAF  kwa kujitolea mabati kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara kwa shule za sekondari za Wilaya ya Mbeya.
 Meneja wa Kampuni ya ALAF Tawi la Mbeya, Greyson Mwakasege akitoa taarifa kwa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya kabla ya kumkabidhi msaada wa mabati 384 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara.  Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk. Norman Sigallah King na Meneja wa ALAF tawi la Mbeya, Greyson Mwakasege wakikabidhiana...

 

10 years ago

Habarileo

PSPF yachangia mabati kukarabati shule Masasi

MFUKO wa Pensheni wa PSPF umetoa msaada wa mabati 100 yenye thamani ya Sh milioni 2 kwa Shule ya Sekondari Lukuledi wilayani Masasi, kwa ajili ya kuboresha miundombinu iliyo chakavu shuleni hapo.

 

9 years ago

Habarileo

Shule ya Mbagala Rangi 3 taabani

SHULE ya msingi Mbagala Rangi 3, inakabiliwa na uhaba wa vyumba vya madarasa, jambo linalosababisha wanafunzi zaidi ya 100 kuwa katika darasa moja huku wengine wakikaa chini.

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA POSTA YATOA MSAADA WA MABATI 100 KUSAIDIA KUPAUA SHULE SINGIDA


Mkurugenzi Rasilimali Watu na Utawala wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Diana Myonga (wa tatu kushoto) akimkabidhi Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe (wa nne kutoka kushoto) moja ya bati kati ya 100 yaliyotolewa mwishoni mwa wiki na benki hiyo kwa ajili ya kupaua madarasa ya shule mkoani humo. Kutoka kushoto ni Kaimu Meneja Mwandamizi wa Uhusiano wa benki hiyo, Chichi Banda, Meneja wa TPB Tawi la Singida, Redemter Rweyemamu. Wengine ni Wenyeviti wa Vikundi...

 

11 years ago

Michuzi

MH. PINDA APOKEA MSAADA WA MABATI KWA AJILI YA SHULE YA MSINGI KAKAUNI,WILAYANI MLELE

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea mabati 350 yenye thamani ya zaidi ya sh. milioni 15 kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ya GEPF, Bw. Daidi Msangi (wapili kulia) kwa jili ya kuezezeka madarasa mawili na jengo la utawala la shule ya Msingi ya Kakauni wilayani Mlele May 26,2014. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa katavi Dr. Rajabu Rutengwe. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwanasiasa Mkongwe, Dr. Chrisant Mzindakaya (kushoto) na mbunge wa Sumbawanga Mjini, Aeshi...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA MABATI YA AFRICAN ALLUMIUM (ALAF), IMEZINDUA MABATI AINA YA ROYAL VERSATILE

Ofisa Mauzo wa Kampuni ya Mabati ya Alluminium Afrika (Alaf), Yahya Ngoza akizungumza na mmoja kati ya wateja waliotembelea banda hilo, wakati wa Maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF), katika Viwanja vya Mwalimu J.K Nyerere barabara ya Kilwa.  Ofisa Mauzo wa Kampuni ya Mabati ya Alluminium Afrika (Alaf), Monica Reuben akitoa maelezo kwa baadhi ya watu waliofika katika banda la kampuni hiyo, wakati wa Maonyesho ya 39 ya Biashara...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI NYALANDU AMWAGA MSAADA WA MILIONI 10 WA MABATI 420 SHULE ZA SEKONDARI KWA AJILI YA MAABARA

mwenyekitMwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida, Iddy Mnyampanda akizungumza shule ya sekondari Kinyeto.
Na Hillary Shoo, SINGIDA.Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini Mkoani Singida, Lazaro Nyalandu ametoa mchango wa mabati 420 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 10 kwa shule mbili za sekondari za Kata za Mtinko na Kinyeto.Mchango huo ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi zake kwa wananchi wa Jimbo hilo kuchangia katika ujenzi wa maabara mbalimbali kwenye shule za sekondari za Jimbo...

 

10 years ago

Dewji Blog

ALAF yatoa msaada wa mabati kwa ajili ya ujenzi wa maabara za shule za sekondari wilaya ya Mbeya

1 - Copy

Meneja wa Kampuni ya ALAF Tawi la Mbeya, Greyson Mwakasege akitoa taarifa kwa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya kabla ya kumkabidhi msaada wa mabati 384 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara.

2 - Copy

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk. Norman Sigallah King, akitoa shukrani kwa kampuni ya ALAF  kwa kujitolea mabati kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara kwa shule za sekondari za Wilaya ya Mbeya.

3 - Copy

  Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk. Norman Sigallah King na Meneja wa ALAF tawi la Mbeya, Greyson Mwakasege...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani