Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PSPF yachangia mabati kukarabati shule Masasi

MFUKO wa Pensheni wa PSPF umetoa msaada wa mabati 100 yenye thamani ya Sh milioni 2 kwa Shule ya Sekondari Lukuledi wilayani Masasi, kwa ajili ya kuboresha miundombinu iliyo chakavu shuleni hapo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA MABATI YA ALAF YATOA MSAADA WA MABATI KWA AJILI YA UJENZI WA MAABARA ZA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA MBEYA

 Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk. Norman Sigallah King, akitoa shukrani kwa kampuni ya ALAF  kwa kujitolea mabati kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara kwa shule za sekondari za Wilaya ya Mbeya.
 Meneja wa Kampuni ya ALAF Tawi la Mbeya, Greyson Mwakasege akitoa taarifa kwa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya kabla ya kumkabidhi msaada wa mabati 384 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara.  Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk. Norman Sigallah King na Meneja wa ALAF tawi la Mbeya, Greyson Mwakasege wakikabidhiana...

 

10 years ago

Tanzania Daima

PSPF yasaidia mabati Iringa

KATIKA kutekeleza maagizo ya Rais Jakaya Kikwete, kila shule iwe na maabara tatu ifikapo Novemba mwaka huu, Mfuko wa Pensheni ya Watumishi wa Umma (PSPSF), umetoa msaada wa mabati 300...

 

10 years ago

Michuzi

PSPF YATOA MSAADA WA MABATI 300

Mkuu wa Wilaya ya Kilolo, Gerald Guninita akipokea msaada wa mabati 200 kutoka kwa mwakilishi wa PSPF kutoka makao makuu Amelia Rwemamu kwa ajili ya ujenzi wa maabara za sayansi katika shule za sekondari wilayani humo, Makabidhiano yalifanyika juzi katika ofisi za wilaya ya Kilolo
 Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Evalista Kalalu akikabidhiwa mabati 100 kutoka kwa mwakilishi wa PSPF Mkoa wa Iringa, Baraka Jumanne kwa ajili ya chuo cha Ualimu Mufindi(MUTCO) kwa ajili ya ujenzi wa Hostel katika...

 

11 years ago

Habarileo

Bil.1/- kukarabati shule Z’bar

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Amali ya Zanzibar imesema imetenga jumla ya Sh bilioni moja kwa ajili ya kufanyia ukarabati majengo ya shule ambayo yamechakaa na yapo katika hatari ya kuanguka.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Diwani aahidi kupaka rangi mabati ya shule

DIWANI wa Kata ya Levelos, Ephata Nanyaro, (CHADEMA), amesema kuwa atapaka rangi kwenye mabati ya shule ya Msingi Levelos ili kuwawezesha wanafunzi kupata maji safi yanayovunwa nyakati za mvua. Aidha,...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI KUKARABATI SHULE YA UFUNDI MWADUI KUPITIA MRADI WA EP4R


SERIKALI imesema imepanga kukarabati Shule ya Sekondari ya Ufundi ya Mwadui kupitia mradi wa lipa kulingana na matokeo (EP4R).

Kauli hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Gerald Mweli wakati alipofanya ziara ya kutembelea shule hiyo na kubaini uchakavu wa miundombinu.

Mweli amesema uchakavu wa miundombinu ndio haswa unaochangia kushindwa kufanya vizuri kwa shule hiyo ambayo awali ilikua ikisifika kwa ubora wa elimu.

Amesema elimu ya ufundi ni muhimu sana kwa watoto haswa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Japan yachangia sh. milioni 160 shule ya msingi Kakuni

DSC_0144

Kaimu Balozi wa Japan, Bw. Kazuyoshi Matsunaga akisoma risala fupi mbele ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia) wakati wa hafla fupi ya utiaji saini mkataba wa msaada wa shilingi milioni 160 kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Awali ya Kakuni wilayani Mlele Machi 6, 2015 kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog).

 *Waziri Mkuu aomba Watanzania wamuunge mkono

SERIKALI ya Japan imetoa msaada wa dola za Marekani 90,286 sawa na sh. milioni...

 

10 years ago

Habarileo

Japan yachangia mil 160/- shule ya msingi Kakuni

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.SERIKALI ya Japan imetoa msaada wa dola za Marekani 90,286 sawa na Sh milioni 160/- kusaidia ujenzi wa shule ya awali kwenye shule ya msingi Kakuni, iliyopo kijiji cha Kibaoni, wilayani Mlele, mkoa wa Katavi.

 

10 years ago

GPL

JAPAN YACHANGIA SH. MILIONI 160 SHULE YA MSINGI KAKUNI‏

Kaimu Balozi wa Japan, Bw. Kazuyoshi Matsunaga akisoma risala fupi mbele ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia) wakati wa hafla fupi ya utiaji saini mkataba wa msaada wa shilingi milioni 160 kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Awali ya Kakuni wilayani Mlele Machi 6, 2015 kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam. Baadhi ya watendaji ofisi ya Waziri Mkuu waliohudhuria hafla hiyo fupi ya utiaji saini mkataba wa msaada...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani