Bil.1/- kukarabati shule Z’bar
WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Amali ya Zanzibar imesema imetenga jumla ya Sh bilioni moja kwa ajili ya kufanyia ukarabati majengo ya shule ambayo yamechakaa na yapo katika hatari ya kuanguka.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima19 Apr
Bil. 5/- kukarabati miundombinu Ilala
ZAIDI ya sh bilioni tano zinahitajika kukarabati miundombinu mbalimbali katika Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam iliyoharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini. Akizungumza na Tanzania Daima jana, Ofisa...
10 years ago
Habarileo04 Dec
PSPF yachangia mabati kukarabati shule Masasi
MFUKO wa Pensheni wa PSPF umetoa msaada wa mabati 100 yenye thamani ya Sh milioni 2 kwa Shule ya Sekondari Lukuledi wilayani Masasi, kwa ajili ya kuboresha miundombinu iliyo chakavu shuleni hapo.
5 years ago
Michuzi
SERIKALI KUKARABATI SHULE YA UFUNDI MWADUI KUPITIA MRADI WA EP4R
SERIKALI imesema imepanga kukarabati Shule ya Sekondari ya Ufundi ya Mwadui kupitia mradi wa lipa kulingana na matokeo (EP4R).
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Gerald Mweli wakati alipofanya ziara ya kutembelea shule hiyo na kubaini uchakavu wa miundombinu.
Mweli amesema uchakavu wa miundombinu ndio haswa unaochangia kushindwa kufanya vizuri kwa shule hiyo ambayo awali ilikua ikisifika kwa ubora wa elimu.
Amesema elimu ya ufundi ni muhimu sana kwa watoto haswa...
5 years ago
Michuzi
WAZIRI JAFO AIPONGEZA TAASISI YA DK MSUYA FOUNDATION KWA KUKARABATI SAMANI ZA SHULE YA SEKONDARI IBIHWA
Charles James, Michuzi TV
UZALENDO! Ndio kauli ambayo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo ameitumia kuipongeza Taasisi ya Dk Msuya Foundation kwa kuwezesha kusaidia ukarabati samani za Shule ya Sekondari Ibihwa iliyopo wilayani Bahi, Dodoma.
Waziri Jafo ameipongeza taasisi hiyo inayoongozwa na Dk Ombeni Msuya kwa moyo wao wa kizalendo uliowezesha ukarabati huo wa Viti 76 na Meza 45 kwenye shule hiyo ikiwa ni kuunga mkono juhudi za serikali za kuinua elimu nchini.
Akizungumza...
10 years ago
Dewji Blog20 Aug
Zantel yatoa msaada wa shilingi milioni 10 kwa ajili ya kukarabati shule ya Msingi Mkanyageni iliyoko Pemba
Mkurugenzi wa Biashara wa kampuni ya Zantel upande wa Zanzibar, Bwana Mohamed Musa akikabidhi hundi ya Shilingi millioni 10 kwa Mwenyekiti wa Shule ya Msingi Mkanyageni, Bwana Ally Ngwali Vuai iliyoko visiwani Pemba kwa ajili ya kukamiIsha ujenzi wa vyumba sita vya madarasa vitakavyotumiwa na watoto zaidi ya 350. Anayeshuhudia ni Mkurugugenzi wa Mauzo Zantel, Bwana Sukhwinder Bajwa pamoja na wanafunzi na wajumbe wa kamati ya shule hiyo.
Mkuu wa Shule ya Msingi Mkanyageni, Bwana Ramadhani...
11 years ago
Habarileo12 Apr
Walimu shule za msingi Mwanza kulipwa bil.8.1/-
WALIMU 3,410 wa shule za msingi na sekondari mkoani hapa, wamepandishwa madaraja na watalipwa zaidi ya Sh bilioni 8.1.
10 years ago
Habarileo16 Sep
TEA watumia bil 2/- kusaidia shule za walemavu
MAMLAKA ya Elimu Tanzania (TEA) imetumia zaidi ya sh bilioni 1.83 kwa ajili ya kusaidia shule na vyuo vyenye watu wenye ulemavu katika kipindi cha miaka mitatu.
10 years ago
Vijimambo25 Feb
NMB wametoa msaada Hospitali ya Mnazi Mmoja na Shule ya Msingi Mwanakwerekwe, Z’bar


5 years ago
CCM BlogWAZIRI BITEKO:SEKTA YA MADINI YAONGOZA KWA UKUAJI NCHINI. MAKUSANYO YAPAA KUTOKA BIL. 39 HADI BIL.58 APRILI
Nuru Mwasampeta na Tito Mselem,WM- Dodoma
WAZIRI wa Madini, Doto Biteko amesema ukuaji na mchango wa Sekta ya Madini kwenye pato la taifa unakua kwa kasi na kuwa mwaka 2019 mchango huo umeongezeka na kufikia asilimia 17.7 kutoka ukuaji wa asilimia 1.5 kwa mwaka 2018.
Amesema, kwa ukuaji huo sekta ya madini imeongoza sekta zote kwa ukuaji ikifuatiwa na sekta ya ujenzi ikiwa na ukuaji wa asilimia 14.1.
Ameongeza kuwa, wizara yake imekuwa ikikusanya kiasi cha wastani wa shilingi bilioni 39 kwa...