KAMPUNI YA MABATI YA AFRICAN ALLUMIUM (ALAF), IMEZINDUA MABATI AINA YA ROYAL VERSATILE
Ofisa Mauzo wa Kampuni ya Mabati ya Alluminium Afrika (Alaf), Yahya Ngoza akizungumza na mmoja kati ya wateja waliotembelea banda hilo, wakati wa Maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF), katika Viwanja vya Mwalimu J.K Nyerere barabara ya Kilwa.
Ofisa Mauzo wa Kampuni ya Mabati ya Alluminium Afrika (Alaf), Monica Reuben akitoa maelezo kwa baadhi ya watu waliofika katika banda la kampuni hiyo, wakati wa Maonyesho ya 39 ya Biashara...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA MABATI YA ALAF YATOA MSAADA WA MABATI KWA AJILI YA UJENZI WA MAABARA ZA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA MBEYA
10 years ago
Dewji Blog25 Nov
ALAF yatoa msaada wa mabati kwa ajili ya ujenzi wa maabara za shule za sekondari wilaya ya Mbeya
Meneja wa Kampuni ya ALAF Tawi la Mbeya, Greyson Mwakasege akitoa taarifa kwa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya kabla ya kumkabidhi msaada wa mabati 384 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara.
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk. Norman Sigallah King, akitoa shukrani kwa kampuni ya ALAF kwa kujitolea mabati kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara kwa shule za sekondari za Wilaya ya Mbeya.
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk. Norman Sigallah King na Meneja wa ALAF tawi la Mbeya, Greyson Mwakasege...
10 years ago
Habarileo15 Feb
Kampuni ya kusambaza mabati yafungiwa Dar
KAMPUNI ya usambazaji na uuzaji mabati Afrika Mashariki, Uni Metal East Africa Limited ya Dar es Salaam, imezuiwa isiuze wala kusambaza mabati, kwa muda usiojulikana, kwa sababu hayana ubora.
10 years ago
Tanzania Daima31 Oct
PSPF yasaidia mabati Iringa
KATIKA kutekeleza maagizo ya Rais Jakaya Kikwete, kila shule iwe na maabara tatu ifikapo Novemba mwaka huu, Mfuko wa Pensheni ya Watumishi wa Umma (PSPSF), umetoa msaada wa mabati 300...
9 years ago
Mtanzania02 Sep
Magufuli: Nitashusha bei ya saruji, mabati
NA BAKARI KIMWANGA, TUNDURU
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema endapo atachaguliwa kuongoza Serikali ya awamu ya tano, atahakikisha anashusha bei ya saruji na mabati ili kila Mtanzania aweze kufurahia
maisha kwa kujenga nyumba bora na nzuri.
Amesema hatakuwa tayari kuona bei ya vifaa vya ujenzi ikipaa hali ya kuwa viwanda vipya vitaanza uzalishaji.
Kauli hiyo aliitoa jana katika mikutano yake ya kampeni za kuomba kuchaguliwa kuwa rais katika wilaya za...
11 years ago
Habarileo29 Mar
Waathirika mafuriko wapewa mabati 689
SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limetoa mabati 689 yenye thamani ya Sh milioni 15 kwa wananchi wa wilaya za Hai na Mwanga, waliokumbwa na mafuriko. Mafuriko hayo yalisababisha zaidi ya kaya 500 kukosa makazi.
10 years ago
Habarileo20 Nov
CCM yatoa mabati 70 vibanda vilivyoteketea
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha kimetoa mabati 70 kusaidia ujenzi upya wa vibanda vilivyoteketea juzi kwa moto katika eneo la Fire jijini hapa na kusababisha hasara ya mamilioni ya shilingi.
9 years ago
Mwananchi02 Sep
Magufuli kupunguza bei ya saruji, mabati
10 years ago
MichuziPSPF YATOA MSAADA WA MABATI 300