Magufuli: Nitashusha bei ya saruji, mabati
NA BAKARI KIMWANGA, TUNDURU
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema endapo atachaguliwa kuongoza Serikali ya awamu ya tano, atahakikisha anashusha bei ya saruji na mabati ili kila Mtanzania aweze kufurahia
maisha kwa kujenga nyumba bora na nzuri.
Amesema hatakuwa tayari kuona bei ya vifaa vya ujenzi ikipaa hali ya kuwa viwanda vipya vitaanza uzalishaji.
Kauli hiyo aliitoa jana katika mikutano yake ya kampeni za kuomba kuchaguliwa kuwa rais katika wilaya za...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi02 Sep
Magufuli kupunguza bei ya saruji, mabati
10 years ago
MichuziTBL YATOA MSAADA WA MABATI, SARUJI KWA WAATHIRIKA WA JANGA LA MVUA KAHAMA
11 years ago
Uhuru Newspaper12 Jun
Bei ya mafuta, saruji zidhibitiwe
Na mwandishi wetu
WAKATI Bajeti Kuu ya serikali ya mwaka wa fedha 2014/2015, ikitarajiwa kuwasilishwa bungeni leo, Mkuu wa Kitengo cha Sayansi ya Siasa cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk. Benson Bana, ameshauri bei ya mafuta idhibitiwe na kuwa chini.
Alisema mafuta ni nishati muhimu ambayo inagusa maisha ya kila mwananchi na kwamba yakipanda bei yanachangia maisha ya wananchi kuwa magumu.
Dk. Bana alisema hayo jana alipokuwa akitoa maoni yake kuhusu muelekeo wa bajeti kuu ya serikali...
10 years ago
Mwananchi07 Jan
Kiwanda chafafanua bei kubwa ya saruji
10 years ago
Mwananchi11 Dec
Ujenzi wa maabara wapaisha bei ya saruji
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA MABATI YA AFRICAN ALLUMIUM (ALAF), IMEZINDUA MABATI AINA YA ROYAL VERSATILE
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA MABATI YA ALAF YATOA MSAADA WA MABATI KWA AJILI YA UJENZI WA MAABARA ZA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA MBEYA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-VvZMwQfmOS4/XodNgV3J42I/AAAAAAALl9c/m1mPGdLfFj0obGowH0j2QttG24oDQGg3QCLcBGAsYHQ/s72-c/8dff9b8b-c092-4dc9-9df4-184ec723fd26.jpg)
SERIKALI YATOA MABATI 324 KWA WILAYA YA KONGWA, DC NDEJEMBI AMSHUKURU RAIS MAGUFULI
Charles James, Globu ya Jamii
KATIKA kukuza elimu na kuendana na sera ya elimu bila malipo, serikali imetoa mabati 324 kwa Shule ya Msingi Manungu iliyopo wilayani Kongwa mkoani Dodoma.
Akizungumza katika ziara yake ya kukagua miundombinu ya elimu wilayani humo, Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mwita Waitara amesema mabati hayo yatatumika kuezeka madarasa matano yaliyojengwa kwa nguvu za wananachi.
Waitara amesema serikali imefurahishwa na nguvu iliyotumika na wananchi hao chini ya Mkuu wa...
9 years ago
Habarileo22 Sep
Magufuli: Nitashughulikia bei ya kahawa
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli ameahidi kwamba akichaguliwa, atashughulikia bei ya kahawa na kujenga viwanda mbalimbali, ikiwemo vya kahawa, samaki, chai na sukari. Magufuli amewataka wananchi wamchague na wampe miezi mitano pekee, wathibitishe uwezo wake wa kutatua kero.