SERIKALI YATOA MABATI 324 KWA WILAYA YA KONGWA, DC NDEJEMBI AMSHUKURU RAIS MAGUFULI

Charles James, Globu ya Jamii
KATIKA kukuza elimu na kuendana na sera ya elimu bila malipo, serikali imetoa mabati 324 kwa Shule ya Msingi Manungu iliyopo wilayani Kongwa mkoani Dodoma.
Akizungumza katika ziara yake ya kukagua miundombinu ya elimu wilayani humo, Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mwita Waitara amesema mabati hayo yatatumika kuezeka madarasa matano yaliyojengwa kwa nguvu za wananachi.
Waitara amesema serikali imefurahishwa na nguvu iliyotumika na wananchi hao chini ya Mkuu wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA MABATI YA ALAF YATOA MSAADA WA MABATI KWA AJILI YA UJENZI WA MAABARA ZA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA MBEYA
5 years ago
Michuzi
DC NDEJEMBI APIGA MARUFUKU BIASHARA ZISIZO NA VITAKASA MIKONO NDANI YA WILAYA YA KONGWA
Charles James, Michuzi TV
MKUU wa Wilaya ya Kongwa, Deo Ndejembi amepiga marufuku biashara zozote ndani ya wilaya hiyo ambazo hazina vifaa vya kujikinga na corona.
DC Ndejembi amewataka wafanyabiashara wote kuhakikisha wanaweka maji ya kunawa yanayotiririka, sabuni au vitakasa mikono ikiwa ni jitihada za kupambana na maambukizi ya ugonjwa wa homa ya mapafu maarufu Corona.
Akizungumza katika mkutano wake na watendaji wa kata zote za wilaya hiyo, DC Ndejembi pia amewataka watendaji hao...
5 years ago
CCM Blog
10 years ago
Dewji Blog25 Nov
ALAF yatoa msaada wa mabati kwa ajili ya ujenzi wa maabara za shule za sekondari wilaya ya Mbeya
Meneja wa Kampuni ya ALAF Tawi la Mbeya, Greyson Mwakasege akitoa taarifa kwa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya kabla ya kumkabidhi msaada wa mabati 384 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara.
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk. Norman Sigallah King, akitoa shukrani kwa kampuni ya ALAF kwa kujitolea mabati kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara kwa shule za sekondari za Wilaya ya Mbeya.
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk. Norman Sigallah King na Meneja wa ALAF tawi la Mbeya, Greyson Mwakasege...
10 years ago
Michuzi
5 years ago
Michuzi
MEYA MSTAAFU JIJI LA ARUSHA AMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUTOA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO
Woinde Shizza, Michuzi TvA-RUSHA
Meya Mstaafu wa Halmashauri ya jiji la Arusha Kalist Lazaro amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli kwa kutoa fedha za miradi ya maendeleo kwa jiji la Arusha katika kipindi cha miaka mitano kuanzia 2015\2020 licha ya Halmashauri hiyo kuongozwa na upinzani.
Kalist aliyasema hayo wakati akiongea na waandishi wa habari jijini Arusha na kuwataka Wana Arusha kumuunga mkono mh.Rais kwa hatua yake aliyoahidi na kuendelea kuahidi kuwa...
5 years ago
Michuzi
DC NDEJEMBI APOKEA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA WILAYANI KONGWA
Charles James, Michuzi TV
KATIKA kuendeleza mapambano dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa Corona Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Deo Ndejembi amepokea vifaa vya kujikinga na ugonjwa huo kutoka Taasisi ya Glaring Future Foundation (GFF).
Vifaa hivyo ambavyo ni Ndoo za kunawia na sabuni zake vimekabidhiwa kwa DC Ndejembi na Mkurugenzi wa taasisi hiyo, Aisha Msantu.
Akizungumza baada ya kukabidhiwa vifaa hivyo, DC Ndejembi ameipongeza taasisi ya GFF kwa moyo wao wa uzalendo wa kuiunga mkono serikali dhidi...
5 years ago
CCM Blog
RAIS MAGUFULI AJIBU BARUA YA KIKONGWE, AAMURU APEWE EKARI, BIBI AMSHUKURU (+VIDE)

10 years ago
Vijimambo17 Mar
Chadema yatoa mabati 850 kwa waathirika mafuriko Kahama

Akizungumza wakati wa kukabidhi msaada huo, Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa (pichani), alisema msaada huo una thamani ya Sh. milioni 12.
Dk. Slaa alifafanua kuwa kati ya kiasi hicho cha fedha zilizonunua mabati, Sh. milioni 10 ni sehemu ya ruzuku inayotolewa na...