Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kiwanda chafafanua bei kubwa ya saruji

 Uongozi wa Kiwanda cha Saruji Mbeya, umesema unalazimika kuuza bei ya juu saruji yao mkoani hapa tofauti na maeneo mengine ili kufidia ubovu wa mitambo yao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kiwanda cha Saruji chazindua mashine

Kampuni ya Saruji ya Mbeya, Mbeya Cement Lafarge Tanzania imezindua mashine ya kisasa ya kunyonya vumbi ambayo itapunguza vumbi linalotoka wakati wa uzalishaji hadi kufikia miligram 10 kiasi, ambacho ni kidogo kuliko kiwango kilichowekwa na taasisi ya kanuni za mazingira nchini ya miligram 50/nm3.

 

11 years ago

Habarileo

Manufaa ya mwekezaji wa kiwanda cha saruji Mtwara

Rais Jakaya Kikwete akioneshwa eneo la kiwanda cha Dangote Cement Obajan Plant na mmiliki na mfanyabiashara maarufu wa Nigeria, Alhaji Aliko Dangote (kushoto) alipotembelea kiwanda hicho kilichopo kilometa 400 Kaskazini mwa jiji la Lagos, alipokitembela juzi. Kulia kwake ni Balozi wa Nigeria nchini, Ishaya Samaila Majanbu. (Picha na Ikulu)RAIS Jakaya Kikwete amejionea manufaa wanayopata wananchi waliozunguka kiwanda kikubwa cha saruji duniani, ikiwemo kujengewa nyumba, kupata huduma za uhakika za umeme, maji na vijana wao kupelekwa shule.

 

10 years ago

Habarileo

Kiwanda cha Dangote kuzalisha saruji mwakani

KIWANDA cha saruji cha Kampuni ya Dangote, kinachojengwa mkoani Mtwara kinatarajia kukamilika ujenzi wake na kuanza uzalishaji wa saruji mwishoni mwa mwaka 2015, ambapo mwekezaji wake, raia wa Nigeria, Aliko Dangote, amesema kiwanda hicho kitakuwa moja ya viwanda bora duniani.

 

10 years ago

Mwananchi

Kiwanda hiki cha saruji kiko Mbeya?

Hivi karibuni wakazi wa Jiji la Mbeya, wakiwamo wafanyabiashara wa saruji inayotengenezwa kwenye kiwanda kilichopo jijini hapa eneo la Songwe, wamefichua jambo ambalo wanasema linawakera kwa kipindi kirefu.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Bei ya mafuta, saruji zidhibitiwe


Na mwandishi wetu
WAKATI Bajeti Kuu ya serikali ya mwaka wa fedha 2014/2015, ikitarajiwa kuwasilishwa bungeni leo, Mkuu wa Kitengo cha Sayansi ya Siasa cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk. Benson Bana, ameshauri bei ya mafuta idhibitiwe na kuwa chini.
Alisema mafuta ni nishati muhimu ambayo inagusa maisha ya kila mwananchi na kwamba yakipanda bei yanachangia maisha ya wananchi kuwa magumu.
Dk. Bana alisema hayo jana alipokuwa akitoa maoni yake kuhusu muelekeo wa bajeti kuu ya serikali...

 

10 years ago

Mwananchi

Ujenzi wa maabara wapaisha bei ya saruji

Serikali Mkoa wa Mbeya imesema itachunguza ili kujua sababu za uongozi wa Kiwanda cha Saruji Mbeya kuuza mfuko mmoja kwa Sh16,000 jijini hapa wakati mfuko wa aina hiyo hiyo unauzwa kwa Sh14,000 mkoani Njombe, Iringa na Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli: Nitashusha bei ya saruji, mabati

Pg 1 magufuliNA BAKARI KIMWANGA, TUNDURU

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema endapo atachaguliwa kuongoza Serikali ya awamu ya tano, atahakikisha anashusha bei ya saruji na mabati ili kila Mtanzania aweze kufurahia
maisha kwa kujenga nyumba bora na nzuri.

Amesema hatakuwa tayari kuona bei ya vifaa vya ujenzi ikipaa hali ya kuwa viwanda vipya vitaanza uzalishaji.

Kauli hiyo aliitoa jana katika mikutano yake ya kampeni za kuomba kuchaguliwa kuwa rais katika wilaya za...

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli kupunguza bei ya saruji, mabati

Mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amesema endapo atachaguliwa, atashusha bei ya vifaa vya ujenzi vikiwamo saruji na mabati kuanzia mwakani akisema tayari kuna viwanda vikubwa ambavyo vimeshaanza kujengwa nchini.

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atembelea kiwanda cha saruji kikubwa zaidi duniani

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mfanyabiashara na mwekezaji maarufu wa Nigeria Alhaj Aliko Dangote katika uwanja wa ndege wa kiwanda chake cha saruji cha Dangote Cement Obajan Plant kilichoko kilomita 400 Kaskazini Mashariki mwa Lagos alipotembela May 9, 2014. Kushoto ni Balozi wa Nigeria nchini Tanzania Mhe. Dkt. Ishaya Samaila Majanbu Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete akipata maelezo toka kwa mfanyabiashara na mwekezaji maarufu wa Nigeria Alhaj Aliko Dangote wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani