Magufuli kupunguza bei ya saruji, mabati
Mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amesema endapo atachaguliwa, atashusha bei ya vifaa vya ujenzi vikiwamo saruji na mabati kuanzia mwakani akisema tayari kuna viwanda vikubwa ambavyo vimeshaanza kujengwa nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania02 Sep
Magufuli: Nitashusha bei ya saruji, mabati
NA BAKARI KIMWANGA, TUNDURU
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema endapo atachaguliwa kuongoza Serikali ya awamu ya tano, atahakikisha anashusha bei ya saruji na mabati ili kila Mtanzania aweze kufurahia
maisha kwa kujenga nyumba bora na nzuri.
Amesema hatakuwa tayari kuona bei ya vifaa vya ujenzi ikipaa hali ya kuwa viwanda vipya vitaanza uzalishaji.
Kauli hiyo aliitoa jana katika mikutano yake ya kampeni za kuomba kuchaguliwa kuwa rais katika wilaya za...
10 years ago
MichuziTBL YATOA MSAADA WA MABATI, SARUJI KWA WAATHIRIKA WA JANGA LA MVUA KAHAMA
9 years ago
VijimamboDK MAGUFULI AKISHINDA URAIS AAHIDI SERIKALI KUJENGA RELI KUTOKA MTWARA HADI MBAMBA BAY RUVUMA, KUPUNGUZA BEI YA VIFAA VYA UJENZI
9 years ago
Dewji Blog02 Sep
Dk Magufuli akishinda Urais aahidi Serikali kujenga reli kutoka Mtwara hadii Mbamba Bay Ruvuma, kupunguza bei ya vifaa vya ujenzi
Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni wa CCM kumnadi mgombea urais Dk John Magufuli wilayani Masasi jana. Dk Magufuli amesema kuwa CCM ikishinda Serikali itajenga Reli kuanzia Mtwara hadi Mbamba Bay Ruvuma.
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi katika mkutano wa kampeni mjini Masasi, mkoani Mtwara jana.
Mfuasi wa CCM akiwa amejichora usoni huku kidevuni akiwa aqmeandika jina la Mgombea Urais wa Tanzania kuptia CCM, Dk Magufuli.
Wananchi...
11 years ago
Uhuru Newspaper12 Jun
Bei ya mafuta, saruji zidhibitiwe
Na mwandishi wetu
WAKATI Bajeti Kuu ya serikali ya mwaka wa fedha 2014/2015, ikitarajiwa kuwasilishwa bungeni leo, Mkuu wa Kitengo cha Sayansi ya Siasa cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk. Benson Bana, ameshauri bei ya mafuta idhibitiwe na kuwa chini.
Alisema mafuta ni nishati muhimu ambayo inagusa maisha ya kila mwananchi na kwamba yakipanda bei yanachangia maisha ya wananchi kuwa magumu.
Dk. Bana alisema hayo jana alipokuwa akitoa maoni yake kuhusu muelekeo wa bajeti kuu ya serikali...
10 years ago
Mwananchi07 Jan
Kiwanda chafafanua bei kubwa ya saruji
10 years ago
Mwananchi11 Dec
Ujenzi wa maabara wapaisha bei ya saruji
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA MABATI YA AFRICAN ALLUMIUM (ALAF), IMEZINDUA MABATI AINA YA ROYAL VERSATILE
11 years ago
Habarileo17 Feb
Serikali kupunguza bei ya ving’amuzi
KATIKA kuhakikisha ving'amuzi vinawafikia wananchi wengi na kwa bei nafuu, Serikali inatarajia kushusha bei zaidi za kodi ya ving'amuzi, ili kampuni nyingi zijitokeze kuuza ving'amuzi kwa wananchi walio wengi, tofauti na sasa. Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba, alisema hayo jana wakati akifunga mkutano wa jukwaa la kujadili mchakato wa kuhama kutoka analogia kwenda digitali, uliohusisha nchi zaidi ya 25 duniani.