Serikali kupunguza bei ya ving’amuzi
KATIKA kuhakikisha ving'amuzi vinawafikia wananchi wengi na kwa bei nafuu, Serikali inatarajia kushusha bei zaidi za kodi ya ving'amuzi, ili kampuni nyingi zijitokeze kuuza ving'amuzi kwa wananchi walio wengi, tofauti na sasa. Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba, alisema hayo jana wakati akifunga mkutano wa jukwaa la kujadili mchakato wa kuhama kutoka analogia kwenda digitali, uliohusisha nchi zaidi ya 25 duniani.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV03 Dec
TCRA kuiomba serikali kupunguza gharama za ving’amuzi
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), inatarajia kuiomba serikali kupunguza gharama za vinga’muzi ili kuwawezesha wananchi wengi kuona matangazo ya vituo vya luninga nchini.
TCRA inatarajia kufanya hivyo baada ya mkutano wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), unaoendelea Dar es Salaam kubadilishana uzoefu wa kuhamia mfumo wa dijitali kutoka analojia.
Wajumbe kutoka nchi mbalimbali za SADC, wakiwa katika mkutano wa siku mbili kubadilishana uzoefu wa kuhamia dijitali...
10 years ago
MichuziKutoka ving’amuzi hadi ‘Android Application’,STARTIMES Hawakamatiki.
Application hiyo inayofanya kazi katika simu zote zenye kutumia mifumo ya Android itakuwezesha kufahamu ratiba za chaneli zako zote kwa siku saba (wiki moja) zijazo, kuweka ‘reminders’ kwenye vipindi uvipendavyo, kuchat na watumiaji wengine wa StarTimes na kukusanya sarafu au‘coins’ zinazoweza kukombolewa na kujishindia zawadi mbalimbali.Uzuri mwingine wa application hii...
9 years ago
StarTV21 Dec
Serikali yaombwa kudhibiti biashara ya mazao nje kupunguza mfumko wa bei
Baadhi ya wananchi wakiwemo wafanyabiashara wa mazao mbalimbali jijini Mbeya wameiomba Serikali kudhibiti biashara ya mazao ya chakula nje ya nchi hatua ambayo itasaidia kupunguza mfumko wa bei za vyakula.
Wamesema kwa sasa bei za vyakula kutoka kwa wakulima mashambani zimepanda tofauti na ilivyokuwa miezi michache iliyopita hali inayochagiwa na uuzwaji wa mazao hayo nje ya nchi.
Mazao yaliyopanda bei ni pamoja nyanya na Mchele ambao sasa unauzwa kati ya shilingi 34,000 mpaka 40,000 kwa debe...
9 years ago
VijimamboDK MAGUFULI AKISHINDA URAIS AAHIDI SERIKALI KUJENGA RELI KUTOKA MTWARA HADI MBAMBA BAY RUVUMA, KUPUNGUZA BEI YA VIFAA VYA UJENZI
Wananchi...
9 years ago
Dewji Blog02 Sep
Dk Magufuli akishinda Urais aahidi Serikali kujenga reli kutoka Mtwara hadii Mbamba Bay Ruvuma, kupunguza bei ya vifaa vya ujenzi
Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni wa CCM kumnadi mgombea urais Dk John Magufuli wilayani Masasi jana. Dk Magufuli amesema kuwa CCM ikishinda Serikali itajenga Reli kuanzia Mtwara hadi Mbamba Bay Ruvuma.
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi katika mkutano wa kampeni mjini Masasi, mkoani Mtwara jana.
Mfuasi wa CCM akiwa amejichora usoni huku kidevuni akiwa aqmeandika jina la Mgombea Urais wa Tanzania kuptia CCM, Dk Magufuli.
Wananchi...
9 years ago
Mwananchi02 Sep
Magufuli kupunguza bei ya saruji, mabati
5 years ago
MichuziBEI YA SUKARI YATANGAZWA, SERIKALI YAONYA WAFANYABIASHARA WANAOPANDISHA BEI KIHOLELA
Charles James, Michuzi TVSERIKALI...
10 years ago
Mwananchi13 Feb
Ewura yaiagiza Tanesco kupunguza bei ya umeme
10 years ago
Uhuru Newspaper11 Mar
EWURA yaagizwa kupunguza zaidi bei ya mafuta
NA WAANDISHI WETU
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetakiwa kuhakikisha inaendelea kupunguza bei ya mafuta kulingana na mabadiliko katika soko la dunia. Agizo hilo limetolewa jana na Kamati ya PAC wakati ilipokutana na watendaji na maofisa wa EWURA, ambapo imesema ni lazima bei ya mafuta nchini ibadilike kulingana na bei ya soko duniani. Makamu Mwenyekiti wa PAC, Ismail Aden Rage, alisema bei ya mafuta kwenye soko la dunia imepungua kwa asilimia 25, hivyo mamlaka...