Ewura yaiagiza Tanesco kupunguza bei ya umeme
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeliagiza Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kupunguza bei za umeme kuanzia Machi Mosi mwaka huu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper11 Mar
EWURA yaagizwa kupunguza zaidi bei ya mafuta
NA WAANDISHI WETU
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetakiwa kuhakikisha inaendelea kupunguza bei ya mafuta kulingana na mabadiliko katika soko la dunia. Agizo hilo limetolewa jana na Kamati ya PAC wakati ilipokutana na watendaji na maofisa wa EWURA, ambapo imesema ni lazima bei ya mafuta nchini ibadilike kulingana na bei ya soko duniani. Makamu Mwenyekiti wa PAC, Ismail Aden Rage, alisema bei ya mafuta kwenye soko la dunia imepungua kwa asilimia 25, hivyo mamlaka...
9 years ago
StarTV19 Sep
EWURA yatakiwa kukaa na wadau wa umeme kupunguza garama
Siku Moja baada ya Tanzania kuanza kutumia umeme wa nishati ya gesi kutoka Mtwara Serikali imeziagiza Mamlaka ya Mdhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) na wadau wa uzalishaji wa nishati hiyo kukaa na kufanya tathmini ili kufikia muafaka wa kupunguza gharama zake kwa watanzania.
Hatua hiyo inatokana na unafuu wa uzalishaji wa umeme kwa nishati ya gesi ukilinganisha na maji ambapo vyanzo vyake vilishindwa kumudu na kusababisha gharama za umeme kupanda kutokana na uwezo wa uzalishaji kushuka...
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Tanesco yapandisha bei ya umeme
10 years ago
Habarileo26 Aug
Tanesco yakataa umeme wa bei kubwa
SHIRIKA la Umeme (Tanesco) limekataa mkataba wa kununua umeme wa makaa ya mawe kwa gharama kubwa kutoka Shirika la Maendeleo ya Taifa (NDC), kwa kuwa utavuruga mpango wao wa kupunguza gharama ya umeme kwa wananchi.
10 years ago
Habarileo26 Aug
Tanesco yakataa umeme wa bei ghali
SHIRIKA la Umeme (Tanesco) limekataa mkataba wa kununua umeme wa makaa ya mawe kwa gharama kubwa kutoka Shirika la Maendeleo ya Taifa (NDC), kwa kuwa utavuruga mpango wao wa kupunguza gharama ya umeme kwa wananchi.
11 years ago
Habarileo12 Feb
Wakazi 200 Dar waitaka TANESCO ishushe bei ya umeme
UMOJA wa wakazi zaidi ya 200 wa Dar es Salaam wametoa siku kumi kwa Shirika la Umeme nchini(TANESCO), pamoja na vyombo vingine vya maamuzi, kubatilisha maamuzi yake juu ya bei mpya ya umeme na irejeshwe bei iliyokuwepo.
10 years ago
MichuziSHIRIKA LA UMEME TANESCO LAIBIWA NYAYA ZA UMEME KITUO CHA KIPAWA
11 years ago
Habarileo24 Apr
Takukuru waitwa Tanesco, TPDC Ewura, Madini
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, ametaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), kuchunguza wafanyakazi wa wizara hiyo na mashirika yake wanaotuhumiwa kwa rushwa.
9 years ago
Mwananchi02 Dec
Ewura yashusha bei ya petrol, dizeli