Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Takukuru waitwa Tanesco, TPDC Ewura, Madini

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter MuhongoWAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, ametaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), kuchunguza wafanyakazi wa wizara hiyo na mashirika yake wanaotuhumiwa kwa rushwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TPDC YAOMBA TOZO EWURA KUSAFIRISHA GESI ASILIA

Na Beatrice Lyimo- Maelezo.
GESI asilia ni bidhaa muhimu kwa maendeleo ya wananchi na uchumi wa nchi yeyote ikiwemo Tanzania.
Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Said Meck Sadick wakati wa ufunguzi wa taftishi juu ya maombi la Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuhusu mapendekezo ya tozo ya uchakataji na usafirishaji wa Gesi asilia uliofanyika.
Mhe. Sadick amesema  kuwa, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ilipokea maombi ya Shirika la...

 

10 years ago

Michuzi

BODI YA WAKURUGENZI (EWURA) YATOA UAMUZI KUHUSU MAOMBI YA TPDC YA TOZO ZA HUDUMA ZA KUCHAKATA NA KUSAFIRISHA GESI ASILIA

Na Bakari Issa,Dar es Salaam
Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetoa agizo kwa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania(TPDC) kuzingatia kanuni za ushindani pamoja na kuiarifu EWURA kila TPDC inapofanya manunuzi ya thamani yanayozidi dola za Marekani 5 Milioni.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam,Mkururugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA),Felix Ngamlagosi amesema agizo hilo litaanza kutekelezwa kuanzia tarehe...

 

9 years ago

Habarileo

TPDC, Tanesco washauriwa ujirani mwema

NAIBU Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage amewataka wataalamu wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kupitia kampuni tanzu ya Usambazaji Gesi (Gasco) pamoja na Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kuhakikisha kuwa wanashirikisha wananchi katika utekelezaji wa miradi ya nishati.

 

10 years ago

Mwananchi

Ewura yaiagiza Tanesco kupunguza bei ya umeme

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeliagiza Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kupunguza bei za umeme kuanzia Machi Mosi mwaka huu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Takukuru yabamba watano Tanesco

WAFANYAKAZI watano wa Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (Tanesco), wanashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Kilimanjaro kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri wa Nishati na Madini azindua Bodi mpya ya Tanesco

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (wa kwanza kutoka kushoto), Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stephen Masele (wa tatu kutoka kushoto), Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Eng.Ngosi Mwihava (wa nne kutoka kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Eng. Felchesmi Mramba (wa pili kulia), wakimsikiliza mmoja wa wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO (haonekani pichani) wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi hiyo iliyofanyika katika Makao Makuu ya Wizara ya...

 

10 years ago

Vijimambo

TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA MWAKA WA GE OIL & GAS, FLORENCE ITALY WAZIRI WA NISHATI NA MADINI GEORGE SIMBACHAWENE NA MKURUGENZI WA TPDC JAMES MATARAGIO WASHIRIKI

 Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Dr. James Mataragio akiongea katika mkutano wa mwaka wa GE Oil & Gas uliofanyika Florence, Italy. Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. George Simbachawene (MB) akihutubia wadau mbalimbali wa mafuta na gesi duniana katika mkutano wa mwaka ulioandaliwa na GE Oil & Gas uliofanyika Florence, Italy.
 Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. George Simbachawene (MB) akisikiliza kwa makini wakati Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Dr. Mataragio (Hayupo pichani) akiongea kuitangaza...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA MUHONGO ATEMA CHECHE, Awataka TANESCO kufanya kazi

Serikali imeliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuacha mara moja tabia ya kukata umeme bila sababu ya msingi. Agizo hilo limetolewa jana jijini Dar es Salaam na Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo na Naibu wake, Dkt Medard Kalemani walipofanya ziara ya kushtukiza kwenye Ofisi za Makao Makuu ya Wizara hiyo.  Mara tu baada ya kuapishwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na Naibu wake, Dkt Medard Kalemani walifanya ziara hiyo ya kushtukiza kwenye...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Nishati na Madini azindua rasmi Bodi ya Tanesco Asisitiza siku za kuunganisha umeme kupungua

Na Teresia Mhagama Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amezindua rasmi Bodi mpya ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO) na kuipa vipaumbele vya utekelezaji wa majukumu vitakavyotekelezwa na Bodi hiyo kabla ya kufikia ukomo wake mnamo mwaka 2017. Uzinduzi wa Bodi hiyo ulifanyika jijini Dar es Salaam katika Makao Makuu ya Wizara ya Nishati na Madini Ulihudhuriwa na viongozi wa Wizara ya Nishati na Madini akiwemo Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stephen Masele,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani