TCRA kuiomba serikali kupunguza gharama za ving’amuzi
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), inatarajia kuiomba serikali kupunguza gharama za vinga’muzi ili kuwawezesha wananchi wengi kuona matangazo ya vituo vya luninga nchini.
TCRA inatarajia kufanya hivyo baada ya mkutano wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), unaoendelea Dar es Salaam kubadilishana uzoefu wa kuhamia mfumo wa dijitali kutoka analojia.
Wajumbe kutoka nchi mbalimbali za SADC, wakiwa katika mkutano wa siku mbili kubadilishana uzoefu wa kuhamia dijitali...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo17 Feb
Serikali kupunguza bei ya ving’amuzi
KATIKA kuhakikisha ving'amuzi vinawafikia wananchi wengi na kwa bei nafuu, Serikali inatarajia kushusha bei zaidi za kodi ya ving'amuzi, ili kampuni nyingi zijitokeze kuuza ving'amuzi kwa wananchi walio wengi, tofauti na sasa. Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba, alisema hayo jana wakati akifunga mkutano wa jukwaa la kujadili mchakato wa kuhama kutoka analogia kwenda digitali, uliohusisha nchi zaidi ya 25 duniani.
9 years ago
Mwananchi19 Nov
Kuna umuhimu wa Serikali kupunguza gharama za kufanya biashara nchini
10 years ago
Mwananchi05 Oct
Tanesco kupunguza gharama za mafunzo
9 years ago
Habarileo01 Jan
NHC watakiwa kupunguza gharama
SERIKALI imeliagiza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kubuni njia bora ya kupunguza gharama za ujenzi wa nyumba zake kwa kuacha kumalizia nyumba kwa asilimia 100, badala yake mteja amalizie.
11 years ago
Tanzania Daima13 Mar
GPSA kupunguza gharama za ununuzi wa taasisi za umma
WAKALA wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) ni taasisi ya serikali iliyoanzishwa kwa mujibu wa sheria ya Wakala za Serikali Na. 30 ya mwaka 1997, kupitia katika agizo la uanzishwaji...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-yjjke11COdo/XkWGfaDhM9I/AAAAAAABKc0/4cQB69w_HGU5muWYZsilKoaNcGtKt56uwCNcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200213-WA0102.jpg)
MKANDARASI UJENZI WA MRADI WA MAJI MKURANGA ATAKIWA KUPUNGUZA GHARAMA
Waziri wa Maji Prof Makame Mbarawa amewaagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kukaa chini na mkandarasi anayejenga mradi wa maji Mkuranga kupunguza gharama za ujenzi
Hayo yamesemwa wakati wa ziara ya kutembelea miradi ya maji katika wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani. Katika ziara hiyo pia ameambatana na Mbunge wa Jimbo hilo Naibu waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega pamoja na wataalamu wa maji.
Mbarawa amesema, Dawasa wakae...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-lNNyJPyUz20/XkbJvg2PoLI/AAAAAAABKnc/e2eIMthpigocZ9Ts_Iol40tduA92vvbiQCNcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200214-WA0083.jpg)
MAMLAKA ZA MAJI ZITUMIE WATAALAMU KUTOKA NDANI ILI KUPUNGUZA GHARAMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-lNNyJPyUz20/XkbJvg2PoLI/AAAAAAABKnc/e2eIMthpigocZ9Ts_Iol40tduA92vvbiQCNcBGAsYHQ/s640/IMG-20200214-WA0083.jpg)
Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiMamlaka za maji nchini zimetakiwa kuanza kutumia wataalamu wa ndani katika ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo nchini.
Waziri wa Maji Prof Makame Mbarawa amesema sasa hivi mamlaka zote zinatakiwa zianze kutumia wataalamu kutoka ndani ili zipunguze gharama za ujenzi.
Amesema hayo...
11 years ago
Habarileo17 Apr
Gharama za serikali tatu zitumike kusaidia walemavu
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Ali Omar Makame ametaka gharama zitakazotumika kuanzisha serikali ya tatu zikatumike kuwasaidia watu wenye ulemavu wanaoishi katika dimbwi la umasikini miongoni mwa Watanzania walio wengi nchini.