Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanesco kupunguza gharama za mafunzo

Shirika la Umeme nchini (Tanesco), limesema huenda likapunguza gharama za uendeshaji wa mafunzo nje ya nchini kwa wafanyakazi wake, baada ya kubaini baadhi ya mafunzo waliyokuwa wakiyapata nje ya nchi yanatolewa nchini na Taasisi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) kutoka Mamlaka ya Mafunzi ya Ufundi Stadi (Veta -Kipawa).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

NHC watakiwa kupunguza gharama

SERIKALI imeliagiza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kubuni njia bora ya kupunguza gharama za ujenzi wa nyumba zake kwa kuacha kumalizia nyumba kwa asilimia 100, badala yake mteja amalizie.

 

11 years ago

Tanzania Daima

GPSA kupunguza gharama za ununuzi wa taasisi za umma

WAKALA wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) ni taasisi ya serikali iliyoanzishwa kwa mujibu wa sheria ya Wakala za Serikali Na.  30 ya mwaka 1997, kupitia katika agizo la uanzishwaji...

 

9 years ago

StarTV

TCRA kuiomba serikali kupunguza gharama za ving’amuzi

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), inatarajia kuiomba serikali kupunguza gharama za vinga’muzi ili kuwawezesha wananchi wengi kuona matangazo ya vituo vya luninga nchini.

TCRA inatarajia kufanya hivyo baada ya mkutano wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), unaoendelea Dar es Salaam kubadilishana uzoefu wa kuhamia mfumo wa dijitali kutoka analojia.

Wajumbe kutoka nchi mbalimbali za SADC, wakiwa katika mkutano wa siku mbili kubadilishana uzoefu wa kuhamia dijitali...

 

11 years ago

Mwananchi

Mnyika kuivaa Tanesco gharama za umeme

Mbunge wa Ubungo ambaye pia ni Waziri Kivuli wa Nishati na Madini, John Mnyika ametoa wito kwa wananchi walioathirika na kupanda kwa bei ya umeme kutoa mapendekezo na kueleza athari wanazozipata.

 

9 years ago

Mwananchi

Kuna umuhimu wa Serikali kupunguza gharama za kufanya biashara nchini

Taasisi mbalimbali katika sekta binafsi nchini Tanzania zimekuwa zikilalamika kuwa mazingira ya biashara si rafiki kutokana na kuwapo kwa sheria zinazokwamisha biashara, ajira na uendeshaji wa ujasiriamali. Waajiri wanataka sehemu kubwa ya sheria za kazi kuangaliwa upya ili ziendane na mahitaji halisi ya biashara kwa sasa

 

5 years ago

Michuzi

MKANDARASI UJENZI WA MRADI WA MAJI MKURANGA ATAKIWA KUPUNGUZA GHARAMA

Na Zainab Nyamka,Globu ya Jamiii
Waziri wa Maji  Prof Makame Mbarawa amewaagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kukaa chini na mkandarasi anayejenga mradi wa maji Mkuranga kupunguza gharama za ujenzi 
Hayo yamesemwa wakati wa ziara ya kutembelea miradi ya maji katika wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani. Katika ziara hiyo pia ameambatana na Mbunge  wa Jimbo hilo Naibu waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega pamoja na wataalamu wa maji.
Mbarawa amesema, Dawasa wakae...

 

5 years ago

Michuzi

MAMLAKA ZA MAJI ZITUMIE WATAALAMU KUTOKA NDANI ILI KUPUNGUZA GHARAMA

Waziri wa Maji Prof Makame Mbarawa akizungunza na watendaji wa maji kutoka Mamlaka za  DAWASA na RUWASA wakati wa ziara yake ya kutembelea miradi ya maji ndani ya Mji wa Kisarawe.

Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiMamlaka za maji nchini zimetakiwa kuanza kutumia wataalamu wa ndani katika ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo nchini.
Waziri wa Maji Prof Makame Mbarawa amesema sasa hivi mamlaka zote zinatakiwa zianze kutumia wataalamu kutoka ndani ili zipunguze gharama za ujenzi.
Amesema hayo...

 

10 years ago

Mwananchi

Ewura yaiagiza Tanesco kupunguza bei ya umeme

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeliagiza Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kupunguza bei za umeme kuanzia Machi Mosi mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Maswi: Serikali haina mpango wa kupunguza wafanyakazi Tanesco

Serikali imesema haina mpango wa kupunguza wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) chini ya mkakati wa kuboresha sekta ndogo ya umeme nchini na badala yake, imewataka waendelee kushirikiana kikamilifu kulitumikia shirika na wateja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani