Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kiwanda cha Saruji chazindua mashine

Kampuni ya Saruji ya Mbeya, Mbeya Cement Lafarge Tanzania imezindua mashine ya kisasa ya kunyonya vumbi ambayo itapunguza vumbi linalotoka wakati wa uzalishaji hadi kufikia miligram 10 kiasi, ambacho ni kidogo kuliko kiwango kilichowekwa na taasisi ya kanuni za mazingira nchini ya miligram 50/nm3.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KIWANDA CHA KONYAGI CHAZINDUA KINYWAJI CHA ZANZI CHENYE LADHA ZA CHOCOLATE NA KAHAWA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi Tanzania (TDL), David Mgwassa (katikati), akiwa Meneja Masoko wa kiwanda hicho, Joseph Chibehe (kushoto) na Meneja Bidhaa wa TDL, Warda Kimaro wakionesha vinywaji vipya aina ya Zanzi Chocolate  (ladha ya Chokoleti) na Zanzi Cappuccino (ladha ya kahawa) wakati wa uzinduzi wa  wa vinywaji hivyo uliofanyika katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam.
 Mgwassa akielezea ubora wa vinywaji hivyo.
 Meneja Masoko wa TDL, Joseph Chibehe...

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AZINDUA KIWANDA CHA SARUJI CHA DANGOTE MTWARA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe Halima Denengo na mmiliki wa kiwanda kipya cha Saruji cha Dangote Alhaj Aliko Dangote (nyuma yao) wakati wa sherehe za kuzindua kiwanda hicho kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara.
  Sehemu ya wafanyakazi wa kiwanda kipya cha Saruji cha Dangote Alhaj Aliko Dangote  wakati wa sherehe za kuzindua kiwanda hicho.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na  Alhaj Aliko Dangote wakikata utepe kuashiria...

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA ZA KIWANDA KIKUBWA CHA SARUJI KULIKO VYOTE DUNIANI CHA DANGOTE, NIGERIA

Sehemu ya foleni ya malori ikielekwa kubeba mzigo katika kiwanda  cha Saruji cha Dangote  kilichopo katika eneo la Obajana,  Jimbo la Kogi, kilomita 400 Kaskazini Mashariki mwa mji maarufu wa kibiashara wa Nigeria, Lagos. 
Kwa sasa Kiwanda hicho  kinazalisha tani za kimetriki milioni 10.25 kwa mwaka na hivyo kukifanya kiwanda hicho kuwa kiwanda kikubwa zaidi cha saruji duniani kilichoko katika eneo moja. 
Baada ya upanuzi unaoendelea kufanywa kwenye kiwanda hicho, uwezo wake wa uzalishaji...

 

9 years ago

Michuzi

JK alipozindua kiwanda cha saruji cha Dangote Mtwara


 Rais Kikwete akikata utepe katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015 Rais Kikwete akifunua pazia katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015 Rais Kikwete akiweka sahihi katika kitabu cha wageni katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015

 

11 years ago

Habarileo

Manufaa ya mwekezaji wa kiwanda cha saruji Mtwara

Rais Jakaya Kikwete akioneshwa eneo la kiwanda cha Dangote Cement Obajan Plant na mmiliki na mfanyabiashara maarufu wa Nigeria, Alhaji Aliko Dangote (kushoto) alipotembelea kiwanda hicho kilichopo kilometa 400 Kaskazini mwa jiji la Lagos, alipokitembela juzi. Kulia kwake ni Balozi wa Nigeria nchini, Ishaya Samaila Majanbu. (Picha na Ikulu)RAIS Jakaya Kikwete amejionea manufaa wanayopata wananchi waliozunguka kiwanda kikubwa cha saruji duniani, ikiwemo kujengewa nyumba, kupata huduma za uhakika za umeme, maji na vijana wao kupelekwa shule.

 

10 years ago

Habarileo

Kiwanda cha Dangote kuzalisha saruji mwakani

KIWANDA cha saruji cha Kampuni ya Dangote, kinachojengwa mkoani Mtwara kinatarajia kukamilika ujenzi wake na kuanza uzalishaji wa saruji mwishoni mwa mwaka 2015, ambapo mwekezaji wake, raia wa Nigeria, Aliko Dangote, amesema kiwanda hicho kitakuwa moja ya viwanda bora duniani.

 

10 years ago

Mwananchi

Kiwanda hiki cha saruji kiko Mbeya?

Hivi karibuni wakazi wa Jiji la Mbeya, wakiwamo wafanyabiashara wa saruji inayotengenezwa kwenye kiwanda kilichopo jijini hapa eneo la Songwe, wamefichua jambo ambalo wanasema linawakera kwa kipindi kirefu.

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atembelea kiwanda cha saruji kikubwa zaidi duniani

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mfanyabiashara na mwekezaji maarufu wa Nigeria Alhaj Aliko Dangote katika uwanja wa ndege wa kiwanda chake cha saruji cha Dangote Cement Obajan Plant kilichoko kilomita 400 Kaskazini Mashariki mwa Lagos alipotembela May 9, 2014. Kushoto ni Balozi wa Nigeria nchini Tanzania Mhe. Dkt. Ishaya Samaila Majanbu Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete akipata maelezo toka kwa mfanyabiashara na mwekezaji maarufu wa Nigeria Alhaj Aliko Dangote wakati...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete atembelea kiwanda kikubwa zaidi cha saruji duniani

d10

 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mfanyabiashara na mwekezaji maarufu wa Nigeria Alhaj Aliko Dangote katika uwanja wa ndege wa kiwanda chake cha saruji cha Dangote Cement Obajan Plant kilichoko kilomita 400 Kaskazini Mashariki mwa Lagos alipotembela May 9, 2014. Kushoto ni Balozi wa Nigeria nchini Tanzania Mhe. Dkt. Ishaya Samaila Majanbu.

. Ni kile kinachomilikiwa na mwekezaji anayejenga kiwanda cha saruji Mtwara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani