Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Podolski nje ya mechi dhidi ya Algeria

Lukas Podolski na Gerome Boateng katika orodha ya majeruhi ya Ujerumani kabla ya mechi dhidi ya Algeria

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

SIMU TV: MECHI YA TAIFA STARS NA ALGERIA

SIMU.TV: Taifa Stars na Algeria wazichapa katika uwanja wa taifa jijini  Dar es salaam ili kufuzu kuwania kombe la dunia;  https://youtu.be/i5DZb0UDAZU SIMU.TV Mambo ya Samatta sio ya kitoto  licha ya mpira kuwa wa moto kwelikweli kwa timu zote mbili  za Taifa stars na timu ya Algeria;  https://youtu.be/c6swRxcEjm8 SIMU.TV Huku ni kukosa bahati kwa mechi ya leo au? Angalia hali ilivyo dimbani kipindi cha kwanza. Hebu toa tathmini yako binafsi ;  https://youtu.be/_9xKvwLCrEg  SIMU.TV Mgagaa na...

 

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA MECHI YA TAIFA STARS NA ALGERIA WA HAJI MANARA


Ama hakika wengi waliokuwepo Uwanja wa Taifa  jana waliondoka kwa huzuni sana. Waliondoka kwa huzuni sio sababu timu ya taifa ilifungwa. Laa hasha!! Hawakutegemea kupata matokeo ya sare kwenye mchezo wa kufuzu kucheza kombe la dunia dhidi ya miamba ya soka afrika Algeria.Tayari kwa kila mmoja mechi ilishaisha hasa baada ya kuongoza kwa goli mbili kwa bila.ila mpira ni mchezo wa makosa.mwisho wa mchezo ikawa huzuni kwetu baada ya waarabu wa kaskazin mwa afrika kusawazisha goli zote...

 

9 years ago

Michuzi

KUONA MECHI YA TAIFA STARS NA ALGERIA NI BUKU 5 TU JUMAMOSI HII

 Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa Jumamosi kati ya Tanzania dhidi ya Algeria utakaochezwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam bei ya chini kuwa ni shilingi elfu tano (5,000) tu.
Tiketi za mchezo huo zitaanzwa kuuzwa siku ya ijumaa katika vituo mbalimbali vinavyotumiwa na TFF kuuzia tiketi, ambapo kiingilio kingine kitakua ni elfu kumi (10,000) kwa viti vya VIP B & C, huku kiingilio cha elfu tano kikiwa ni kwa viti vya rangi ya Bluu, Kijani...

 

9 years ago

Vijimambo

MECHI KATI YA TANZANIA NA ALGERIA KUCHEZWA NOVEMBA 14 MWAKA HUU

 Mchezo wa hatua ya pili kuwania kufuzu kwa Fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika mwaka 2018 nchini Urusi kati ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya Algeria (The Fox Desert) utafanyika tarehe 14 Novemba, 2015 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

 

Taifa Stars inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager itacheza mchezo huo dhidi ya Mbweha wa Jangwani siku ya Jumamosi Novemba 14, na mchezo wa marudiano kuchezwa siku tatu baadae Algeria 17 Novemba, 2015.
Kikosi cha Stars chini ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

CAF yaagiza hatua kali dhidi ya Algeria

CAF yataka hatua kali kuchukuliwa kufuatia mauaji ya mchezaji wa Cameroon hukoAlgeria

 

10 years ago

BBCSwahili

Camara:mechi dhidi ya Uganda ni muhimu

Kiungo Lansana Camara amesema atatumia mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya Sports Club Villa ya Uganda kuonesha uwezo wake.

 

10 years ago

Mwananchi

Siasa zavuruga mechi ya Serbia dhidi ya Albania

Tofauti za kisiasa baina ya Albania na Serbia zimevunja mechi ya soka ya kufuzu kwa fainali za Ulaya, mwaka 2016 mjini Belgrade, Serbia.

 

9 years ago

Michuzi

Rais Magufuli akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria Ramtane Lamamra




Rais Dkt. John Pombe Magufuli akutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria Mhe. Ramantane Lamamra Ikulu jijini Dar es Salaam leo.(Picha na Freddy Maro)KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

Vijimambo

SE TENNIS WASHINDA MECHI YAO DHIDI YA CHEVY CHASE


Timu ya watoto ya SE Tennis and Learning Center imechukuwa ubingwa mnono dhidi ya timu ya Chevy Chase Country Club ya Chevy Chase, Maryland. 
Timu ya watoto yaSE Tennis and Learning Center,Washington, DC ilichuwana na watoto Chevy Chase Club, Chevy Chase, Maryland na kushinda mechi 8 kati ya kumi. Kati ya magoli 7 kwa kila mchezo. Watoto wenye asili ya Kitanzania Briana Kagemuro na Bryan Mwombeki walishiriki kwa singles na kushinda mechi zao tatu kila mmoja.
Picha ya pamoja.
Briana Kagemuro na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani