Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba yaiomba ZFA isogeze mbele mechi dhidi ya Jamhuri

Siku moja baada ya ratiba ya Kombe la Mapinduzi kutoka, uongozi wa Simba umewataka waandaaji wa mashindano hayo, Chama cha Soka Zanzibar (ZFA) kusogeza mbele mchezo wao dhidi ya Jamhuri ya Pemba kutokana na kukabiliwa na mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Ndanda ya Mtwara.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Video ya maamuzi waliofanya ZFA kuhusu muamuzi wa pembeni aliyekataa goli la Mtibwa dhidi ya Azam FC …

January 3 ndio siku ambayo Kombe la Mapinduzi lilianza visiwani Zanzibar kwa michezo miwili kupigwa kwa nyakati mbili tofauti katika uwanja Amaan, ila mchezo wa pili wa Kundi B uliozikutanisha timu za Azam FC dhidi ya Mtibwa Sugar na kumalizika kwa sare ya goli 1-1, uliingia kwenye headlines baada ya muamuzi wa pembeni Dalila Jaffar Mtwana kunyoosha […]

The post Video ya maamuzi waliofanya ZFA kuhusu muamuzi wa pembeni aliyekataa goli la Mtibwa dhidi ya Azam FC … appeared first on...

 

9 years ago

Dewji Blog

Simba SC yatakata Mkoani Tanga, Mbeya City taabani, Azam Fc mbele kwa mbele!!

SIMBaaaaaKikosi cha Simba SC kilichoifunga 1-0 African Sports leo Uwanja wa Mkwakwani, Tanga (Picha kwa hisani ya mtandao wa http://www.binzubeiry.co.tz

Mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba leo wamevunja mwiko wa kutoshinda kwenye Uwanja wa Mkwakwani Tanga baada ya kuigaragaza African Sports kwa bao 1-0.

Simba leo iliingia katika mchezo huo ikiwa na presha baada ya kutoshinda mchezo wowote kwenye uwanja huo kwa miaka mitatu mfulilizo. Bao la Simba katika mchezo huo limefungwa na...

 

10 years ago

Michuzi

Mchezo wa Kirafiki Kati ya Simba na Polisi Usiku Huu Uwanja wa Amaan Simba Ikiwa mbele kwa bao 2--0

Kamishna wa Polisi Zanzibar Kamishna Hamdan akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Polisi Zanzibar kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan.Kamishna wa Polisi Zanzibar Kamishna Hamdan akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Polisi Zanzibar kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan.
Kikosi cha timu ya Polisi Zanzibar kilichokubali kipigo cha bao 2--0 kutoka kwa timu ya Simba wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

 

10 years ago

BBCSwahili

Camara:mechi dhidi ya Uganda ni muhimu

Kiungo Lansana Camara amesema atatumia mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya Sports Club Villa ya Uganda kuonesha uwezo wake.

 

11 years ago

BBCSwahili

Podolski nje ya mechi dhidi ya Algeria

Lukas Podolski na Gerome Boateng katika orodha ya majeruhi ya Ujerumani kabla ya mechi dhidi ya Algeria

 

9 years ago

Mtanzania

Simba kibaruani kuivaa Jamhuri

kikosi cha simbaNA MSHAMU NGOJWIKE, DAR ES SALAAM

MABINGWA watetezi wa michuano ya Kombe la Mapinduzi, Simba leo wanatarajia kushuka dimbani kutupa karata yao ya kwanza kwa kuvaana na timu ya Jamhuri ya Pemba katika mchezo utakaopigwa Uwanja wa Amaan.

Simba ambao wamepangwa Kundi A la michuano hiyo wataingia uwanjani saa 2:15 usiku kuwakabili wapinzani wao ikiwa ni baada ya mchezo wa awali wa JKU dhidi ya URA ya Uganda kupigwa kwenye uwanja huo jioni.

Kocha Mkuu wa Simba Mwingereza, Dylan Kerr ambaye...

 

9 years ago

TheCitizen

Simba SC, Jamhuri in Mapinduzi opener

Mapinduzi Cup champions Simba SC will launch their title defence campaign against Jamhuri of Pemba at the Amaan Stadium in Zanzibar on January 2, the organisers announced yesterday.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani