Simba SC, Jamhuri in Mapinduzi opener
Mapinduzi Cup champions Simba SC will launch their title defence campaign against Jamhuri of Pemba at the Amaan Stadium in Zanzibar on January 2, the organisers announced yesterday.
TheCitizen
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania04 Jan
Simba kibaruani kuivaa Jamhuri
NA MSHAMU NGOJWIKE, DAR ES SALAAM
MABINGWA watetezi wa michuano ya Kombe la Mapinduzi, Simba leo wanatarajia kushuka dimbani kutupa karata yao ya kwanza kwa kuvaana na timu ya Jamhuri ya Pemba katika mchezo utakaopigwa Uwanja wa Amaan.
Simba ambao wamepangwa Kundi A la michuano hiyo wataingia uwanjani saa 2:15 usiku kuwakabili wapinzani wao ikiwa ni baada ya mchezo wa awali wa JKU dhidi ya URA ya Uganda kupigwa kwenye uwanja huo jioni.
Kocha Mkuu wa Simba Mwingereza, Dylan Kerr ambaye...
11 years ago
Tanzania Daima05 Feb
Ni kimbunga Simba, Mtibwa Jamhuri leo
BAADA ya ushindi wa kishindo wa mabao 4-0 dhidi ya maafande wa JKT Oljoro katika mechi iliyopita, Wekundu wa Msimbazi, Simba, leo watashuka Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro, kuwavaa mabingwa...
9 years ago
Mwananchi30 Dec
Simba yaiomba ZFA isogeze mbele mechi dhidi ya Jamhuri
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-j6IjkJzDnnE/XuONQcwPCGI/AAAAAAACNGI/ClN9cZlEkxgZwNFne_wWjHDuTDWR5RjgwCLcBGAsYHQ/s72-c/download%2B%25281%2529.jpg)
RATIBA YA MCHAKATO WA KUWAPATA WAGOMBEA WA CHAMA CHA MAPINDUZI WA NAFASI YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA RAIS WA ZANZIBAR KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020
![](https://1.bp.blogspot.com/-j6IjkJzDnnE/XuONQcwPCGI/AAAAAAACNGI/ClN9cZlEkxgZwNFne_wWjHDuTDWR5RjgwCLcBGAsYHQ/s1600/download%2B%25281%2529.jpg)
1.0. URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA TAREHE SHUGHULI/MAELEZO 1 15 – 30/06/2020 Kuchukua na kurejesha fomu. Mwisho wakurudisha fomu ni tarehe 30/6/2020 Saa 10:00 jioni. 2 15 – 30/06/2020 Kutafuta wadhamini Mikoani. VIKAO VYA UCHUJAJI 3 06 – 07/07/2020 ...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bdOTGlbNKtqcsfvUVwLRLEWNAzY7foEHczIUYtvmCJri6r2sjbZhfjAwyPtLhlr7eb1XO10WVVBN9yvafhRe1aAJ7MPy5oy9/logaaaaaaaaaa.jpg?width=650)
Logarusic: Simba haitaenda Mapinduzi
9 years ago
Habarileo30 Dec
Simba wapania Kombe la Mapinduzi
TIMU za Simba na Azam zimepania kuchukua ubingwa wa Kombe la Mapinduzi kwa kuhakikisha zinapambana mwanzo hadi mwisho na kushinda kila mchezo ulioko mbele yao.
11 years ago
TheCitizen14 Jan
Simba pipped to Mapinduzi title
10 years ago
BBCSwahili14 Jan
Simba SC mabigwa wa kombe la mapinduzi
10 years ago
GPLSIMBA SC YATWAA KOMBE LA MAPINDUZI ZANZIBAR