Mosha aacha siasa, alia na wanafiki ndani ya CCM
Aliyekuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Moshi Mjini (CCM), Davis Mosha amedai kuwa chama hicho kimejaa wanafiki jambo lililochangia kuanguka kwake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo25 Apr
Cleopa Msuya aacha siasa
RAIS Jakaya Kikwete juzi aliongoza mamia ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi mkoani Kilimanjaro, katika sherehe za kumuaga aliyewahi kuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais, Cleopa Msuya, baada ya kutangaza kustaafu siasa.
11 years ago
Tanzania Daima15 Apr
Mbowe awaumbua wanafiki CCM
MJUMBE wa Bunge Maalumu, Freeman Mbowe, amewaumbua wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwa wengi wao ni wanafiki katika kuchangia mijadala na hoja bungeni. Mbowe alisema kutokana na unafiki huo,...
10 years ago
Habarileo04 Mar
RC Dodoma alia na siasa za majitaka dhidi ya katiba
MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa amepiga marufuku siasa chafu zinazoendeshwa mkoani hapa ambapo wananchi wamekuwa wakihamasishwa kutoipigia kura Katiba inayopendekezwa.
9 years ago
Mwananchi28 Oct
Mosha wa CCM apongeza ushindi wa Chadema Moshi
10 years ago
Tanzania Daima29 Oct
Siasa sio mchezo mchafu bali CCM ndiyo yenye siasa chafu
SIASA safi ni kitu chema na siasa ni maisha na naamini Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai atakubaliana na mimi asilimia mia kwa hili na kama si kweli hapana shaka...
10 years ago
Habarileo10 Jul
Mgombea CCM alia kusahauliwa
MMOJA wa wanachama wa CCM aliyejitokeza kuwania urais, Joseph Chaggama amesema vyombo vya habari vimemsahau, lakini akaahidi kuwa akipewa nafasi hiyo atafanya mageuzi makubwa katika kushughulikia rushwa na utawala wa sheria.
9 years ago
Mwananchi29 Aug
Zitto alia rafu za CCM majimboni
10 years ago
GPLSTEVE NYERERE, CHIKOKA NDANI YA SIASA
11 years ago
Mwananchi01 Jan
Mwaka 2014 uzae demokrasia ndani ya vyama vya siasa