Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mosha wa CCM apongeza ushindi wa Chadema Moshi

Aliyekuwa mgombea ubunge wa CCM Jimbo la Moshi Mjini, Davis Mosha amempongeza mpinzani wake, Jaffar Michael wa Chadema kwa kupata ushindi wa kishindo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

DAVIS MOSHA AKUTANA NA WASANII WA MOSHI

Mh Davis Mosha akiwa na
Mwenyekiti wa KDFAA Ndugu Msasu.


 Mgombea Ubunge wa Moshi Mjini kupitia Tiketi ya ccm Mh. Davis Mosha Amekutana na wasanii wa Filamu, Maigizo ya Jukwaani, Sarakasi na Muziki wa Mjini moshi. Wasanii hao wakiongozwa na Chama cha Wigizaji na wacheza filam Kilimanjaro (KDFAA)Wasanii wakimsikiliza Mh. Davis Mosha wakati akizungumza nao leo jioni mjini Moshi.  Wasanii hao walioomba Mkutano na Mh. Davis Mosha leo katika ukumbi wa ccm Mkoa walipata fursa ya kuzungumza...

 

9 years ago

GPL

DAVIS MOSHA: NITAIBADILISHA MOSHI MJINI

Mgombea Ubunge katika jimbo la Moshi mjini, Davis Mosha akiongea na wananchi (hawapo pichani). Wananchi wakiendelea kumsikiliza Mgombea Ubunge katika jimbo la Moshi…

 

9 years ago

Mwananchi

Mosha ataja vipaumbele vyake Moshi Mjini

Mgombea ubunge Jimbo la Moshi Mjini, Davis Mosha (CCM), ameahidi kujenga soko la kisasa la kimataifa katika eneo la King George Memorial lililopo soko la mitumba.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mgeja apongeza ushindi wa Ridhiwani

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja, amempongeza mbunge mteule wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete. Amesema kitendo cha mgombea huyo kushinda katika uchaguzi huo mdogo, kinaonyesha ni...

 

10 years ago

GPL

USHINDI WA CHADEMA SUMBAWANGA, VIGOGO CCM TUMBO JOTO

John Mnyika. Stori: MWANDISHI WETU
Kufuatia ushindi wa kishindo walioupata Chama cha Demokrasia na Maendeleo  (Chadema) katika uchaguzi wa marudio wa serikali za mitaa uliofanyika wiki hii katika kata tatu za Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa, viongozi wa juu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ngazi ya mkoa na taifa, wanadaiwa kuhaha huku na kule ili kujua chanzo cha kushindwa huko. Kwa mujibu wa chanzo chetu, ushindi huo...

 

9 years ago

Michuzi

DAVIS MOSHA AZIDI KUWAKUNA WANANCHI WA MOSHI KWA SERA

Mh, Davis Mosha akiwahutubia mamia ya waBondeniazi wa kata ya kata ya Bondeni.




Ikiwa zimesalia Takribani siku ishirini na tisa kuweza kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (ccm) Jimbo la Moshi Mjini Ndugu Davis Elisa Mosha amezidi kumtesa Mpinzani wake kutoka Kambi Pinzani ya Ukawa anayesimama kwa Tiketi ya Chadema Ndugu. Jafary Michael. Hayo yamedhihirika leo katika Mkutano wa Hadhara wa Mh. Davis Mosha katika...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AMUAHIDI DAVIS MOSHA KILOMETA 10 ZA BARABARA MOSHI MJINI

Mh. Magufuli  Akimnadi Mgombea ubunge
wa Moshi Mjini Mh. Davis Elisa Mosha.

  Mkutano wa Kampezi za  Mgombea Urais Kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi ndani ya Mkoa wa Kilimanjaro umerindima jana katika Jimbo la Moshi mjini katika Viwanja vya Mashujaa na kuhudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa CCM wa Wilaya, Mkoa na Kitaifa.Mbali na Mgombea Urais kupitia Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli alikuwepo Mjumbe wa Halmashauri kuu ya ccm na Mlezi wa Mkoa wa Kilimanjaro Ndhugu Emanuel Nchimbi,...

 

9 years ago

Michuzi

DAVIS MOSHA AANZA UTEKELEZAJI WA AHADI ZAKE MOSHI MJINI

Katika hali isiyotarajiwa  na wengi katika Jimbo la Moshi Mjini, Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Davis Mosha ameanza utekelezaji wa ahadi zake katika Jimbo hilo,  wiki chache baada ya kuzungumza na wanamuziki na wasanii kuhusu kazi zao na wasanii hao kuomba kupata kituo cha Redio cha kisasa na Studio ya kisasa ambavyo vitaweza kufanya kazi zao kwa ubora zaidi na pia kufika mbali.Katika kutekeleza hilo Mh. Davis Mosha amekwishaanza ujenzi wa Studio ya Kisasa ya Kituo cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani